afrika mashariki

"Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki" or "Jumuiya Yetu" (English: "East African Community anthem") is the national anthem of the East African Community. It is a Swahili language hymn.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati Afrika Mashariki Wambana Samia Kuhusu Mikwaju Yake

    https://m.youtube.com/watch?v=sYN-FCrYapU Watoa waraka mzito kulaani matamshi ya hivi karibuni kuhusu kuwashughulikia raia wa Afrika ya Mashariki watakaotumia uhuru wao kupinga tawala Hii inakuja baada ya Samia Hassan kuchagiza kuwa lazima kuwepo na mikono ya sheria ya serikali haramu...
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ruto kamjibu Samia kwa akili kubwa sana kuhusu maadui wa Afrika Mashariki

    Guys guys Wakati samia aliongea kwa jaziba, Muhemko na chuki huku akihamasisha uonevu juu ya raia. Ruto kajibu kwa akili kubwa kwamba hao GenZ wala siyo tatizo. The big challenge ni "umaskini na ajira". Ni dhahiri kabisa kizimkazi hamna kitu kwa kweli
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CCM yafanya uteuzi wa Wagombea 9 kujaza nafasi 3 za Bunge la Afrika Mashariki

    Leo tarehe 29.04.2026 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, ilifanya kikao chake cha kawaida jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wake, Dr. Samia Suluhu Hassan. Pamoja na mambo mengine, Kamati Kuu imefanya uteuzi wa wagombea tisa (9) wa CCM kujaza nafasi tatu (3) katika Bunge...
  4. greater than

    JamiiForums Tanzania KINSHASA ARENA :DR CONGO ikijenga Uwanja mkubwa wa ndani Afrika Mashariki na kati

    Wakati huku serikali ikiwa bado inajifkiria,nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inaendelea na Ujenzi wa Arena kubwa Afrika Mashariki na Kati. Arena hiyo itakuwa ikiitwa Kinshasa Arena,na itakuwa na uwezo wa kuchukua watu 20,000. Ujenzi huo ulianza mwaka 2023 unatarajiwa kukamilika mwaka...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya IMF: Tanzania yashika nafasi ya 3 kwa kasi ya ukuaji wa uchumi Afrika Mashariki

    Ripoti mpya ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ya mwezi Aprili 2026 imeitaja Tanzania kuwa ya 3 kwa uchumi wake kupanda Afrika Mashariki Kulingana na takwimu hizo, uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua kwa kasi ya asilimia 6.6 mwaka 2026, kiwango ambacho ni kikubwa ikilinganishwa na wastani...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Angela Kizigha, James Millya na Ng'waru Magembe wanapaswa kujiuzulu ubunge EALA Kuepusha kuendelea kuvunja mkataba wa Jumuiya

    Kwa mujibu wa ibara ya 50(1) ya Mkataba unaoanzisha Jumuiya ya Afrika Mashariki kila nchi mwanachama wa Jumuiya zinapaswa kuchagua wawakilishi tisa kwenda kuwa wabunge wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Kwa upande wa Tanzania utaratibu wa kuwapata wawakilishi hawa kwa kiasi kikubwa unafanana na...
  7. Papaaa mukuubwaaa

    JamiiForums Tanzania Yesu atazaliwa au amezaliwa chini ya mlima Kilimanjaro; Maono niliyoyapata kwa miaka sasa na yameruhusiwa kusomwa kote

    Hii message na isomeke ulimwenguni wote na ni Ushuhuda binafsi ila miaka ijayo utakuwa wazi. ANGALIZO SOMA MPAKA MWISHO. Hii SEHEM YA 1 Imebeba full picture Generalization. Muunganiko ila sehem zinazofuata zinaelezea kwa kina na undani A,B,Cssss Mm IIT. Niligundua sio tuu kuwa chosen one ila...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Amlilia Mwanamke Wa Kwanza kusomea Shahada ya Sheria na Wa Kwanza Afrika Mashariki na Kati Kuwa Jaji wa Mahakama kuu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ambaye Ndiye Mfariji wa Taifa letu na aliyebeba Matumaini ya watanzania, Amesikitishwa sana Kufuatia kifo cha aliyewahi Kuwa Waziri Wa Sheria Na ambaye alikuwa ndiye Mwanamke wa kwanza Kusomea shahada ya...
  9. McLaren

