afrika

  1. Brelim Skoro_

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vitu wasivyokuambia

    Niwasalimu woote kwa niaba ya Jamii Forums. Leo naomba tuelekee kwa wakuu wetu waliopo kutuwakilisha na kuamua hatma ya nchi ( Wawakilishi/ Viongozi ) . FIKRA ZANGU: Afrika kwa ujumla hatuna viongozi Bali watu wanaocheza na hofu na hisia zetu. Viongozi wamekuwa watu wanaotafuta njia fupi ya...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Soma Hiyooo: Usajili Simba Sc kusimamisha bara la Afrika leo

    Leo Simba Sc inaenda kufanya utambulisho ambao bara la Afrika na mabara ya jirani yataenda kusimama. Bonus Mambo anayofanya Peter Banda huko kambini ni hatari mpaka wenzake wanabaki wanashangaa
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nchi tajiri zakosolewa vikali kwa kutoa chanjo za ziada wakati hali ikiwa mbaya Afrika

    Mkurugenzi wa shirika la afya Duniani kanda ya Afrika amezikosoa vikali nchi tajiri kwa kutoa chanjo ya tatu kwa watu ambao tayari wameshapatiwa chanjo hizo dhidi ya maambukizi ya virusi vya corona. Mkurugenzi huyo Matshidiso Moeti amewaambia waandishi habari kwamba uamuzi wa nchi hizo...
  4. L

    JamiiForums Tanzania China kuigeuza Afrika kutoka “jangwa la chanjo” kuwa “chemichemi ya chanjo jangwani”

    Hivi karibuni televisheni ya Marekani ya CNN ilitoa makala yenye kichwa cha “mjomba wangu anayeishi Kenya alikufa kwa COVID-19 kwa sababu ya kutopata chanjo, lakini naweza kuchanjwa katika duka la dawa nchini Marekani”, ikisimulia upatikanaji wa chanjo usio na usawa duniani, hali ambayo inaitwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Uchaguzi wa Zambia ni ushindi kwa demokrasia ya Afrika

    SHAKA: UCHAGUZI WA ZAMBIA NI USHINDI KWA DEMOKRASIA YA AFRIKA "Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinawapongeza wananchi wa Zambia kwa kukamilisha uchaguzi mkuu wao kwa amani na utulivu" Shaka Mwenezi Taifa "Na kumpongeza kwa ushindi Rais Mteule Hakainde Hichilema aliyetangazwa kufuatia uchaguzi...
  6. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi iliyoshinda medali nyingi za Olympiki kushinda nchi yoyote hapa Afrika ni Kenya

    Kenya imeshinda medali nyingi za Olympiki kushinda nchi yoyote ile hapa Afrika. Sisi ni watu wa kujituma. Lazyland tazameni wazee wa kuchapa kazi jinsi kazi inavyostahili kufanywa.
  7. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya ndio nchi ya kwanza Afrika ku-host U-20 world Athletics Championships

    Michezo hii ya riadha ya dunia ya vijana wenye umri chini ya 20 itafanyika hapa Nairobi wiki ijayo. Kenya ndio nchi ya kwanza kuhost mashindano haya Afrika. Kenya pia ilikuwa nchi ya kwanza kuhost under 18 world athletics championships miaka michache iliyopita. Hapa chini team kutoka Poland...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ishara za utawala wa kiimla hizi hapa

    Maditkteta hupanda madarakani kupitia vurugu au mapinduzi au wizi wa kura. Hata hivyo wapo madikteta walioingia kwa njia halali na baadaye kugeuka na kuwa madikteta. Kwa mfano Adolf Hitler, aliteuliwa kuwa Chansela wa Ujerumani au mkuu wa serikali, na Rais Paul von Hindenburg mwaka 1933. Baada...
  9. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Zifahamu nchi 10 bora kwa usafi barani Afrika

    Usafi ni jambo muhimu, linalotazamwa kuanzia kwa mtu binafsi, nyumbani, ofisini, jamii ama taifa. Na watu wanaoishi kwenye eneo safi kwa mujibu wa wataalamu wanatajwa kuwa na maisha marefu zaidi kuliko wale wanaoishi kwenye mazingira machafu. Maji safi, hewa safi, utunzaji mzuri wa taka na...
  10. hiram

