GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,454
- 108,565
Kama kuna Mtu ambaye hivi sasa kila nikiona yanayomkumba na kumtokea wakati alipokuwa Madarakani alikuwa ni Mbabe na Mkatili huku akiwa hataki Kung'oka namuonea mno / sana Huruma ( Imani ) ni aliyekuwa Rais wa Sudan Omar Al Bashir.
Jamani Jamaa anatia Huruma na ukiwa na Moyo mwepesi kama GENTAMYCINE muda mwingi utaishia Kutokwa tu na Machozi. Je, na wengine nao yakiwatokea hivi tutawaonea Huruma? Ila Mimi niwajuavyo Waafrika ( hasa Watanzania ) nao pia kama kuna Kiongozi yoyote yule duniani yatamkumba kama yaliyomkumba Omar Bashir basi wataingiwa na Huruma nae.
Tujikumbushe Dhambi Kuu za Omar Bashir ili tuone kama na Viongozi wengine wa Afrika nao yakiwatokea tutawaonea Huruma au hapana:
1. Ukatili hasa kwa wale waliokuwa Wakimpinga
2. Uuaji hasa wa Wapinzani
3. Kutopenda Demokrasia
4. Uwizi hasa Kuiba Mali za Sudan
5. Kutesa Watu hovyo na Kuwatia Ulemavu wa Kudumu
6. Ukabila na Udini uliopitiliza
7. Kuchagua Watu kwa Upendeleo katika Nafasi mbalimbali za Uongozi
Na nimesikia kuwa kuna Hukumu moja dhidi ya Omar Bashir inakuja ambapo anaweza Kukabiliwa na Shitaka la Kunyongwa kabisa.