afungwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ISSA Salumu Makale (35) afungwa miaka 30 jela kwa hatia ya kukutwa na vipande 13 vya meno ya tembo

    MENO YA TEMBO YAMPELEKA GEREZANI MIAKA 30. Na Steven Augustino, Tunduru Hakimu Mkazi mwandamizi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma Honorus Kando amemhukumu mkazi wa Kijiji Cha Nalasi Bw. ISSA Salumu Makale (35) kutumikia kifungo Cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na...
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Kijana wa miaka 18 afungwa jela miaka 30 kwa kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile

    Tonny Kurwa Zuchu [18] Mkazi wa Misungwi Mwanza amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na hatia ya kuruhusu kuingiliwa kinyume cha maumbile. Hukumu ya kesi hiyo ya jinai namba 91/2023 imetolewa Aprili 19, 2023 katika Mahakama ya Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya mbele ya...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kenya: Afungwa miaka 210 kwa kujihamishia Miamala

    Mwanamume mwenye umri wa miaka 55 aliyeshtakiwa kwa makosa manne ya wizi wa kimabavu na shtaka jingine la ubakaji nchini Kenya, Humphrey Shilisia amehukumiwa kifungo cha miaka 210 jela baada ya kupatikana hatika katika makosa matano. Hakimu Mkuu wa Eldoret, Naomi Wairimu amesema upande wa...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Baba afungwa jela Maisha kwa Kubaka Wanae Wakike wawili na kumlawiti wa Kiume

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Singida imemhukumu kifungo cha maisha mkazi wa Mtaa wa Majengo, Fabiano Dubabe kwa kosa la kuwabaka na kuwalawiti watoto wake watatu. Dubabe, aliyekuwa akijishughulisha na kazi ya ulinzi anatuhumiwa kutenda makosa hayo kati ya mwaka 2018 na 2022 kwa nyakati tofauti...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aliyekata rufaa kupinga kifungo cha miaka 30 afungwa maisha

    Rufaa ya pili aliyokata mkazi wa Kijiji cha Mwanambaya, Wilaya ya Mkuranga, Denis Joseph, kupinga kifungo cha miaka 30 kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi imegeuka msiba baada ya kujikuta akiambulia kifungo cha maisha. Mahakama ya Rufani imekubaliana na Wakili wa Serikali, Elizabeth...
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania Aliyemuua rapa Nipsey Hussle ahukumiwa miaka 60 jela

    Eric R. Holder, Jr. amekutwa na hatia ya kufanya mauaji ya mwanamuziki ambaye jina lake halisi ni Ermias Asghedom tukio lililotokea Mwaka 2019, Los Angeles. Hussle alikuwa baba wa watoto wawili aliowapata na nyita wa filamu, Lauren London, aliuawa akiwa na umri wa miaka 33 katika tukio ambalo...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Katavi: Afungwa miaka 30 kwa kufanya mapenzi na mtoto wake

    MAHAKAMA ya Wilaya Mpanda, imemuhukumu Agustino Michese (59) kutumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa kufanya mapenzi na mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 16. Hukumu hiyo ilitolewa na Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya Mpanda Rebeka Mwalusako amesema mtuhumiwa alitenda...
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya US Monastir kwa siku za karibuni, Yanga lazma afungwe

    Wamecheza mechi 7, wameshinda mechi nne, wakafungwa mbili na kudroo moja. Hayo ndio matokeo yao kwa siku za hivi karibuni. Kufungwa kwao hizo mechi mbili ni kwasababu walipumzisha wachezaji wao muhimu wakawa wanafanya rotation. Yanga nendeni kwa tahadhari mnaweza mkapigwa nyingi kwahyo nendeni...
  9. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtanzania afungwa Jela Miaka 30 Kenya kwa Usafirishaji Haramu wa Watoto

    James Sengo Nestroy alikamatwa baada ya kubainika anajihusisha na Usafirishaji Haramu wa Watoto na Watu wenye Ulemavu ambapo aliamriwa na Mahakama, alipe faini ya Tsh. Milioni 563.8 au atumikie kifungo jela. Baadhi ya Waathirika wa Biashara hiyo wengi wakiwa ni Wenye Ulemavu (Raia wa #Tanzania)...
  10. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Iringa: Ahukumiwa miaka 30 baada ya kushauriwa kumbaka dada yake wa kuzaliwa ili apate utajiri

    Huko Iringa Mahakama ya wilaya ya Kilolo imemhukumu Frank Kigomba miaka 30 na kutakiwa kulipa faini ya shilingi laki 5 kwa kosa la kumbaka dada yake wa kuzaliwa kwa maelekezo ya mganga wa kienyeji ili awe tajiri. Matukio ya kubaka, kuua na kutafta utajiri sasa yamehama kutoka kanda ya ziwa na...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Dibron Saidi ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua Mkewe Herieth Justine kwa kisu, ni baada ya kumfumania

    Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu imemtia hatiani na kumhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Dibron Saidi kwa kosa la kumuua aliyekuwa mkewe, Herieth Justine kwa kumchoma na kisu mara tatu. Hukumu hiyo imesomwa leo na Hakimu mkazi mkuu, Evodia Kyaruzi aliyekuwa anasikiliza kesi hiyo. Akisoma...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Raia wa Botswana afungwa miaka mitatu kwa kuishi nchini kinyemela

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imemuhukumu raia wa Botswana, Theo Leborang kulipa faini ya Sh1 milioni au kwenda kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa la kuishi nchini kinyume cha sheria na kutoa taarifa za uongo kwa Maofisa wa Uhamiaji. Hukumu hiyo imetolewa jana Jumanne...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afungwa jela maisha kwa kubaka Mtoto wa miaka mitatu

    Mahakama ya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, imemhukumu John Sanare (23), Mkazi wa Kimnyaki wilayani hapo kutumikia kifungo cha maisha jela baada ya kukutwa na hatia ya kubaka kichanga cha miaka mitatu na miezi miwili. Hukumu hiyo ilitolewa jana mahakamani hapo na Hakimu Mkazi Mkuu Gwantwa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Maswa: Kijana achukuliwa na wasiojulikana. Familia yamtafuta vituo vya Polisi bila mafanikio

    Breaking: Kijana mmoja achukuliwa Maswa na wasiojulikana, AFUNGWA PINGU na kupandishwa kwenye gari,Familia yatafuta vituo vya polisi bila mafanikio.
  15. Nanyaro Ephata

    JamiiForums Tanzania Mchina jela miezi mitano kwa kuua tembo 511, Mtanzania jela miaka 60 kwa kukutwa na meno ya tembo na kiboko

    Nimeona hii habari mtandaoni imenishangaza kama sio kosa la kiuandishi.Raia wa China amekutwa na kosa la kuua jumla ya tembo 511 wenye dhamani ya bilioni 7 amehukumiwa jela miezi mitano au kulipa faini ya laki tatu. Kwa upande mwingine Mtanzania aliyekutwa na meno yenye dhamani ya milioni...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Sudan: Mwanamke afungwa jela kwa kumbusu Mwanaume

    Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 20 amehukumiwa kifungo cha miezi sita baada ya kukubali kosa, awali alihukumiwa kifo kwa kupigwa mawe, lakini baada ya malalamiko ya wanaharakati na taasisi mbalimbali hukumu ikabadilishwa. Adhabu ya awali iliyotolewa katika Mji wa Kosti, Jimbo la White Nile...
  17. britanicca

    JamiiForums Tanzania Mlete haraka kuliko afungwe atatusaidia kwenye mambo yetu

    Mambo yetu ili yanyooke mtoeni jamaa nje alafu moja kwa moja aje nyumba mithili ya meli ! Pale wanapoingia kwa code maalumu na hawaitani majina wanaitana chifu pili ukienda ijumaa aga kabisa nyumbani wenda ukarudi jumatatu maana simu zinaachwa reception 🤕 Itatupunguzia haya Kitaifa tutatulia...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hong Kong: Mmiliki wa Vyombo vya Habari vinavyotetea Demokrasia afungwa miaka 5

    Kwa mujibu wa Hati ya Mashtaka, Jimmy Lai, ambaye alikamatwa kwenye maandamano ya kushinikiza Serikali ifuate Utawala wa Demokrasi mwaka 2019 pia alipigwa faini ya Tsh. Milioni 599.7 Mahakama imemkuta na hatia ya Ulaghai Mwanademokrasia huyo anaodaiwa kuufanya mwaka 2016 na 2020 kupitia moja ya...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Msumbiji: Mtoto wa Rais mstaafu afungwa miaka 12 kwa ufisadi wa Tsh. Trilioni 5.1

    Ndambi Guebuza ambaye ni mtoto wa Rais wa awamu ya 3, Armando Emílio Guebuza amekutwa na hatia ubadhirifu mkubwa wa mradi wa uvuvi wa Tsh. Trilioni 5.1. Mahakama imetoa hukumu hiyo ikiwajumuisha watu wengine 11 waliokutwa na hatia ya ufujaji na utakatishaji fedha za Mradi huo uliotajwa...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Comoro afungwa maisha kwa kuuza 'Passport' kwa wasio raia

    Mahakama imetoa adhabu hiyo kwa Ahmed Abdallah Sambi aliyekuwa Rais mwaka 2006 - 2011 baada ya kumkuta na hatia ya Uhaini dhidi ya Serikali na Nchi. Kwa mujibu wa Mashtaka, Kiongozi huyo amekutwa na makosa ya kuuza Hati za Kusafiria kwa watu wasio na Uraia pamoja na Ubadhirifu wa Tsh. Trilioni...
Back
Top Bottom