afrika

  1. L

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa vijana wa Afrika kuhusu China waendelea kuboreka

    Elias Gebreselassie alilelewa Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia, na kama wenzake, amekuwa na fikra kuwa kwamba majengo marefu, maduka makubwa na barabara kuu zinaweza kuwa maonyesho tu katika sinema za Hollywood. Lakini katika kipindi cha muongo mmoja uliopita Gebreselassie amejionea kwa hakika...
  2. JamiiForums Tanzania Historia ya dunia bila Afrika haipo

    Dar Iseeh katika Maisha huwa tunapitia Vitu vingi sana, vigumu na vyepesi mpaka vya kati Usimdharau mtu aiseeh, usimdharau mtu usie Mjua maana hujui juu yake, na hii haina maana kwamba umdharau unae mjua, hapana sina maana hiyo nataka kusema tu kuwa 𝗧𝘂𝗵𝗲𝘀𝗵𝗶𝗺𝗶𝗮𝗻𝗲. Katika maisha siku zote...
  3. JamiiForums Tanzania Viongozi waliopigania Uhuru wa Afrika, wapumzike kwa amani

    Ninaona Samora Matchel alimuiga Fidel Castro kuanzia mavazi. Dhamira yake ilikua kuifanya Msumbiji kuwa kama Cuba.
  4. JamiiForums Tanzania Task TRA force Bado wananyanyasa watu, wavamia Bar ya Mpo Africa wabeba kreti za bia Usiku huu

    Nchi hii sijui imelaaniwa wapi, ni juzi tu Rais wetu mpendwa Mama Samia aliwaonya Task forces TRA waache kutumia nguvu kudai kodi lakini usiku huu wamevamia Mpo Afrika bar iliyopo Temeke na kubeba crates za bia wakiwa wameambatana na polisi wengi wenye silaha.Hivi unapomvamia biashara ya mtu...
  5. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Jeshi kusaidia mapambano dhidi ya Virusi vya Corona

    Serikali inawapeleka Wataalamu wa Afya kutoka Jeshini kwenye Jimbo la Gauteng ambalo ni idadi kubwa ya watu na ni kitovu cha Biashara, ili kusaidia mapambano dhidi ya Corona Virus. Afrika Kusini ambayo imeathiriwa zaidi ya mlipuko huo Barani Afrika inakabiliwa na wimbi la tatu ambapo maambukizi...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mzee Kaunda na mchango wake kwenye ukombozi wa Afrika, na uhusiano kati ya China na Afrika

    Aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zambia mzee Kenneth Kaunda amefariki dunia katika hospitali ya jeshi mjini Lusaka, alikokuwa amelazwa kutokana na kuumwa. Kuumwa na kuaga dunia kwa Mzee Kaunda, sio tu kumewafanya watu wengi wakumbuke mchango wake katika ukombozi wa eneo la kusini mwa Afrika, na...
  7. S

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Is it true that the telecast of covid-19 horrible situation in Uganda is just a propaganda?

    ABOUT THE FOOTAGE below:- In Uganda, people of Kasese almost killed health officials following their illicit move of burying an empty coffin which they claimed to be carrying the Covid-19 dead body. This came after the long lived and widespread rumours in Uganda, that the government is...
  8. JamiiForums Tanzania WHO: Afrika inakabiliwa na ongezeko la maambukizi ya Corona

    Mkurugenzi wa Shirika la Afya (WHO) Afrika, Matshidiso Moeti amesema Afrika inakabiliwa na wimbi la tatu la mlipuko wa COVID-19 ambapo maambukizi mapya yameongezeka kwa 30% wiki iliyoisha na vifo kwa 15%. Asilimia 76 ya maambukizi mapya yametajwa kutokea katika Nchi tano za Afrika Kusini...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa pande nyingi unaotetewa na China unahakikisha Afrika inapata haki katika sekta ya afya

    Tarehe 17, Juni mwaka 2020, mkutano wa kilele wa mshikamano dhidi ya COVID-19 kati ya China na Afrika ulifanyika, ambapo rais Xi Jinping wa China alitoa pendekezo la “kujenga jumuiya yenye hatma ya pamoja katika sekta ya afya kati ya China na Afrika”. Katika mwaka mmoja uliopita, China imekuwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke Marais waliopita katika nchi mbalimbali za Afrika waliokuwa na misimamo thabiti isiyoyumbishwa!

