afrika

  1. JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania mnaokimbiliaga South Afrika kuna kitu gani cha maana huko?

    Mbona ni kama wana maisha magumu tu kama sisi tena inawezekana magumu kuliko hata sisi
  2. JamiiForums Tanzania Mtazamo wa raia wa nchi za Afrika wanaoishi Ulaya na Marekani juu ya Hayati Rais Magufuli

    Ndugu wana JF nimeona nishare na ninyi kile walichonieleza hawa marafiki zangu niliokutana nao South Africa kipindi nahangaikia ndoto zangu kuhusu mtazamo wao kwa aliyekuwa rais wetu JPM. Kuna rafiki yangu raia wa Kameruni ila kwa sasa anaishi Marekani. Jamaa ni PhD wa uchumi na amefundisha...
  3. JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini misaada na mikopo haiwasaidii Waafrika ila inawafanya wawe masikini zaidi?

    Nchi nyingi za kiafrika huwa zinapokea mikopo na misaada kutoka nje ya afrika, ila mikopo hii na misaada inaonekana kuto wanufaisha waafrika kiujumla ila zaidi inawaweka katika mzigo Wa madeni na mtego Wa masharti kandamizi, hapa panaitaji umakini zaidi na ndio maana nimeandika ili angalau tuone...
  4. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Jacob Zuma ashindwa kushawishi Mahakama kubadili Hukumu yake

    Mahakama ya Juu zaidi imeamua kwamba aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Jacob Zuma ameshindwa katika azma yake ya kutaka kifungo chake cha miezi 15 kibadilishwe. Mwezi Julai, Zuma aliomba Mahakama kutengua Hukumu dhidi yake akisema kifungo cha jela kitahatarisha Afya pamoja na maisha yake, hoja...
  5. JamiiForums Tanzania WHO yasema ukosefu wa chanjo Afrika unaweza kuirudisha nyuma dunia

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Afrika inakabiliwa na upungufu wa dozi milioni 470 za chanjo ya COVID-19 mwaka huu, baada ya mpango wa kimataifa wa COVAX kupunguza makisio ya shehena yake, na kuibua wasiwasi wa aina mpya na hatari za kirusi hicho. Kitengo cha WHO barani humo kilisema...
  6. L

    JamiiForums Tanzania China inavyoshikana mkono na wenzake wa Afrika katika kuinua huduma za afya

    Ikiwa dunia bado ipo kwenye taharuki ya ugonjwa thakili la COVID-19, nchi mbalimbali zinaendelea kufanya juhudi ya kupambana na ugonjwa huu ili kuhakikisha unatokomezwa kabisa. Mbali na hatua mbalimbali zinazochukuliwa za kuzuia janga hili, nchi za Afrika bado zinaendelea kusuasua na kuonekena...
  7. JamiiForums Tanzania SoC01 Chanzo cha umaskini kwa wasomi wa Afrika

    Habari zenu wapendwa karibuni katika makala ii ambayo tunaangazia nini chanzo cha umaskini kwa wasomi wa afrika Kabla sijaanza kuzizungumzia sababu ningependa kuwafamisha wasomaji kua napozungumzia wasomi najumuisha waitimu wa vyuo na waajiriwa wa serikalini ata walojiajili 1...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Rwanda ndio kioo cha Watawala Afrika Mashariki na Kati?

    Kumekuwa na Safari kadhaa kwa watawala na wakuu wa vikosi vya ulinzi katika nchi za afrika mashariki na Kati kwenda Rwanda. Ziara hizo bila ya shaka huwa zinabeba ajenda nyingi. Ama kwanini Rwanda kioo na kigezo watawala na viongozi waandamizi katika serikali za afrika mashariki na Kati...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika hauko kwenye “dira” au karatasi tu

    “Msimu wa kutangaza bidhaa za Afrika kwenye mtandao wa internet” wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika kwa mwaka 2021 umezinduliwa hivi karibuni na utaendelea katika miezi mitatu ijayo. Hili ni tunda la mapema lililopatikana kwa China kutekeleza ahadi yake ya kusaidia Afrika kuhimiza...
  10. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini kulegeza kanuni za kudhibiti janga la Corona

    Rais Cyril Ramaphosa amesema Kanuni zilizowekwa kudhibiti mlipuko zitalegezwa kuanzia leo Septemba 13, 2021 kutokana na maambukizi kupungua. Amesema japokuwa Wimbi la Tatu ambalo limechochewa na Kirusi cha Corona aina ya Delta halijaisha, Taifa hilo limeshuhudia maambukizi yakishuka katika wiki...
  11. JamiiForums Tanzania SoC01 Ndoa ni chanzo cha umaskini Afrika

