Mh. Ummy Mwalimu jana amekanusha uzushi uliokua umesambaa kuhusu ongezeko la makato ya bima ya afya kutoka sh. 18,000 hadi 40,000 akisema swala lipo kisheria mfanyakazi atachangia 3% na mwajiri wake atachangia 3%.
Hii ina maana hiyo 40,000 mwajiri atatoa 20,000 na mfanyakazi atatoa 20,000...