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya 138 kwenye nchi zenye furaha duniani. Yashuka nafasi mbili na imekuwa ya mwisho Afrika Mashariki

    Ripoti mpya ya Furaha Duniani (World Happiness Report) ya mwaka 2026 iliyotolewa leo, imeendelea kuipandisha kizimbani Tanzania baada ya kuishikilia nafasi ya chini katika orodha ya mataifa yenye furaha. Katika utafiti huo uliohusisha nchi 147, Tanzania imeshika nafasi ya 138, ikiingia kwenye...
  10. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania TRC yaanza kuunda vichwa vya treni za mgr nchini, yawa nchi ya kwanza katika ukanda wa Afrika Mashariki kufanya hivyo, bunge lakoshwa

    Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundombinu, imelitolea wito Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuendelea kuwajengea uwezo vijana wa Kitanzania wanaounda na kukarabati vichwa vya treni za MGR, kwa kuwapa mafunzo thabiti ndani na nje ya nchi ili kuongeza maarifa, stadi na ubunifu katika utendaji wao...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amuasili mtoto mchanga aliyetelekezwa Nzega

    Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma. Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Balozi Stephen Mbundi Ateuliwa kuwa Katibu Mkuu Mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    MTANZANIA ACHAGULIWA KUWA KATIBU MKUU MPYA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI. Balozi Stephen Patrick Mbundi Ateuliwa kuwa Katibu Mkuu Mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Balozi Stephen Patrick Mbundi ni mwanadiplomasia mwandamizi wa Tanzania na kiongozi wa serikali mwenye uzoefu wa zaidi ya...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026

    Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026 https://www.youtube.com/live/3RbAlFDqO8o?si=HGGpUx5hggEDEQa6 Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa (EAC), Bi. Veronica Nduva, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa (EAC)

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Bi. Veronica Nduva, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo, unaotarajiwa kufanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha.
  15. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Mtambo mkubwa duniani wa kusafisha mafuta - Ras Tanura umefungwa, Afrika Mashariki tujiandae kisaikolojia

    Hali ya upatikanaji wa nishati duniani imekuwa ikitabiliwa kuwa hatarini baada ya kuanza mgogoro wa Iran, lakini hatua iliyochukuliwa leo na Saudi Arabia inaweza kuharakisha zaidi hali haliyo, hii ni kufuatia shambulio la ndege zisizo na rubani (drones) lililosababisha kusimama kwa shughuli...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) anayemaliza muda wake, Bi. Veronica Nduva, tarehe 28 Februari, 2026 Ikulu, Jijini Dar es Salaam. Pamoja na masuala mengine, Katibu Mkuu ambaye anamaliza...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mataifa ya Afrika mashariki yanahitaji mapinduzi ya kweli by any means necessary

    Angalia picha ya Mke wa Boby wine akiwa amekaa kwenye sakafu huku akiwa chini ya ulinzi wa polisi. Hii ni kinyume na haki za kibanadamu na utu. Kwa nini Wanamchi wa Afrika mashariki wanafanywa wajinga? Mataifa yao kugeuzwa nchi za kisultani? Mapinduzi ya kifikra na hata kimwili yanahitajika...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ikitokea makomandoo wa Marekani na Israel wakitaka kumkamata kiongozi wa nchi mojawapo hapa Afrika Mashariki walinzi wake wataweza kuzuia?

    Trump anatumia sana ubabe. Naona wakati wowote atatuma Makomandoo ili wakamate viongozi wa mataifa ya Afrika mashiriki ambao wanapiga raia risasi hovyo. Nini kitatokea?
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Anne Kilango: Watanzania tujue Rais Samia anaongoza Taifa kubwa sana Afrika Mashariki

    Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Anne Kilango, akichangia mjadala wa hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kufahamu kuwa Rais anaongoza taifa kubwa na lenye idadi kubwa ya watu Afrika Mashariki.
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatengwa kwenye ziara ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayetembelea Afrika Mashariki.

    Mwigulu endelea kulumbana na akina Mange huku nchi jirani zikijenga mahusiano na mataifa makubwa duniani na kuimarisha uchumi wa nchi zao. ========== U.S Deputy Secretary of State, AFRICOM Commander Travel to East Africa U.S. Deputy Secretary of State Christopher Landau, accompanied by...
Back
Top Bottom