afrika

  1. JamiiForums Tanzania Hujuma kubwa ajira za Serikali ya wanyonge

    Nachokizungumza hapa nina uhakika nacho asilimia 100% naombeni msinichukulie kama nalalia mlango wazi bahati za wengine. Kwanini mimi mwenye GPA ya 4.5 ya UDSM sijapangiwa shule japokuwa nina uwezo mzuri wa kufundisha? Huu ni mwaka wa pili nimekaa mtaani. Sawa, sijajitolea. Hebu fikirieni...
  2. JamiiForums Tanzania WHO yaitaka Afrika kujiandaa na usambazaji wa chanjo ya corona

    Shirika la Afya Ulimwenguni-WHO, Alhamisi limezisihi nchi za Afrika kuandaa mipango ya kusambaza chanjo za COVID-19 kadri zitakavyopatikana. Utafiti mpya wa WHO uligundua kuwa nchi nyingi za Kiafrika haziko tayari kwa kile kitakachokuwa harakati kubwa zaidi ya chanjo barani humo. Kupanga na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Tanzania kujitoa katika Mahakama ya Haki za Binadamu Afrika

    Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (African Court on Human and Peoples' Rights) ni Mahakama ya Kibara iliyoanzishwa na nchi za Afrika ili kulindaHaki za Binadamu na za mataifa barani humo. Uamuzi huo ulichukuliwa naOAU huko Burkina Faso, mnamo Juni 1998 ukapata nguvu ya kisheria tarehe...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika (Tanzania) zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan? Ukiwa upo katika foleni ya magari barabarani, jaribu kufanya tathmini ya haraka...
  5. JamiiForums Tanzania Inawezekana kumuelimisha mtoto wa Kiafrika bila adhabu ya viboko?

    Inawezekana kumuelimisha mtoto wa Kiafrika bila adhabu ya viboko? Naomba kuelimishwa kwa nini unadhani ndio au siyo.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Withdrawal of individual rights to African Court will deepen repression

    The Tanzanian government has withdrawn the right of individuals and NGOs to directly file cases against it at the Arusha-based African Court on Human and Peoples’ Rights, Amnesty International has established. This withdrawal of rights will rob people and organisations in Tanzania a vital...
  7. JamiiForums Tanzania Je, naweza kutumia King'amuzi cha DSTV ya Afrika Kusini nchini Tanzania?

    Habari wakuu, Naomba tu kuuliza kama inawezekana nikatumia king'amuzi cha DSTV cha Afrika ya kusini nchini Tanzania. Nimeona nchi kama Zimbabwe na Malawi wanatumia sasa sijajua huko nyumbani iko vipi?
  8. JamiiForums Tanzania Afrika Mashariki inarudi nyuma kidemokrasia

    Askari hawaoni tabu kumuua Raia mwenzao ambae hana silaha mwenye mawazo tofauti na watawala. Hiyo imegeuka kuwa fasheni yetu sasa Afrika Mashariki. Viongozi wetu ni kama vile wanatafuta Uhuru upya. Wanapambana na yeyote anayewapinga sawasawa na walivyofanya makaburu na wakoloni kwa watu weusi...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Rais Ramaphosa ameapa kuwachukulia hatua waliomtorosha Nabii Bushiri kutoka Afrika Kusini kwenda Malawi

    RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema kuwa kutoroka kwa Nabii wa Malawi na mke wake nchini humo ni jambo ambalo analifuatilia kwa karibu na ameahidi kuchukua hatua baada ya kupata taarifa za kina. Nabii Shepherd Bushiri na mke wake Mary, wanakabiliwa na mashtaka ya ulaghai na...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hata makaburu waliijenga sana Afrika Kusini ila walikataliwa kwa kukosa utu

    Tunawaambie nyie watu wenye primitive mentality kuwa hakuna maendeleo yanayoweza kuhalalisha ukatili, unyanyasji, mauji na utesaji wa raia hata siku moja. Serikali yoyote duniani ambayo viongozi wake wamekosa utu, haikubali mbinguni na dunia labda itakubaliwa na shetani tu. Na msisahau...
  11. JamiiForums Tanzania Nabii Bushiri na Mkewe wajisalimisha kwa Polisi wa Malawi baada ya kukimbia kesi ya utakatishaji fedha Afrika Kusini

    Fugitive Malawian preacher turns himself in to police Malawian preacher Shepherd Bushiri and his wife Mary have handed themselves over to police in their home country after skipping bail in South Africa. The couple turned themselves in Malawi's capital, Lilongwe, on Wednesday morning...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mchungaji maarufu barani Afrika, Bushiri atoroka nchini Afrika Kusini baada ya kuachiwa kwa dhamana

