afrika

  1. L

    JamiiForums Tanzania Vigezo gani huzingatiwa katika kuchagua Wabunge wa Afrika Mashariki?

    Jamani wanaJF ninaomba kuuliza kuhusu Ubunge wa Afrika Mashariki Wanaangalia vigezo gani kuchagua wabunge hawa? Wabunge hawa wana kazi gani haswa katika bunge la EALA? Mishahara na marupu rupu yao yapoje?
  2. P

    JamiiForums Tanzania Trump tested positive for Coronavirus

    Trump na mke wake Melanie wakutwa na virus vya Corona. Rais wa Marekani Donald Trump na mkewe wakutwa na #CoronaVirus, amesema ataanza kukaa karantini haraka iwezekanavyo Rais Trump alipima baada ya msaidizi wake, Hope Hicks KUkutwa na maambukizi na kufanya maambukizi ya #COVID19 kuingia...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni mfano unaokatisha tamaa ya Afrika kunyanyuka

    Sera ya Magufuli kuwasakama wapinzani na kubinya haki za kiraia na kidemokrasia pia mipango mibaya ya kiuchumi kuiangamiza nchi hiyo iliyokuwa mfano wa kuigwa Afrika Kulikuwa na dalili Africa imeanza kuvunja mwiko au tuseme baadhi ya nchi za bara hili zinataka kujikwamua na Tanzania ilikuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Jumuiya Afrika Mashariki imetupilia mbali madai ya kupinga uhalali wa Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR UPO KIHALALI Mahakama ya Jumuiya Afrika Mashariki imetupilia mbali madai ya kupinga uhalali wa Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yaliyofunguliwa na baadhi ya wanaharakati. Mapema leo Wakili Mkuu wa Serikali Gabriel Malata ameeleza kuwa mahakama hiyo...
  5. JamiiForums Tanzania Afrika inapoteza fedha nyingi kwa uhujumu uchumi kuliko inazopokea kama misaada

    Utafiti uliondeshwa na Umoja wa Mataifa, umeonyesha bara la Afrika linapoteza karibu dola billioni 89 kila mwaka katika mtiririko haramu fedha kama vile ukwepaji kodi na wizi. Ripoti hiyo yenye kurasa 248, iliyotolewa Jumatatu, imetolewa na bodi ya Umoja wa Mataifa ya biashara na maendeleo...
  6. JamiiForums Tanzania YAH: Ukombozi wa Fikra Afrika (kitata)

    Kwako Bwana/Bibi, Husika na kichwa cha habari hapo juu! Mimi ni mtanzania wa kawaida sana niliyemaliza elimu yangu ya kunitosha tuu, ya kujua kusoma na kuandika. Lengo la barua hii ni kutaka kukujulisha kuwa hapo zamani, Afrika ilikuwa na nchi kama Kaanani, Babiloni, Assyria, Sidoni, Tiro...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nataka kufanya biashara ya Radio na TV kutoka Afrika ya Kusini

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nina ndugu yangu anafanya biashara flani kutoka SAUZI sasa nataka kumuomba nimpe mtaji wa kuanzia 1M ili nimuagize TV na Redio kwa ajili ya biashara. Je SAUZI ni sehemu sahihi kwa biashara hiyo? Kama kuna anayefanya anaweza kunipa dondoo za bei n.k...
  8. JamiiForums Tanzania Kijana mtanzania ashinda tuzo ya mjasiliamali mdogo zaidi Afrika

    Kijana kutoka Tanzania ametambuliwa kama mjasiliamali mdogo zaidi duniani anayefanya biashara ya Recycling. Someni hapo chini. Kijana mdogo Mtanzania aitwae David Denis (miaka 22)ametambulika duniani kupitia shughuli anayoifanya kwa kuoitia nywele za binadamu. Denis ametajwa katika orodha ya...
  9. JamiiForums Tanzania Tulikuwaga na ndoto za kuoa wazungu ila sasa basi Afrika tuna warembo...

