afrika

  1. JamiiForums Tanzania Mwalimu Mkuu Afrika Kusini amlazimisha mwanafunzi kutafuta simu kwenye shimo la Choo

    Mwalimu mkuu wa shule moja nchini Afrika Kusini amesimamishwa kazi kwa madai ya kumlazimisha mwanafunzi kijana wa miaka 11 kutafuta simu kwenye shimo la choo. Inadaiwa kwamba mwalimu huyo alimshukisha mwanafunzi huyo kwenye shimo la choo kwa kutumia kamba akimuahidi randi 200 sawa na dola 14...
  2. JamiiForums Tanzania Kifahamu kijiji cha maajabu kinachoongoza kwa utalii Afrika, kinaelea kwenye ziwa

    Ganvie ni kijiji kilichopo kwenye ziwa huko nchini Benin ambacho kiko katika Ziwa Nokoué, karibu na Cotonou. Kikiwa na idadi ya watu karibu 20,000, kikielezwa kuwa huenda kikawa ndio kijiji kikubwa zaidi kilichopo kwenye ziwa barani Afrika na ni maarufu sana kwa watalii. Kijiji kiliundwa...
  3. JamiiForums Tanzania Je, wajua asili ya jina Afrika?

    Inasemekana kila jina lina asili yake na maana pia. Hata hilo jina lako ulipewa kwa sababu, na lina asili yake. Kama si la kutoka katika Biblia ama Quran, basi ni La kimila lenye kumaanisha jambo, kama vile siku, tukio, mahali ama hata shida au raha aliyopata mama wakati wa uzazi wako. Jiji...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga akutwa na COVID-19

    Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amekutwa na maambukizi ya #COVID19 lakini anaendelea vizuri katika hospitali ya Nairobi ambako amelazwa Odinga alilazwa tangu March 9 baada ya kuwa na uchovu mwingi na maumivu. Ambapo nduguze walisema hakuwa na dalili za shida za mapafu lakini...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Hamed Bakayoko afariki hospitalini Ujerumani

    Hamed Bakayoko enzi za uhai wake Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Hamed Bakayoko, amefariki dunia katika hospitali moja nchini Ujerumani, mamlaka imesema. Bakayoko, aliyekuwa akipata matibabu ya saratani, alifariki dunia Jumatano siku chache tu baada ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa ya 56...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania itavunja rekodi kuwa nchi ya kwanza Afrika, Mgombea urais wao anaishi Ulaya anakujaga kugombea urais Afrika

    Wakati nchi nyingi za bara la afrika zimekuwa zikitia aibu na marais ambao wakichaguliwa aidha wanakaa nunusu kwa nusu Ulaya na nyumbani au kuamia kabisa Ulaya, Marekani au hata Falme za kiarabu na kuwa na miji huku na kuona hayo ni maisha ya kiongozi. Hii imekuwa aibu na fedhea sana kwa bara...
  7. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika kuleta sampuli zao kuchunguzwa Tanzania

    MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema kuwa kutokana na umahiri wa maabara zilizopo kwenye Mamlaka hiyo zimeweza kutoa huduma ya upimaji wa sampuli mbalimbali kutoka Katika nchi tofauti za Afrika. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa TMDA ,Adam Fimbo katika mkutano maalum na waandishi wa...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania Ulikua kwa Kasi Zaidi Mwaka 2020 Kuliko Chumi Zote Afrika Mashariki na Afrika kwa Ujumla: Citi Researchers

    Tanzania's economy grew the fastest in Africa, 2020-Citi Tanzania is likely to emerge in the coming months as the fastest growing economy in Africa in 2020. This projection is based on data collected by Citi Researchers for Q3, 2020 which puts Tanzania’s Gross Domestic Product(GDP)...
  9. JamiiForums Tanzania Takwimu: Vigogo wa Afrika Simba SC ilikuwa bora kuliko Al Merrikh

    Hizo ni takwimu za game ya leo numbers dont lie. Kama hujui kusoma basi tazama hata picha. Simba Sc ilikuwa bora sana, plan A ilikuwa kumiliki mpira na kukataa kufungwa. Plan B ni kupata point 3. Simba Sc sio timu ya kienyeji inacheza kwa malengo makubwa. Simba Sc ndio timu tegemewa kwa Africa...
  10. JamiiForums Tanzania Klabu bingwa Afrika: Simba ugenini kuchuana na Al Merrekh

    Al Merrekh watawakaribisha wababe wa Msimbazi katika Dimba la Al Hilal huko Khartoum saa kumi jioni, katika mchezo huo Wasudan watatafuta kupata ushindi wao wa kwanza katika hatua ya makundi ya mashindano hayo Al Merrikh watawakaribisha Simba SC ambao wameshinda michezo yote miwili ya...
  11. JamiiForums Tanzania Je, mtu anapokaribia kufa huhisi chochote?

    Licha ya suala hili kubaki kuwa la muhanga na tukio lenyewe la kifo bado zipo tafiti za kitabibu zilizofanyika miaka ya karibuni zinazotoa majibu changamani ya wahanga yanayoweza angalau kudokeza kiasi juu ya nini kinachoendelea. Upo utafiti ulifanywa kwa manusura wa shambulio la moyo 140...
  12. JamiiForums Tanzania Watengeneza chanjo bandia ya Covid-19 walivyonaswa Afrika Kusini, China

    Polisi nchini China na Afrika Kusini wamekamata maelfu ya dozi bandia za chanjo ya Covid-19 na kuwakamata wahusika, Polisi wa kimataifa, Interpol wameeleza. Polisi wamewakamata watu 80 kwenye kiwanda nchini China kwa madai ya kutengeneza chanjo bandia , ambapo dozi 3,000 zilibainika tayari...
  13. JamiiForums Tanzania Ligi ya Mabingwa Afrika: Mamelodi Sandowns yang'ara kwa Mkapa, Yaipiga CR Belouizdad goli 5 kwa 1

    Michezo miwili ya Klabu bingwa Afrika itapigwa hii leo . Mchezo wa kwanza ni wa kundi B ambao utaikutanisha CR Belouizdad dhidi ya Mamelodi Sundowns katika Dimba la Benjamin Mkapa majira ya saa kumi kwa saa za Afrika Mashariki. Katika mchezo huo watazamaji hawatoruhusiwa kuingia uwanjani...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru aukwaa uenyekiti wa Kamati ya Usalama Afrika, hii ni mara tu baada ya kuchukua usukani EAC

    Ikumbukwe pia Kenya imepata uanachama kwenye kamati ya usalama ya Umoja wa Mataifa, ndio maana imebidi kupigiwa simu na rais wa Marekani bwana Biden ili wajadili udhabiti wa Afrika. President Uhuru Kenyatta signs the Finance Bill 2018 at State House, Nairobi. PSCU President Uhuru Kenyatta has...
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Peter Mathuki Atangazwa Kuwa Katibu Mkuu Wa Jumuiya Ya Afrika Mashariki

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Paul Kagame amemtangaza Dkt. Peter Mathuki kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Mathuki ambaye ni mkenya ni mtaalamu wa Uchangamano wa Kikanda, pia aliwahi kuwa Mbunge wa Afrika Mashariki (EALA) ambapo alikuwa mwenyekiti wa kamati ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Je, nami nikija kuwa Mwanasiasa Kiongozi Afrika nikiwa nafanya Umafia huu wa Kikatili kwa nitakaowateua nitakuwa nakosea au napatia?

    Kwa mfano ikitokea nikawa na Msaidizi wangu ndani ya Ikulu ambaye nilimwamini mno ila baadae akaanza Kunikosoa, Kuchukizwa na Utendaji wangu na tabia zangu za Ukatii wa Kurithi huku nikagundua huwa anavujisha pia Siri zangu na Kuwaamuru Wasaidizi wangu ( Wana Usalama ) wammalize Kiuhai ila...
  17. JamiiForums Tanzania EACSOF yashauri kuwe na hatua za kikanda za kukabiliana na COVID19 ikiwemo kuwa na chanjo itakayotengenezwa chini ya Africa-CDC

    EACSOF ilikaa Februari 26 kujadili muelekeo wa COVID19 na kushauri njia za pamoja za kukabilina na janga hilo Haya ni Mapendekezo ya EACSOF kwa Marais wa Jumuiya ya Afrika Mashariki siku moja kabla ya Marais hao kukutana 1. Wameshauri kuwa na hatua za kikanda dhidi ya gonjwa hili, hasa kuwa na...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Hoja kuhusu China kuweka mtego wa madeni barani Afrika ni habari za uwongo zinazotungwa na nchi za magharibi

    Katika karne ya 21, kutokana na mahitaji ya fedha kwa ajili ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi, kiwango cha madeni cha nchi za Afrika kimeongezeka sana, na shida ya madeni ya Afrika inafuatiliwa sana na jamii ya kimataifa na nchi za Afrika. Pamoja na kwamba kiwango cha ushirikiano kati ya...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Afrika yakabiliwa na utata katika kupambana na ugaidi wakati wa kuishi na COVID-19

    Gazeti la The Nation la Kenya liliripoti kuwa kundi la kigaidi la al-Shabaab hivi karibuni limetekeleza mfululizo wa mashambulizi katika kaunti ya Mandera, nchini humo na kusababisha vifo vya watu wengi na uharibifu mkubwa, na huenda nusu ya ardhi katika kaunti hiyo inadhibitiwa na kundi hilo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Je, Viongozi wa Afrika kuwatumia Wananchi wao Masikini kama turufu yao Kisiasa Wakihutubia ndiyo Siasa bora, Uadilifu na Maendeleo?

    Na Kinachoniuma kama siyo Kunisikitisha hata hao Masikini wenyewe (ama kwa Kujua au Kutokujua) wakiwa wanatajwa katika Mikutano ya Hadhara ya Viongozi wa Kiafrika (Afrika) kuwa ni Masikini na Wasibughudhiwe hufurahia kweli kweli. Nijuavyo kwa Kiongozi mchapakazi, makini na anayejitambua kamwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…