    Wa kwanza ni Nkwame Nkrumah wa Ghana!! Mabeberu hawana hamu naye! Alipigania uhuru wa Afrika na kukataa kuburuzwa na mabeberu!! Ni alama ya kwanza kwa mashujaa wa Afrika. Karibuni tuendeleze orodha! Nkrumah defined his belief system as "the ideology of a New Africa, independent and absolutely...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za magharibi hazipaswi kuusemea vibaya ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye sekta ya habari

    Katika miaka ya hivi karibuni suala la ushirikiano kwenye sekta ya habari kati ya China na Afrika limekuwa likifuatiliwa na nchi za magharibi, na kuongezeka kwa uwepo wa China kwenye sekta ya habari barani Afrika kunachukuliwa kama ni uingiliaji wa China kwenye himaya ya habari ya vyombo vya...
  12. JamiiForums Tanzania Wanadiplomasia wa Malawi Nchini Afrika Kusini wafukuzwa kufuatia skendo ya biashara haramu ya pombe

    Afrika Kusini imewafukuza wanadiplomasia kadhaa wa Malawi baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na biashara haramu ya kuuza pombe bila kulipa tozo. Taifa hilo pia limefukuza Wanadiplomasia kadhaa kutoka Lesotho kwa sababu hizo Wizara ya Mambo ya Nje ya Malawi imesema Afrika Kusini iliwapa...
  13. JamiiForums Tanzania Eng. Hersi Said ndani ya Afrika Kusini: Je, ni kuhusu usajili wa Lazarous Kambole?

    Mambo vipi wanajangani? Leo asubuhi nilikuwa pande za Kariba Lodge hapa mkabara na barabara ya Devland road, kusini kabisa ma jiji la Johannesburg. Nikashangaa sana kumuona mtu mzima Eng. Hersi Said ndani ya Chevrolet Nyeusi akielekea kwenye ofisi za Kaizer Chief. Je? inawezekana baada ya...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yailaumu China kwa kutotoa fursa za ajira kwa Afrika? Takwimu hazidanganyi

    Hivi karibuni, waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken alitoa kauli inayokwenda kinyume na ukweli, akizilaumu kampuni za China kupeleka wafanyakazi wake wengi barani Afrika na kunyima fursa za ajira wanazoweza kupata wenyeji wa Afrika. Alipozungumza na wahitimu wa “Mpango wa Viongozi...
  15. L

    JamiiForums Tanzania China iko tayari kubeba jukumu la uongozi katika kuisaidia Afrika kufufuka baada ya janga la Covid-19

    Kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Mjumbe wa Taifa wa China na Waziri wa Mambo ya Nje Wang Yi amesema China inaona uwezo wa Afrika wa kusimamia COVID-19 ni muhimu katika kusaidia dunia kufufua biashara na uchumi wake. Serikali ya China imesema Beijing inaiunga mkono Afrika kufufuka...
  16. JamiiForums Tanzania Afrika inarejea katika zama za mapinduzi?

    Afrika ya zama za Mwl Nyerere, Nkrumah, Jomo Kenyatta, Mobutu Seseseko, Augustino Neto. Tulishuhudia mapinduzi kila uchao sababu kubwa ilikuwa pengine uchanga wa nchi husika, maslahi ya wakoloni, upendeleo katika ugawaji wa rasilimali na nk. Kidogo Afrika ilipumzika katika zama za mapinduzi ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli siyo shujaa wa Afrika, Kikwete ni shujaa wa Afrika

    Nilipokuwa nafuatilia msiba wa Magufuli, kwenye Television ya Taifa TBC, walikuwa wameweka maneno kumhusu Magufuli kuwa ni Shujaa wa Afrika lakini nikawa navuta fikra. Je, ushujaa wa Magufuli kwa Afrika ni upi?, Nikasema pengine ni kwa "Rhetoric" zake za kutukana Wazungu na kuwaita Mabeberu...
  18. JamiiForums Tanzania Chad na Jamhuri ya Afrika ya kati (CAR) watoa wito kwa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika (AU) kuchunguza kuuawa kwa wanajeshi

    Pande hizo mbili zinatambua uzito wa hali hiyo na zinasisitiza dharura ya kufafanua mazingira ambayo shambulizi hili lilifanyika, mawaziri wa mambo ya nje wa Chad na CAR walisema katika taarifa ya pamoja Jumanne jioni. Chad na Jamhuri ya Afrika ya kati (CAR) wanatoa wito kwa Umoja wa Mataifa na...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya kiutamaduni kati ya China na Afrika kupitia filamu yaleta tija ya ajira kwa vijana

    Mwingiliano wa utamaduni kati ya China na Afrika hivi sasa umekuwa mkubwa sana. Ni kutokana na maingiliano haya ndio maana pande hizi mbili zimekuwa zikifahamu baadhi ya tamaduni za pande zote mbili. Sote tunafahamu kwamba utamaduni umejikita na kuonekana kwenye mambo mbalimbali, yakiwemo lugha...
  20. JamiiForums Tanzania Hizi ndio nchi kumi Afrika zenye uwezo mkubwa wa kijeshi

    Habari zenu ndugu zangu wakubwa kwa wadogo. Leo nimeangalia katika BBC Swahili nikakutana na list ya nchi kumi za Afrika zenye uwezo mkubwa kijeshi. Ki ukweli hii list imenishangaza kuona baadhi ya nchi ambazo zimeshindwa hata kuleta amani au hata kutuliza hali ya usalama katika nchi zao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…