    JamiiForums Tanzania Simba kama Majimaji mwaka 1999

    Mwaka 1999 timu ya Majimaji ya songea ilishiriki klabu bingwa na bila kuanzia raundi ya awali, walianzia mmoja kwa moja raundi ya kwanzakwa kucheza na Al Ahly kama ambavyo simba wataanza mwaka huu. hii ilitokana na mafanikio ya kinchi yaliyoletwa na DAR YOUNG AFRICANS mwaka wa nyuma yake 1998...
  11. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uongozi bora ni chachu ya maendeleo chanya Tanzania na Afrika

    UTANGULIZI Viongozi wanaojitambua na kuzitambua vizuri kazi na majukumu yao ndilo jicho bora katika kutengeneza nchi yenye maono na muelekeo wa kujenga msingi mzuri wa maendeleo kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho . Uongozi ni wajibu ,dhamana, jukumu, deni unalopaswa kulilipa kwa...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UN: Watoto 620,000 wanaougua UKIMWI Afrika hawapokei dawa

    Ripoti moja ya Umoja wa Mataifa inasema watoto katika bara la Afrika wanatelekezwa linapokuja suala la matibabu yanayohusiana na virusi vya ukimwi VVU. Ripoti moja ya Umoja wa Mataifa inasema watoto katika bara la Afrika wanatelekezwa linapokuja suala la matibabu yanayohusiana na virusi vya...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Changamoto za nchi za Afrika kwenye michezo ya Olimpiki

    Kwenye michezo ya Olimpiki ya Tokyo 2020 iliyomalizika hivi karibuni, kumekuwa na mambo mengi mapya ya kushangaza na kufurahisha, ikiwa ni pamoja baadhi ya nchi kupata medali kwa mara ya kwanza kwenye baadhi ya vitengo, na hata uwakilishi wa baadhi ya nchi kwenye michezo hiyo kuwa wa...
  14. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Michuano ya Olimpiki inafika kikomo huku Kenya ikiongoza Afrika kwa idadi ya medali

    Hongerei sana mashujaa wetu wa kutuwakilisha vyema bara hili. ======== Kenya featured prominently Sunday as curtains were drawn on the 32nd Olympic Games, with Tokyo organisers overcoming huge challenges, most significantly rising coronavirus cases and growing opposition to the staging of the...
  15. B

    JamiiForums Tanzania RENAMO yahoji majeshi ya Afrika kuruhusiwa kuingia Mozambique

    4 August 2021 Maputo, Mozambique Chama kikuu cha upinzani RENAMO chahoji katiba kutofuatwa kwa majeshi ya kigeni ya nchi za Afrika kuingia nchini Mozambique. Hoja hiyo imewasilishwa na kiongozi wa upinzani bungeni Bw. Venâncio Mondlane Nakutaka kikao cha dharura cha Bunge kifanyike ili...
  16. Komando kipen

    JamiiForums Tanzania Vip interviews za Amref Afrika pale Dar makaomakuu

    Kwa wale ambao mulishawahi fanya interview za Amref Africa pale makaomakuu Dar wanaeleweka au wanna undugulazation na connection Kama haya mashirika mengine.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini China iwe ajenda ya siri mkutano wa wafanyabiashara kati ya Marekani na Afrika?

    Viongozi wa kisiasa na biashara wa Marekani na nchi za Afrika walifanya mkutano wa kilele kati yao kwa njia ya video kuanzia tarehe 27 – 29 Julai, ukiwa na kauli mbiu ya “njia mpya za kuimarisha ushirikiano kati ya Marekani na Afrika”. Kwa Marekani mkutano huu ni moja ya hatua za Rais Joe Biden...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Je, Marekani inaeneza kwa vitendo “fikra za vita baridi” barani Afrika?

    Mkutano wa uchumi na biashara kati ya Marekani na Afrika ulimalizika hivi karibuni. Wachambuzi wanasema kuwa serikali ya awamu mpya ya Marekani inayoongozwa na rais Joe Biden inatarajia kutumia fursa ya mkutano huo kudhoofisha ushawishi wa China barani Afrika. Hii ina maana kuwa Marekani...
  19. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Sad News: Watanzania Wanne Wauawa Afrika Kusini Katika Vurugu Zinazoendelea Nchini Humo

  20. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu inafuatilia kwa ukaribu matukio ya hivi karibuni ya utekaji wa viongozi na wananchama wa CHADEMA

    “Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu inafuatilia kwa ukaribu matukio ya hivi karibuni ya utekaji wa viongozi na wananchama wa CDM.” - Kamishna Dkt. Solomon Ayele Dersso.
Back
Top Bottom