Baba afungwa jela Maisha kwa Kubaka Wanae Wakike wawili na kumlawiti wa Kiume

Oldmantz

JF-Expert Member
Jan 24, 2023
428
996
Mahakama ya Hakimu Mkazi Singida imemhukumu kifungo cha maisha mkazi wa Mtaa wa Majengo, Fabiano Dubabe kwa kosa la kuwabaka na kuwalawiti watoto wake watatu.

Dubabe, aliyekuwa akijishughulisha na kazi ya ulinzi anatuhumiwa kutenda makosa hayo kati ya mwaka 2018 na 2022 kwa nyakati tofauti.

Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Robert Oguda alisema Mahakama imeridhishwa bila kuacha shaka kuwa, mtuhumiwa alitenda makosa hayo kinyume na sheria ya adhabu.

Alisema ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka umethibitisha bila kuacha shaka kwamba, mshtakiwa ana hatia kama alivyoshitakiwa.

“Mshitakiwa, Mahakama hii inakutia hatiani kwa makosa mawili ya kubaka watoto wako wawili wa kike kwa nyakati tofauti na kila kosa utatumikia jela miaka 30.

“Lakini unatiwa hatiani kwa makosa matatu ya kumwingilia kinyume na maumbile mtoto wako wa kiume, kila kosa utatumikia jela maisha yako yote,” alisema Hakimu Oguda.

Mwanasheria wa Serikali na Mwendesha Mashitaka, Nuru Chiwalo alisema mbele ya Mahakama hiyo kuwa mshitakiwa alitenda makosa hayo kati ya mwaka 2018 na 2022.

Chiwalo alisema jumla ya mashahidi 18, akiwamo mke wa mshitakiwa kwa nyakati tofauti walitoa ushahidi dhidi ya Fabiano.

Wakati akijitetea, mshitakiwa aliomba kupunguziwa adhabu kutokana na hatia aliyokutwa nayo kwa kuwa ana familia inayomtegemea.

MWANANCHI
 
Chanzo: Mwananchi
 
Hii vita ni mbaya sana. Tunapigwa ndani na nje. Tupambqne kwa akili....

Kuna watu hawajui mambo ya upinde sijui wafadhili wa ushoga na hata ushoga haujui, ila anasukumwa na tamaa kali za mwili au tamaa za mali/ madaraka (ushirikina) na wanawaingilia watoto wadogo kunyume na maumbile.

Tuombe Mungu
 
Haya mambo ya kuingiliana kinyume na maumbile yanachochewa zaidi na video za ponografia.

Watu wazima kwa watoto kutwa kuperuzi picha za ponografia hasa za watu wanaoingiliana kinyume na maumbile. Baadaye wanahamasika kujaribu.

Wapo wanafiki wanaopinga upinde lakini kutwa wanafurahia kuangalia ponografia za watu wanafilana.

Ni ajenda ya watu wa magharibi kuharibu nguvu kazi za waafrika kupitia ponografia, ajenda za LGBTQ n.k.

Madhara ya ponografia ni makubwa sana kwenye jamii kuliko tunavyodhani.
 
Haya mambo ya kuingiliana kinyume na maumbile yanachochewa zaidi na video za ponografia.

Watu wazima kwa watoto kutwa kuperuzi picha za ponografia hasa za watu wanaoingiliana kinyume na maumbile. Baadaye wanahamasika kujaribu.

Wapo wanafiki wanaopinga upinde lakini kutwa wanafurahia kuangalia ponografia za watu wanafilana.

Ni ajenda ya watu wa magharibi kuharibu nguvu kazi za waafrika kupitia ponografia na ajeda la LGBTQ n.k.

Madhara ya ponografia ni makubwa sana kwenye jamii kuliko tunavyodhani.
Nakubaliana na wewe
 
Unawabaka watoto wakonwa kike na kumlawiti mwanao wa kiume!!

Huu Ni zaidi ya ufirauni!! Hata adhabu ya kigungo cha maisha haimtoshi.
Nguvu za kiume sio dili kubwa Sana Kama zinavyohangaikiwa kuliko kuhangaika na maisha. Mbona wazungu nguvu zao kiduchu wanatumia ma toy ama kuwapeleka wapenzi wao kwa waafrika ili wawakaze Ila wanaishi poa zaidi kuliko sie. Inabidi zipunguzwe nguvu zinafanya watu wanafaki even animals mpaka kuku jamani
 
Kwa maana nyingine, akifa leo akafufuka anapelekwa prison, akifia huko prison mara ya pili then afufuke anarudi tena ,mpaka afe mara tatu ndio hukumu imtoke😂
Lakini unatiwa hatiani kwa makosa matatu ya kumwingilia kinyume na maumbile mtoto wako wa kiume, kila kosa utatumikia jela maisha yako yote
 
Back
Top Bottom