Wabunge wapya wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki waliopigiwa kura hivi karibuni na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambao ni Ndugu Kambarage Wasira, Fatma Kange na Cosato Chumi, wameapa leo 01 Juni 2026 wakati wa kikao cha Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) kuanza shughuli za Bunge hilo, Jijini Arusha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.