afrika

  1. JamiiForums Tanzania Hali ya kutokuaminiana ni tishio kubwa kwa uhai wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    NAIROBI, Kenya RAIS Uhuru Kenyatta wa Kenya, amesema kwamba bado anaunga mkono juhudi za kuimarisha Jumuiya ya Afrika Mashariki licha ya changamoto zilizopo na kukiri kuwa moja ya vizingiti vikubwa katika mchakato huo “ni hali ya kutoaminiana.” Kenyatta aliyasema hayo wakati ambapo nchi za...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Corona imeua watu 800 chini ya wiki mbili, jameni tusijichokee, hiki kitu ni balaa

    Mnaoendelea kupuuza na kukaidi ushauri wa tahadhari dhidi ya Corona mfahamu mnamtekenya simba na kucheza na masharubu yake, hiki kitu kinaua bila huruma, na ndio kinaendelea kupata kasi Afrika, yaani chini ya wiki mbili tayari kimelamba watu 800 nchini Afrika Kusini. ----- COVID-19, the...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Naomba msamaha kwa maoni yangu kuhusu wa watu wenye asili ya Afrika kunyanyasika na kubaguliwa Ulaya na Marekani

    Historia ya watu Afrika ni chungu sana toka miaka ya zamani sana kwa mfano kupitia kipindi cha utumwa, ukoloni na sasa ukoloni maomboleo, lakini historia ya watu mbalimbali katika sehemu ya dunia ni chungu pia sio tu ya watu wenye asili ya Africa tu. Yafuatayo ni suluhisho ya ubaguzi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Nelson Mandela ni msaliti wa harakati za Uhuru wa Afrika Kusini na Afrika kiujumla?

    Kwa takribani miaka 27 Nelson Mandela (Tata/Madiba) amekuwa gerezani Hadi mwaka 1990 alipoachiwa. Hadi kufikia mwaka 1990 nchi zote za kiafrika zilikuwa zimepata Uhuru kutoka kwa wakoloni. Ikumbukwe Afrika Kusini ilipata Uhuru wake mnamo 1931, mwaka 1994 haukuwa mwaka wa kupata Uhuru kwa Afrika...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania hatupo katika nchi kumi bora zenye usalama kutembelewa barani afrika hasa katika utalii

    Africa's Safest Countries To Visit for 2019 1.🇷🇼 Rwanda 2.🇧🇼 Botswana 3.🇲🇺 Mauritius 4.🇳🇦 Namibia 5.🇸🇨 Seychelles 6.🇲🇦 Morocco 7.🇪🇹 Ethiopia 8.🇱🇸 Lesotho 9.🇿🇲 Zambia 10.🇰🇪 Kenya Source: Safari Bookings and SlateAfrica.
  6. JamiiForums Tanzania Hata bado hajaanza kazi ameanza na kauli hii ya kipuuzi. Hivi ni nani huwa anawaroga ubongo viongozi wa Afrika?

    Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye amevionya Vyama vya Upinzani kuwa havitapata nafasi, huku akihoji mantiki ya kuipinga Serikali. Aidha, amevisihi Vyombo vya Habari na Watetezi wa Haki za Binadamu kushirikiana na Serikali, vinginevyo watakuwa wanatumikia watu wengine. Chanzo: swahilitimes...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna Wanamuziki Barani Afrika wanajua kuimba Muziki aina kama ya Oliver Ng'oma?

    Habari Wakuu za Wakati huu? Natumaini wazima wa Afya. Okey, Mimi bwana katika Wanamuziki ninaowakubali ana Mmoja wapo ni huyu Bwana Oliver Ng'oma, huyu jamaa tumuache tu, Nikiwa nipo home nikikumbuka huwa lazima niplay list ya nyimbo zake ni nzuri kwa kuziskiliza harafu za taratibu sana...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Afrika ni wepesi kubadilika na kuacha maadili ya asili kulingana na mazingira kuliko wanawake wa Kichina au Wahindi

    Katika mafundisho ya jamii, jamii za zetu zote zinamtaarisha mtoto wa kike kuwa mlezi wa familia. Kuondoka nyumbani kwa mtoto wa kike ni kukabidhiwa kwa mume. Mume huyu anakua ndiyo mtu wa kukulinda na wewe unategemewa umlee. Ujue chakula chake, usingizi wake na afya yake. Katika familia...
  9. JamiiForums Tanzania China kuzifutia madeni nchi za Afrika zilizoathiriwa zaidi na COVID-19

    Rais Xi Jinping wa China amesema, ndani ya mfumo wa FOCAC, China itafuta madeni ya nchi husika za Afrika yaliyo katika aina ya mikopo isio na riba kwa serikali ambayo muda wake utatimia mwishoni mwa mwaka 2020. Pia amesema, kwa zile nchi za Afrika ambazo zimeathiriwa zaidi na virusi vya Corona...
  10. JamiiForums Tanzania Rais wa China aahidi kuzipatia nchi za Afrika chanjo ya COVID-19

    Rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba kwenye mkutano maalumu wa kilele kuhusu mshikamano na ushirikiano kati ya China na Afrika katika kupambana na COVID-19. Ameahidi kuwa mara chanjo ya COVID-19 inayotengenezwa na China itakapokamilika na kuthibitishwa, nchi za Afrika zitakuwa kati ya nchi...
  11. JamiiForums Tanzania Siku ya mtoto wa Afrika; Je, mtoto yu wapi na anafanya nini?

