Shujaa na Bora ni yule anaesimamia kwa haki Ulinzi na Usalama wa Raia na mali zao,pamoja na kuhakikisha umoja wa taifa.
kama hawahakikishii Raia wake wote Ulinzi,Usalama na umoja wao huyo kwangu mimi sio Bora wala sio shujaa.
Bora na shujaa hutoa uhakika wa Usalama na Ulinzi hata kwa watu...