Je, wajua asili ya jina Afrika?

emma115

Senior Member
Apr 28, 2012
135
167
Inasemekana kila jina lina asili yake na maana pia. Hata hilo jina lako ulipewa kwa sababu, na lina asili yake. Kama si la kutoka katika Biblia ama Quran, basi ni

download.jpg

La kimila lenye kumaanisha jambo, kama vile siku, tukio, mahali ama hata shida au raha aliyopata mama wakati wa uzazi wako.

Jiji la Dar es salaam zamani liliitwa Mzizima. Sultani Seyyid Majid wa Zanzibar ndiye aliyelipa jiji hili jina "Dar es Salaam" linalotokana na lugha ya Kiarabu (Dār as-Salām) lenye kumaanisha "nyumba ya amani." Maelezo yanayopatikana mara nyingi kuwa maana ni "bandari ya salama" yachanganya maneno mawili yanayofanana katika Kiarabu yaani "dar" (=nyumba) na "bandar" (=bandari).

Dar es Salaam ilichaguliwa na wakoloni Wajerumani kuwa mji mkuu wa Afrika ya Mashariki ya Kijerumani kwa sababu ya bandari asilia yenye mdomo pana ya mto Kurasini.

Kuanzia 1891 Dar es Salaam ilichukua nafasi ya Bagamoyo kama makao makuu ya utawala. Bandari pamoja na ujenzi wa reli ya kati kwenda Kigoma tangu 1904 ziliimarisha nafasi ya mji ulioendelea kama mji mkuu baada ya Tanzania bara kuwa koloni ya Tanganyika chini ya Uingereza.

Bado kuna mabishano ya ni nini hasa asili ya jina Africa. Wengine wanadai linatokana na neno la Kigiriki la APHRIKE, lililomaanisha kusikokuwa na baridi, ama la Kilatini APRICA, lenye kumaanisha nchi yenye jua daima.

Wengine wanasema neno "Afrika" limetokana na lugha ya Kilatini ya Waroma wa Kale. Waroma kwa jina hilo hawakumaanisha bara lote bali eneo katika jimbo la Carthage ama Tunisia ya leo tu.

Asili yake ni kabila la "Afrig" lililoishi sehemu zile.Wakati huo Wagiriki wa Kale walitumia zaidi jina la Libya kwa ajili ya nchi kusini ya Bahari ya Mediteraneo. Maeneo ya ndani kuelekea kusini mara nyingi yaliitwa kwa jina la "Ethiopia" linalomaanisha nchi ya watu weusiweusi (kwa Kigiriki "aithiops": aliyechomwa na jua).

Katika ramani za kale kutoka Ulaya maneno yote matatu ya "Afrika", "Lybia" na "Ethiopia" yanapatikana yakitumika kama jina la bara. Jina la "Afrika" limekuwa kawaida kuanzia karne ya 16 BK.

Misri ya wakati huo ilikuwa inachukuliwa kama sehemu ya bara la Asia,na alikuwa Mwanajiografia aitwaye Ptolemy (85-165A AD) ambaye aliigawa Afrika na Asia na Ulaya kwa kuchora ramani inayoonesha Suez na Bahari Nyekundu kuwa ndio mpaka baina ya Asia na Afrika.
 
Kwi kwi kwi teh teh teh

Ki Egyptian ni Kiarabu na hiyo uliyoleta ni porojo za kujazwa ujinga.

Kiarabu nnakifahamu.

AFRIKA ni neno la Kiarabu kama nilivyolielezea juu huko.
unaona usivoifahamu historia...huwa unasima nini wewe?,watu wa asili wa Egypt ni akina nani?,tangu lini hao ndugu zako wakawa na akili ? soma hapa
The Black Egyptians are the original settlers of Kemet
The Black Egyptians--Original Settlers of Kemet

The Black Egyptians are the original settlers of Kmt. "The native Sudanese are one of the original pigmented Arabs in that region. They are members of the same ethnic family with the ancient Egyptians, the Ethiopians, the Southern Arabians, and the primitive inhabitants of Babylon. They are all founders and sustainers of the mighty Nilotic civilization we still admire today. They are very great nation of Blacks, who did rule almost over all Africa and Asia in a very remote era, in fact beyond the reach of history of any of our records.

