afrika mashariki

"Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki" or "Jumuiya Yetu" (English: "East African Community anthem") is the national anthem of the East African Community. It is a Swahili language hymn.

View More On Wikipedia.org
  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Niko tayari kubet: Viongozi Wakuu 2 wa Nchi za Afrika Mashariki watatolewa hati za kukamatwa na Mahakama ya ICC kabla ya 2029

    Wiki chache zilizopita Umoja wa Mataifa wametoa taarifa za vikosi vya Wanamgambo wa M23 kuua raia nchini Congo. Taarifa hiyo imefuata taarifa rasmi iliyotolewa na Kikundi kazi cha Umoja wa Mataifa kuwa Majeshi ya Rwanda yanawaunga mkono M23 na kutoa msaada wa kijeshi kwao. Aidha miezi miwili...
  2. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Deni la tanzania ukilinganisha na nchi nyingine za afrika mashariki

    Hivi sasa Tanzania imaeanza mchakato wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania mwezi oktoba 2025 hivi majuzi Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha mapinduzi (CCM)na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amesema kuwa deni la Tanzania mpaka kufikia 2024 ndilo deni...
  3. PLOII

    JamiiForums Tanzania AFRIKA MASHARIKI WE LACK FOOTBALL CIVILIZATION, COURTESY & COMMON PRINCIPLES; goli la tatu na la ushindi kwa Morocco ni tafsiri ya perfect brain.

    Happy Sunday Wana JF, Sina maneno mengi nadhani Wana sports fainali tulitazama wote iliyofanyikia pale Kenya. Nilishawahi kusema Morocco ni football brain na Jana wameonyesha hicho kitu, nawaza tu kwa wachezaji wetu nani angewaza ku- shoot vile ( out of sarcasm). Tuna Cha kujifunza kutoka kwa...
  4. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Niliwaambia Afrika mashariki kuongoza group za CHAN ni maajabu saba ya dunia mkanibeza na kunitukana sana aya kikowapi?

    Itoshe kusema Afrika mashariki mliongoza group za CHAN ni kwa bahati na kimaajabu tu, leo hii mumeona kilichotokea. Wengine wakasema sijui Afrika mashariki mnatimu imara kwa wachezaji wa ndani, Wengine mkasema ni home advantage Wengine mkasema soka la Afrika mashariki linakua,. Haya kiko...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Wajuaji wawili wa Afrika Mashariki watema Bungo la CAF, ila kwa Sisi Waganda (Uganda Cranes) kesho ni mwendo mdundo hadi Fainali na Ubingwa

    Hovyo kabisa Kocha Hemed Suleiman Morocco yaani unaona kabisa Sopu na Nado wameshachoka na wanarukaruka tu Uwanjani unawaacha hadi dakika ya mwisho. Fei Toto alikuwa akifanya nini zaidi ya Kurukaruka tu huku akimpa wakati mgumu Kagoma kuweza Kulitawala vyema Dimba lake Kati. Hata huyu Fei Toto...
  6. PLOII

    JamiiForums Tanzania Huyu ENG. Hersi wamzuie mapema ataleta mtikisiko wa Kidiplomasia Afrika Mashariki na kati

    It's a Joke like but in real sense Mwamba kaonyesha ana tamaa sana. Nawaza anataka nini huko mbona title yake ni kubwa kuliko hata Mbunge kwa level ya kiutendaji na kimaslahi pia. Je kuna access anatafuta ya kibiashara? Au ndio mtandao kula resources za nchi? Naomba Chair wangu mzuie huyu...
  7. B

    JamiiForums Tanzania CAF RELEASES 2025 CLUB RANKINGS: Simba yaongoza Afrika mashariki na kati yashika nafasi ya 5 Yanga nafasi ya 12

    Katika viwango vipya vya Shirikisho la mpira Afrika CAF 2025, simba sc imeibuka kinara wa afrika mashariki na kati huku ikishika nafasi ya 5 barani afrika, wakati yanga sc ikishika nafasi ya 12 kwenye orodha hiyo ya vilabu bora.
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Kuongea na watanzania Agost 6, saa 2:00 kuhusu mustakabali wa taifa

    Huu ni ujumbe wa Humphrey Polepole kupitia ukurasa wa Instagram asubuhi hii. Leo Jumatano saa 2:00 Usiku saa za Afrika Mashariki nitasema nanyi kwa Habari ya Mambo mawili;- 1. Mustakabali wa mbele wa Nchi yetu na Taifa katikati ya Mkwamo tulionao, na, 2. Nitatumia muda huo kumjibu Mwana CCM...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Yas kutoa huduma kituo cha Biashara, Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC)

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Yas, Pierre Canton Bacara (katikati), akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (kulia), wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC), iliyofanyika hivi karibuni jijini Dar...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) - Ubungo, leo Agosti 1, 2025

    Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani, Dkt. Samia Suluhu Hassan Akifungua Kituo cha Biashara na Usafirishaji Afrika Mashariki (EACLC) Ubungo Dar es Salaam, leo tarehe 1 Agosti, 2025. https://www.youtube.com/live/khT-HcF4C3w Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu...
  11. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Afrika Mashariki utata kazi kwa wageni na wazawa

  12. N

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania inaweza kuwa kitovu cha utalii wa kitabibu Afrika Mashariki na Kati?

    Tanzania ina mazingira bora ya kuwa kituo kikuu cha huduma za kiafya kwa Afrika Mashariki na Kati. Kwa amani tuliyonayo, hospitali zinazoboreshwa kama Muhimbili, KCMC, Bugando, na fursa ya tiba asilia, nchi yetu inaweza kuvutia maelfu ya wagonjwa kutoka nchi jirani kama Burundi, DRC, Rwanda...
  13. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Viongozi na Wanajukwaa: Tukipanda Pamoja Mlima Kilimanjaro, JamiiForums Itafika Kilele cha Heshima ya Afrika Mashariki

    Ni wakati muafaka kwa admins wa JamiiForums na distributors wake kuangalia mbele kwa jicho la kimaono (visionary approach) na kukubali kuwekeza – kifedha na kiuwezo – katika mradi wa kipekee na wa kihistoria: kuipandisha JamiiForums hadi kwenye kilele cha Uhuru Peak, Mlima Kilimanjaro. Kwanini...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Agather Atuhaire na Boniface Mwangi Waishtaki Tanzania kwa Unyanyasaji wa Haki za Binadamu, Mahakama ya Afrika Mashariki

    Arusha, Tanzania – 18 Julai 2025: Katika hatua ya kihistoria ya kutetea utawala wa sheria, haki, na haki za binadamu katika Afrika Mashariki, watetezi wawili mashuhuri wa haki za binadamu – Bi. Agather Atuhaire kutoka Uganda na Bw. Boniface Mwangi kutoka Kenya – wakiwa wameandamana na mashirika...
  15. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nchi za Afrika Zimepwaya Kimaendeleo Ukilinganisha na Nchi za Asia Ingawa kwa Pamoja Tulikuwa Chini ya Ukoloni?

    Na Mjumbe wa Nafsi za Watu Je, ukoloni pekee ndiyo unaolaumiwa? Au kuna mengine zaidi? Hili ni swali ambalo linaibuka tena na tena miongoni mwa wachambuzi wa historia, maendeleo na siasa za kimataifa. Mara nyingi, hoja maarufu inayorudiwa ni kwamba mataifa ya Afrika yamekuwa nyuma kwa sababu...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Morocco

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Morocco nchini Tanzania Mhe. Zakaria El Guomiri, Kikao hicho kimefanyika leo Julai 02, 2025 kwenye ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam, ambapo...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya madawa ya kulevya yapamba moto Afrika mashariki

    Polisi katika Kaunti ya Migori mnamo Alhamisi walimkamata mshukiwa wa ulanguzi wa dawa za kulevya mwenye umri wa miaka 32 na kunasa shehena kubwa ya bangi yenye thamani ya takriban Ksh.13.7 milioni. Wakipokea taarifa, maafisa wa Kituo cha Polisi cha Oruba walinasa gari nyeusi aina ya Toyota...
  18. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Dr Wilbroad P. Slaa: Afichua mpango wa siri CCM kuitaka CHADEMA iandae wagombea uchaguzi mkuu 2025

    https://youtu.be/DzhhwThYJOY?si=IRsW6tOKSbFXAH_f Very unfortunately kuwa, wanasema haya wakati kwa mlango wa nyuma wanawatesa CHADEMA walio kinyume na mawazo yao maovu.... Mfano; CCM wanawezaje kuwa na hoja ya namna hii wakati Mwenyekiti wa chama kikubwa CHADEMA, mshindani mkuu wa chama...
  19. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Bilioni 63.2 za Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB), zasainiwa ili kuwezesha Taasisi za Fedha Tanzania

    EADB YATOA BILIONI 63.2 KUZIWEZESHA TAASISI ZA FEDHA TANZANIA Benki ya Maendeleo ya Afrika Mashariki (EADB) imesaini hati ya makubaliano ya utoaji wa mtaji wa jumla ya shilingi bilioni 63.2 kwa ajili ya kuziwezesha taasisi tatu za kifedha nchini Tanzania katika shughuli za utoaji mikopo kwa...
  20. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Afrika Mashariki Wamfuate Trump White House

    "Huu ndio wakati sahihi kwa wanaharakati wa Afrika Mashariki hususani Kenya, Uganda na Tanzania kupanda ndege (kwa ufadhili wa mashirika yasiyoeleweka), waungane na Gen Z team waende Marekani, waandamane mbele ya White House wakisema: 'Trump must go!' maana dunia haitapata haki bila wao, wala...
Back
Top Bottom