    Mchungaji maarufu barani Afrika, Bushiri ametoroka nchini Afrika kusini baada ya kuachiwa kwa dhamana mapema mwezi huu kwa kushtakiwa kwa utapeli na utakatishaji fedha. Mchungaji Bushiri, ambaye amesema kuwa anataka kusafisha jina lake, amerejea katika nchi yake, Malawi, akiwa na mke wake Mary...
  13. JamiiForums Tanzania Afrika kushabikia ICC ni kama ushamba

    NI KAMA USHAMBA TU LEO AFRIKA KUSHABIKIA ICC? Na Elius Ndabila 0768239284 Msamiati wa ICC umekuwa maarufu sana Tanzania kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Ninaamini wapo ambao wanalitamka neno ICC wakiwa wanalijua vizuri na wapo ambao wameingia tu kwenye mkenge bila kujua. Leo nitawapitisha kidogo...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini ACT-Wazalendo wanaishitaki Serikali ICC badala ya Mahakama ya Afrika Mashariki? Huu ni uzalendo?

    Tunazo mahakama za Afrika na mahakama ya Afrika mashariki lakini ACT wazalendo wamevuka mipaka hadi bara la Ulaya kupeleka malalamiko yao ya kisiasa. Je, ICC ni bora kuliko mahakama za Afrika? Je, ACT wazalendo ni wazalendo kweli? Maendeleo hayana vyama!
  15. JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam yashinda tuzo ya ubora barani Afrika

    11 NOVEMBER 2020 Tanzania Daily News (Dar es Salaam) By Edward Qorro THE Port of Dar es Salaam has been voted as Africa's Leading Cruise Port in the 27th edition of the World Travel Awards (WTA), held in London on Tuesday. This is the first time Tanzania's largest port scooped the award in a...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya kupitia historia ya siasa ya Afrika,nimegundua 80% ya nchi za Afrika ni majimbo ya nchi za Ulaya na Marekani na marais ni kama ma Governor Tu

    Leo nimepitia karibu nchi zote za afrika historia ya siasa zao na namna uongozi unavyopatikana nchi hizo..kimsingi nchi zetu hata zile ambazo zinaonekana zimetulia hazina vita vya wenyewe kwa wenyewe ujue kuna nguvu kubwa nyuma wanasaidiwa na hizi nchi za kimagharibi pamoja na marekani kwa kiasi...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta: Nchi jirani zinahitaji siasa ambazo ushindani si uadui na vita

    Katika kile unachoweza kutafsiri kama ni Kenya kuguswa na siasa mpya za Tanzania, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesistiza ustahimilivu wa kisiasa hasa kwa nchi zilizoizunguka. Amesema uchaguzi unafaa kuleta utangamano wa nchi na siyo kinyume chake. Amedai kuwa siyo siri nchi zinazoizunguka...
  18. JamiiForums Tanzania Belarus na Alexander Lucashenko yanaakisi Afrika

    Belarus ni nchi iliyo mashariki mwa Ulaya, imepakana na Poland, Urusi, Ukraine na Lithuania. Ina jumla ya raia takriban 900,000 na mji wake mkuu ni Minsk. Alexander Lukashenko ni Rais aliyetawala Belarus tangu 1994. Katika utawala wake wapinzani wake wamepitia mateso makali sana. Ikiwemo...
  19. JamiiForums Tanzania Mbuga ya Serengeti yawa kinara kwa Utalii kwa Bara la Afrika

    Kama Watanzania wote kwa uwingi tulionao na kuweke Uzalendo mbele kila mtu kwa nafasi yake atangaze vivutio vya Utalii vya hpa Nchini naamini Taifa litaongeza mapato kupitia secta hii muhimu ya Utalii Nchini. Pia na sisi Watanzania tujenge utamaduni wa kwenda kutembelea vivutio vya Utalii...
  20. JamiiForums Tanzania Akitoa hotuba wakati wa kuapishwa Dkt Magufuli. Je, mtazamo wa Museveni unahakisi ule wa wengi wa Marais wa Afrika juu ya demokrasia ya vyama vingi?

    Nimejaribu kumsikiliza Rais Museveni wa Uganda wakati wa kuapishwa kwa Rais Dr Magufuli ili kuelewa anasema nini hasa. Nakubaliana nae juu ya mambo manne aliyoyasema- liberation, prosperity, strategic security na brotherhood. Ingawaje hiyo strategic security sikuielewa vizuri. Pia alisema kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…