Egypt is a Greek word meaning “Black.”

bullet.gif
The Egyptians of the Bible were Negroid.
bullet.gif
The Bible says both Egyptians and Ethiopians are descendants of Ham.
bullet.gif
Arabs invaded Egypt in the 7th Century AD; Remember, Egypt wasn't invaded by Rome until 300 BC. The Bible dates 4000 BC.
bullet.gif
Therefore, Arabs have no more connection to Ancient Egypt than Europeans have to Ancient America.
bullet.gif
Egyptian is an Afro-Asiatic language. (AFRO, AFRO)
bullet.gif
The national language of modern day Egypt is Egyptian Arabic, which gradually replaced Coptic. (Coptic--Ethiopia)
bullet.gif

Black Egyptians were eventually mixed with invading Libyans, Persians, Greeks, Romans, Turks, Arabs and Western Europeans. That is where the mixed people of the modern-day Arabs come from.
 
Amini Amini nakuambia ndugu yangu ni kweli na huu ukweli mzungu na muarabu ameuficha kwa muda mrefu sana lakini ukweli unajulikana, zipo makala nyingi zinazoelezea ukweli huu zimejaa mitandaoni jaribu kutafuta "the black pharaohs" ni documentary iliyofanywa na BBC itakupa mwanga.

Tutakiane heri mada Hakika nitaileta humu.
Mkuu hii kitu imekuwa mpya kwangu hebu ukpata mda utupe hako ka historia kakuonyesha halo zamani misiri ilikuwa ya watu weusi.
 
Oh asante ndugu yangu naona Africa tumeamua kuutafuta ukweli history ya muafrika iliyoandikwa na mzungu au mwarabu ni potofu na porojo iliyomdunisha muafrika kwa muda mrefu na akajiona duni kisha lengo la waandishi likatimia ila the true history of black people inaonesha muafrika alikua ni mtu mahiri mwenye akili nyingi na mwanadamu wa Kwanza kuitawala dunia nzima na kufikia maendeleo ambayo mpaka leo hakuna race yoyote iliyopata kuyafikia.

Nafarijika kuona ukweli unaanza kutafutwa na kupatikana proudly African.
unaona usivoifahamu historia...huwa unasima nini wewe?,watu wa asili wa Egypt ni akina nani?,tangu lini hao ndugu zako wakawa na akili ? soma hapa
The Black Egyptians are the original settlers of Kemet
The Black Egyptians--Original Settlers of Kemet

The Black Egyptians are the original settlers of Kmt. "The native Sudanese are one of the original pigmented Arabs in that region. They are members of the same ethnic family with the ancient Egyptians, the Ethiopians, the Southern Arabians, and the primitive inhabitants of Babylon. They are all founders and sustainers of the mighty Nilotic civilization we still admire today. They are very great nation of Blacks, who did rule almost over all Africa and Asia in a very remote era, in fact beyond the reach of history of any of our records.

Egypt is a Greek word meaning “Black.”

bullet.gif
The Egyptians of the Bible were Negroid.
bullet.gif
The Bible says both Egyptians and Ethiopians are descendants of Ham.
bullet.gif
Arabs invaded Egypt in the 7th Century AD; Remember, Egypt wasn't invaded by Rome until 300 BC. The Bible dates 4000 BC.
bullet.gif
Therefore, Arabs have no more connection to Ancient Egypt than Europeans have to Ancient America.
bullet.gif
Egyptian is an Afro-Asiatic language. (AFRO, AFRO)
bullet.gif
The national language of modern day Egypt is Egyptian Arabic, which gradually replaced Coptic. (Coptic--Ethiopia)
bullet.gif

Black Egyptians were eventually mixed with invading Libyans, Persians, Greeks, Romans, Turks, Arabs and Western Europeans. That is where the mixed people of the modern-day Arabs come from.
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom