Kwa Taarifa za Matukio ya 'Kipuuzi' kama hili kutoka Barani Afrika, Wazungu wakisikia na wakiendelea 'Kutudharau' Waafrika watakuwa wanatukosea?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
43,034
2,000
Mtu Mmoja aitwae Godwin Mathew ( 26 ) kutoka nchini Nigeria amemuua Baba yake Mzazi Mathew Audu ( 64 ) kwa Kosa la Kula Nyama ya Kuku yote katika Sahani na Kumbakizia Mwanae Kichwa tu.

Taarifa: Nipashe Online

Siyo kwamba GENTAMYCINE nasema kuwa Wazungu nao hawana Mapungufu yao ila angalau kidogo kwa Wenzetu yao huwa ni ya Kimsingi, yanarekebishika ila Yetu huku Barani Afrika ni kama tumerogwa, tumelaanika na huenda tukawa tunaugua Uwendawazimu ila kwakuwa hatuna Utaratibu wa Kupima Afya mara kwa mara hatujajua ( hatujajigundua ) tu.

Kesi za Wapumbavu ( Mapopoma ) kama huyu Godwin Mathew aliyemuua Baba yake zingekuwa zinanikuta Mimi halafu ndiyo Hakimu ( Jaji ) huyu ningemfunga ( ningemhukumu ) kati ya miaka 565 au 700 kabisa Jela.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom