afrika

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ajenda ya AU 2063 na miradi inayotekelezwa na China ya BRI ni injini ya ukuaji Afrika

    Nchi za Afrika zimejiwekea mikakati ya kiuchumi kulingana na maslahi na hali halisi ya kila nchi. Lengo kuu ni kufikia maendeleo endelevu na kuhimiza ukuaji wa kiuchumi ambao unafaisha watu wengi. Benki ya Maendeleo ya Afrika inakadiria kwamba kiwango cha ukuaji wa uchumi wa Afrika kwa mwaka huu...
  2. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania 2021 UNGA: Hotuba ya Rais wa Ghana, Nana Akufo Addo Ndiyo Hotuba Bora Kabisa Inayogusa Mambo Mtambuka Yanayolikabili Bara la Afrika

    Hii hotuba kwa kweli imegusia maswala ya msingi sana na ambayo marais wengine wameogopa kuyaongelea kwa kuwaogopa donor countries. Mojawapo ya hayo mambo ni kama yafuatayo: 1. Afrika inatakiwa kujenga uchumi ambao hautegemei misaada na mikopo, kwa sababu uzoefu wa muda mrefu na wenye uchungu...
  3. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ubunifu wa kijana Mkenya kuwakilisha Afrika kwenye shindano la kimataifa baina ya wabunifu duniani

    Kama kawaida, Afrika tunazidi kuiwakilisha kwenye mambo makuu yanayohitaji matumizi ya ubongo. A Kenyan startup has made it to the finals in an international competition for newly established businesses, where the winner will take home Ksh11,040,000 prize money. KOA Mobile App, which offers...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania UNGA: Afrika yaeleza ukosefu wa usawa chanjo za Corona

    Viongozi wa Afrika wameelezea ukosefu wa usawa katika usambazaji wa chanjo za Covid-19, wakati walipohutubia kikao cha 76 cha Baraza kuu la Umoja wa Mataifa, mjini New York. Katika hotuba yake ya kwanza kwa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema ukosefu wa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania China haitakiwi kulaumiwa kwa kusaidia nchi za Afrika kuwachunguza watu wake kupitia ushirikiano wa kidigitali

    Na Fadhili Mpunji Katika miaka ya hivi karibuni bara la Afrika limekuwa na maendeleo makubwa kwenye sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) na mambo ya kidigitali kwa ujumla, na sekta hii inatajwa kuwa ni moja ya sekta zenye maendeleo ya kasi zaidi katika nchi za Afrika, na kuwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kuwaendeleza waafrika kwa kutumia rasilimali zao ni mtindo mpya wa wawekezaji binafsi barani Afrika

    Tangu mwaka 2000 serikali ya China ilianza kuwahimiza wafanyabiashara kuwekeza katika nchi nyingi duniani ikiwemo nchi za Afrika. Na matokeo yake ni kuwa mwaka 2019 thamani ya uwekezaji wa moja kwa moja wa China barani Afrika ulifikia dola bilioni 44.39, ukiwa ni asilimia 4.7 ya jumla ya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika umeshindwa kutengeneza chanjo ya COVID-19?

    Kuna tatizo kubwa Afrika, Yaani hata kwa kuunganisha Nguvu zetu kwa pamoja kuja na chanjo moja imeshindikana, tunabaki kuwapa pongezi kubwa wazungu kwa kutuletea chanjo. maisha ya mwafrika yapo mikononi mwa mzungu. Sasa tuna Uhuru gani? Uhuru wa kupandisha bendera na kushusha basi. Uhuru wa...
  8. Nyumba Nafuuu

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika

    Hapa katika uzi huu nakupa Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika. Zipo nyumba nyingi, so angalia ktk comment kuona zaidi
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mtaguso wa Washington DC kati ya Rais Obama na baadhi ya Viongozi wa Dola za Afrika

    Taswira zote kwa hisani ya: https://www.google.com/intl/en/permissions/using-product-graphics.html Mnamo Agosti 4 - 6, 2014 US ilikuwa na mkutano baina yake na baadhi ya viongozi wa Afrika kujaribu kufufua mkataba wa AGOA (African Growth and Opportunity Act) ambao kimsingi ni sera ya Marekani...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Maambukizi Barani Afrika yafikia Milioni 8.1

    Maambukizi Barani Afrika yamefikia Milioni 8.1 hadi kufikia mwishoni mwa wiki iliyopita huku Wagonjwa waliopona wakiwa 7,454,718 na vifo 206,202 Kwa mujibu wa Kituo na Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa Barani humo, miongoni mwa Mataifa yaliyoathirika zaidi ni Afrika Kusini, Morocco, Ethiopia na...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Afrika yatakiwa kulinda kwanza haki ya maendeleo huku ikishiriki kwenye jitihada za dunia za kupambana na mabadiliko ya tabianchi

    Ili kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, “kupunguza utoaji wa hewa ya kaboni” imekuwa maoni ya pamoja kivitendo ya nchi mbalimbali duniani, lakini nchi zilizoendelea ambazo zimekamilisha mchakato wa maendeleo ya viwanda zinachukua msimamo mkali juu ya suala hili. Mapema mwaka huu, nchi saba...
  12. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Hivi Watanzania mnaokimbiliaga South Afrika kuna kitu gani cha maana huko?

    Mbona ni kama wana maisha magumu tu kama sisi tena inawezekana magumu kuliko hata sisi
  13. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa raia wa nchi za Afrika wanaoishi Ulaya na Marekani juu ya Hayati Rais Magufuli

    Ndugu wana JF nimeona nishare na ninyi kile walichonieleza hawa marafiki zangu niliokutana nao South Africa kipindi nahangaikia ndoto zangu kuhusu mtazamo wao kwa aliyekuwa rais wetu JPM. Kuna rafiki yangu raia wa Kameruni ila kwa sasa anaishi Marekani. Jamaa ni PhD wa uchumi na amefundisha...
  14. Ghost boss

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini misaada na mikopo haiwasaidii Waafrika ila inawafanya wawe masikini zaidi?

    Nchi nyingi za kiafrika huwa zinapokea mikopo na misaada kutoka nje ya afrika, ila mikopo hii na misaada inaonekana kuto wanufaisha waafrika kiujumla ila zaidi inawaweka katika mzigo Wa madeni na mtego Wa masharti kandamizi, hapa panaitaji umakini zaidi na ndio maana nimeandika ili angalau tuone...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Jacob Zuma ashindwa kushawishi Mahakama kubadili Hukumu yake

    Mahakama ya Juu zaidi imeamua kwamba aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Jacob Zuma ameshindwa katika azma yake ya kutaka kifungo chake cha miezi 15 kibadilishwe. Mwezi Julai, Zuma aliomba Mahakama kutengua Hukumu dhidi yake akisema kifungo cha jela kitahatarisha Afya pamoja na maisha yake, hoja...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania WHO yasema ukosefu wa chanjo Afrika unaweza kuirudisha nyuma dunia

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Afrika inakabiliwa na upungufu wa dozi milioni 470 za chanjo ya COVID-19 mwaka huu, baada ya mpango wa kimataifa wa COVAX kupunguza makisio ya shehena yake, na kuibua wasiwasi wa aina mpya na hatari za kirusi hicho. Kitengo cha WHO barani humo kilisema...
  17. L

    JamiiForums Tanzania China inavyoshikana mkono na wenzake wa Afrika katika kuinua huduma za afya

    Ikiwa dunia bado ipo kwenye taharuki ya ugonjwa thakili la COVID-19, nchi mbalimbali zinaendelea kufanya juhudi ya kupambana na ugonjwa huu ili kuhakikisha unatokomezwa kabisa. Mbali na hatua mbalimbali zinazochukuliwa za kuzuia janga hili, nchi za Afrika bado zinaendelea kusuasua na kuonekena...
  18. Btitle

    JamiiForums Tanzania SoC01 Chanzo cha umaskini kwa wasomi wa Afrika

    Habari zenu wapendwa karibuni katika makala ii ambayo tunaangazia nini chanzo cha umaskini kwa wasomi wa afrika Kabla sijaanza kuzizungumzia sababu ningependa kuwafamisha wasomaji kua napozungumzia wasomi najumuisha waitimu wa vyuo na waajiriwa wa serikalini ata walojiajili 1...
  19. aleesha

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rwanda ndio kioo cha Watawala Afrika Mashariki na Kati?

    Kumekuwa na Safari kadhaa kwa watawala na wakuu wa vikosi vya ulinzi katika nchi za afrika mashariki na Kati kwenda Rwanda. Ziara hizo bila ya shaka huwa zinabeba ajenda nyingi. Ama kwanini Rwanda kioo na kigezo watawala na viongozi waandamizi katika serikali za afrika mashariki na Kati...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika hauko kwenye “dira” au karatasi tu

    “Msimu wa kutangaza bidhaa za Afrika kwenye mtandao wa internet” wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika kwa mwaka 2021 umezinduliwa hivi karibuni na utaendelea katika miezi mitatu ijayo. Hili ni tunda la mapema lililopatikana kwa China kutekeleza ahadi yake ya kusaidia Afrika kuhimiza...
Back
Top Bottom