    Hello wana MMU. Ujana bwana una mambo mengi mengine ya kitoto kabisa. Umeshawahi kusikia kuhusu Skin Surgery au Plastic Surgery? Wakati tunaingia ujanani wengine tulikuwa tunakebehi wadada wetu wa Afrika kuwa sio warembo na tulipokuwa tunaona Wazungu wajicream, na wamepiga make up tukajua hawa...
  10. JamiiForums Tanzania Virusi vya Corona: Hatua za udhibiti zalegezwa Afrika Kusini, huku maambukizi yakipungua

    Afrika Kusini ilitekeleza amri ya kutotoka nje tarehe tarehe 27 MachiImage caption: Afrika Kusini ilitekeleza amri ya kutotoka nje tarehe tarehe 27 Machi Afrika Kusini, ambayo ilikuwa ni moja ya nchi zilizochukua hatua kali mapema zaidi duniani za kukabiliana na kusambaa ka virusi vya corona...
  11. JamiiForums Tanzania Athari za Covid zairudisha Afrika Kusini miaka 13 nyuma kiuchumi, shinikizo la mabadiliko laongezeka

    Shinikizo linaongezeka kwa Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa kuongeza kasi ya mabadiliko kwenye sekta za nishati na mawasiliano kwenye nchi hiyo inayoongoza kwenye uchumi wa viwanda barani Afrika baada ya ugonjwa kufuta ukuaji wa zaidi ya muongo mmoja. Madhara ya Covid kwenye uchumi wa...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ethiopia sasa ni nchi ya pili Afrika kwa ku-export maua. Kenya bado ni ya kwanza

    Watanzania fulani humu hupenda kusema kuwa Tanzania inaexport maua kwa wingi kushinda Kenya. Ukweli usiopingika ni kuwa Kenya ni ya kwanza Afrika kwa wingi wa kuexport maua. Kumbe hata nchi kame kama Ethiopia pia inaexport maua kwa wingi kushinda walazy wa kusini? Wabongo tusiwahi bishana tena...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Magaidi waendelea kuteka Msumbiji, hivi Watanzania "mlioikomboa" Afrika mbona mnashindwa kuwasaidia "ndugu" zenu hao?

    Visiwa kadhaa vya Msumbiji vimetekwa na kundi la magaidi wa kiislamu, wanaua bila kujali nini wala nini, pia mkoa wa Kaskazini uliopakana na Tanzania hakukaliki, hali imekua tete, watu wanatoroka vijiji vyao, serikali ya Msumbiji ni kama imeanza kukata tamaa. Nashangaa SADC imelala chali kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Wimbo wa Taifa wa "Umoja wa Afrika"/kwa Kiswahili

    Umoja Wa Afrika ulichagua Kiswahili kama lugha ya wimbo wa taifa wa Afrika
  15. JamiiForums Tanzania Sayansi yashindwa kwanini Afrika haijaathirika na Corona, sawa na nchi nyengine

    Wataalamu wa magonjwa ya kuambikiza Duniani kwa umoja wao wakiri kutofahamu kwa nini nchi za Kiafrika hazijaathirika kwa kiwango sawa na nchi nyengine Duniani. Wataalamu hao wamesema , “ Hali ya ugonjwa wa Corona katika nchi za Afrika hata wao zinawashangaza”. Wengi wamekiri kuwa wakati ugonjwa...
  16. JamiiForums Tanzania Afrika kupokea dozi milioni 220 za chanjo ya Covid-19

    Majaribio ya chanjo kwa binadamu yamekuwa ikiendelea kufanywa Afrika itakayoidhinishwa. Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema chanjo ya Covid-19 itakapoaidhinishwa, Afrika itapata karibu dozi milioni 220 za awali. Sehemu ya kwanza ya chanjo hiyo itapewa wafanyakazi wa afya na makundi...
  17. JamiiForums Tanzania Katiba ya shirikisho la Afrika Masharki

    Kama tunavyojua kwa sasa, marais wa Jumuiya waliamua kuwa kongamano la kisiasa (confederation) itakuwa muungano wa kisiasa wa mpito wa kukaribisha shirikisho la kisiasa (federation). Tofauti kubwa kati ya kongamano la kisiasa na shirikisho la kisiasa ni kuwa uanachama wa au kuondoka kongamano ni...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya 88 kwa Uvumbuzi (Innovation) Duniani na ya pili kwa Afrika Mashariki

    Jarida la Global Innovation Index limeionyesha Tanzania kuwa nchi ya 88 katika ugunduzi kwa mwaka 2020. Jarida hilo linatolewa na World Intellectual Property Organization, WIPO. Tanzania imekuwa ni nchi ya pili kwa Afrika Mashariki, ya kwanza ikiwa ni Kenya ambayo imeshika nafasi ya 86. Rwanda...
  19. JamiiForums Tanzania Watoto 70,000 wanakabiliwa kufa njaa Afrika

    Shirika la kimataifa linalohusika na watoto la Save the Children, linaonya kwamba watoto 70,000 katika eneo la Jangwa la Sahara wanakabiliwa na tisho la kufariki kutokana na njaa kabla ya mwisho wa mwaka huu . Shirika hilo pia Linasema janga la Covid-19 limezifanya baadhi ya familia kushindwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…