Klabu ya Yanga SC imewatoa hofu mashabiki na wanachama wake kuelekea msimu mpya wa mashindano, ikisisitiza kuwa mikakati iliyowekwa inalenga kufanya makubwa zaidi si tu katika soka la ndani, bali pia katika ngazi ya bara la Afrika.
Akizungumza kuhusu mwelekeo wa timu hiyo, Afisa Habari wa Yanga...