    NDOA NI CHANZO CHA UMASKINI AFRICA Wa hali gani wapenzi wasomaji wa jukwaa hili la Hadithi za mabadiliko. Bila shaka ni matumaini yangu kuwa ni wazima wa afya. Karibuni katika makala hii ambayo inaangazia ni kwa kiasi gani ndoa huchangia umaskini Afrika. Najua wengi mmeshaangaa lakini baada ya...
  12. JamiiForums Tanzania SoC01 Umuhimu wa kumuelimisha Mwanamke hasa katika Jamii ya Afrika

    Ukweli ni kwamba kwa umuhimu wa elimu hakuna shaka kusema ndio kiungo kikubwa kwenye maisha ya binadamu kwasababu hiyo ili jamii iwe ni jamii kamili na yenye usawa na lazima kuwaelimisha wanawake ambao wao ni kiunganishi kikubwa kwa zaidi ya asilimia sabini kwanini nasema hivyo Kwa takwimu ya...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania hatimaye yakubali kuingia kwenye soko la pamoja Afrika, baada ya kusuasua...hongera mama Samia

    Huu ndio uongozi, yaani uthubutu wa kufanya sio kuogopa ogopa na kuwa na vijisababu vya hovyo.... Tanzania on Thursday ratified the agreement establishing the African Continental Free Trade Area (AfCFTA), effectively joining a pact connecting countries with a total gross domestic product of...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania yaridhia utekelezaji wa mkataba wa uanzishwaji wa eneo huru la biashara Afrika (AfCAFTA)

    Kazi iendelee! ========= BUNGE LAKUBALI KUINGIA SOKO LA PAMOJA LA AFRIKA Bunge la Tanzania limekubali kuingia katika Makubaliano ya kuanzisha Soko la Pamoja la Afrika Maamuzo hayo yamefanyika Septemba 9, 2021 bungeni Dodoma Waziri wa Uwekezaji, Dkt. Kitila Mkumbo amesema Tanzania inaingia...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili kubwa: Ubunifu wa kijana Mkenya wasababisha apokee hela ndefu zaidi ya balaa

    Yaani tu basi............. A Kenyan, on Wednesday, September 8, scooped the most coveted continental award bagging Ksh165 million at the African Green Revolution (AGR) summit. Kenyan entrepreneur, Jehiel Oliver, won the inaugural Agriculture, Youth and Technology (AYuTe) Africa Challenge...
  16. JamiiForums Tanzania Ukuaji wa mziki wa Afrika. Hakika tunakua na kusonga mbele

    Habari za kazi wa kuu katika jukwaa langu pendwa, kwanza natoa pole kwa member wote kwa kuondokewa na mtu muhimu katika jukwaa hili warumi simfaham sura ila kwa taarifa nilizo pata ni home boy kabisa.😭😢 Mimi nimdau wa mziki wa Afrika wa kizazi kipya kwa kitambo kirefu toka miaka ya 90 mwishoni...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Licha ya mafanikio kujua kusoma na kuandika bado ni changamoto kwa baadhi ya watu katika nchi za Afrika

    Tarehe 8 Septemba ya kila mwaka ni siku ya kimataifa ya kujua kusoma na kuandika, ambayo pia inafahamika kama siku ya kisomo. Siku hii inaadhimishwa ili kufuatilia maendeleo ya sekta ya elimu katika nchi mbalimbali, duniani hasa elimu ya msingi ambayo lengo lake kuu ni kufuta ujinga. Lakini...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Misaada na Mikopo imeidumaza Afrika

    Dunia imepita kwenye Mapinduzi mbalimbali ya viwanda karibia levels 4. Ila Unajua Afrika has never succeeded neither of those industrial revolution levels. Na ukichunguza na kusoma tafiti mbalimbali utagundua misaada na Mikopo ndio imetulemaza na kutuweka hapa tulipo leo. Nadhani ufike wakati...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” lasaidia Afrika kuboresha miundombinu ili kupata maendeleo

    Huu ni mwaka wa nane tangu China itoe pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja”. Katika kipindi hicho, ujenzi wa miradi ya ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika kutokana na pendekezo hilo umepamba moto, na kusaidia nchi za Afrika kuboresha miundombinu ili kupata maendeleo ya uchumi. Hali...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Marekani yadhalilishwa kwa kuharibu uhusiano kati ya China na Afrika

    Kwa muda mrefu, baadhi ya wanasiasa nchini Marekani wamefanya kila wawezalo kuchafua jina la China kwa kuisema kama ni hatari na kufanya ukoloni mambo leo ili kuharibu uhusiano kati ya China na Afrika. Hata mkuu wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Stephen Townsend...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…