    Wasalaam. Leo tumeazimisha siku ya mtoto wa Afrika . Bila shaka wapo waliotengeneza kofia na mafulana yao kusherehekea siku hii adhimu kwao, kama kweli wapo waliokimbilia kwenye radio, televison na mitandao kuazimisha siku hii kwao. Lakini swali la kujiuliza ni moja nalo ni huyu mtoto wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kupaka matope kwa makusudi mabaya hakuwezi kukwamisha urafiki kati ya China na Afrika

    Hivi sasa, janga la virusi vya Corona linaenea kwa kasi barani Afrika. Kwa mujibu wa takwimu kutoka Kituo cha Kinga na Udhibiti wa Magonjwa cha Afrika, hadi kufikia tarehe 14 Juni, nchi 54 barani Afrika zimeripoti watu laki 2.3 waliothibitika kuwa na maambukizi ya virusi hivyo, na idadi ya vifo...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Xi Jinping kuendesha mkutano wa ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mapambano dhidi ya virusi vya Corona

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bibi Hua Chunying leo ametangaza kuwa, rais Xi Jinping wa China kesho hapa Beijing ataendesha na kuhutubia mkutano maalumu wa kilele wa ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye mapambano dhidi ya virusi vya Corona. Mkutano huo umefanyika chini ya...
  14. JamiiForums Tanzania Watu wenye ualbino walaumiwa kwa kuenea kwa virusi vya corona barani Afrika

    Habari! Katika hali isiyo ya kawaida, watu wenye ualbino waishio barani Afrika wamekuwa wakilaumiwa na kushutumiwa kwa kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona barani humo, mtandao wa Business Insider umeripoti. Kumekuwa na taarifa kuwa watu wenye ualbino wamekuwa wakipachikwa majina kama...
  15. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ajuta na kuwaomba radhi wananchi wa Marekani kwa kuambatana na Rais katika ziara yenye utata ikihusishwa na siasa!

    Wakati wa ziara iliyoleta utata. Mkuu wa Majeshi akiomba radhi... ==== Jenerali Mark Milley aomba msamaha kwa 'kuenda' kanisani na Trump Mkuu wa majeshi nchini Marekani amekiri kuwa alikosea kuungana na Rais Donald Trump wakati wa alipotembea kuenda kanisa lililopo karibu na Ikulu ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Vituo vya Udhibiti wa Magonjwa Afrika: Tunatumaini Tanzania itashirikiana nasi na kutoa takwimu mpya za COVID-19

    Mkuu wa Vituo vya Afrika vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika anasema "tunaendelea kubaki na matumaini" kwamba Tanzania itashirikiana kwa kutoa takwimu zake za COVID-19 hata kama Rais wa nchi hiyo alishatangaza ushindi dhidi janga hilo. John Nkengasong anasema "wanaelewa hali hatarishi na...
  17. JamiiForums Tanzania Bajeti zote za nchi za Afrika Mashariki zinasomwa kwa pamoja muda mmoja tuzichambue hapa

    Mawaziri wote wa Fefha wa Nchi za Afrika Mashariki saa kumi Bajeti zote za nchi za Afrika Mashariki zinasomwa kwa pamoja muda mmoja tuzichambue hapa kwa kuzilinyanisha na kufanya analysis
  18. JamiiForums Tanzania Mkiambiwa Uchawi (Ushirikina) Makao Makuu yake ni Barani Afrika muwe mnaelewa tafadhali

    Kirinyaga: 8 family members develop ‘strange illness’, sing loudly after stealing food. Kirinyaga: Watu Wanane wa Familia moja wamejikuta wakiugua Ugonjwa wa ajabu huku wakiimba kwa Sauti ya juu kabisa nyimbo mbalimbali za Wasanii tofauti tofauti barani Afrika na Marekani baada ya Kuiba Chakula...
  19. JamiiForums Tanzania Ligi ya Mabingwa Afrika isipokamilika, Tanzania kuwakilishwa na na timu 4?

    Kuna uwezekano mkubwa, wa Ligi ya mabingwa ya Afrika pamoja na Confederation Cup kutokamilika mwaka huu kutokana na gonjwa la COVID 19, hivyo mashindano hayo ya 2019/2020 kufutwa. Wadau naomba mnifahimishe ikitokea mashindano hayo kufutwa. Je, Tanzania itawakilishwa na timu 4 msimu wa...
  20. JamiiForums Tanzania Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

    Leo wakati nataka kuchek Quarantine ya Diamond nikajikuta nashuhudia maajabu na rekodi mpya ambayo Diamond Platnumz ameivunja. Tukio lake la kuweka rekodi hiyo limetokea dakika chache zilizopita. Diamond anafuatiwa na Millard ayo ambaye kwa sasa ana viewers M933 na huku King wa bongo Fuleva ana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…