afrika mashariki

"Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki" or "Jumuiya Yetu" (English: "East African Community anthem") is the national anthem of the East African Community. It is a Swahili language hymn.

View More On Wikipedia.org
  1. Msela Wa Kitaa

    JamiiForums Tanzania Je, jeshi linalolinda mfumo usio wa haki bado ni la wananchi? (mtazamo kutoka Afrika Mashariki hadi Sahel)

    Katika siasa za Afrika, kuna tofauti kubwa kati ya majeshi ya baadhi ya nchi. Wengine hujiona kama watumishi wa dola, wengine kama watumishi wa watawala, na wachache kama wakombozi wa kweli. Nimekuwa nikifuatilia mifano mbalimbali, na hii ndiyo taswira niliyoona: 1. Madikteta wengi huweka watu...
  2. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Ukikusanya nchi nane (8) za Afrika Mashariki hazifikii GDP ya nchi ndogo kabisa ka Singapore

    Ukikusanya haya majinga manane(8) ya Afrika Mashariki ●Tanzania ●Kenya ●Uganda ●Rwanda ●Burundi ●Somalia ●D.R.C ●South Sudan Yote kwa pamoja hayafikii GDP ya kanchi kadogo kabisa ka Singapore. Mind you Singapore ina jumla ya ukubwa wa 735km² na population isiyozidi 6Mln wakati haya majinga...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabi ya Gaza utayaona ya Afrika Mashariki

    Ni mewaza na kuwazua nini kina tu tafuta Africa Mashariki.? Je ni hofu ya watawala au ndio utawala Bora? Viongozi waupinzani Tanzania Uganda na Susan wote wako kwenye mikono ya polisi. Je hii ni hofu ya watawala au ndio utawala Bora?
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Daraja la Pangani ni mradi muhimu unaoendelea kujengwa ili kuunganisha mikoa ya Tanga na Pwani kupitia barabara ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

    Daraja la Pangani ni mradi muhimu unaoendelea kujengwa ili kuunganisha mikoa ya Tanga na Pwani kupitia barabara ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Daraja hili litakuwa na urefu wa mita 525 na linatarajiwa kuwa daraja la sita kwa urefu nchini Tanzania.
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Tanzania ni nchi ya mwisho kiteknolojia nyuma ya Kenya, Rwanda na Uganda? Nini kifanyike?

    Nimesikitishwa niliposikia kumbe Tanzania ni ya mwisho kiteknolojia nyuma ya Kenya Uganda Rwanda Nataka kujua hii taarifa inaukweli wowote, na kama ni kweli imekuaje tukabaki nyuma wakati Tunaambia Tech ndio Kila KITU? Je ni matokeo ya ujamaa? Je ni hofu za wanasiasa? Je sisi ni vilaza na...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi AMSONS: Kampuni za Kichina ni tishio Afrika Mashariki

    Kampuni kubwa za Kichina zinazojihusisha na uzalishaji wa saruji zimeibuka kuwa tishio kubwa kwa wazalishaji wa ndani katika Afrika Mashariki. Kwa kutumia mitaji mikubwa na mbinu za ushindani wa bei, kampuni hizo zinaelezwa kupunguza nafasi ya kampuni za ndani kukua na kuhimili ushindani...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba SC yaandika Historia, Klabu pekee kutoka Afrika Mashariki kwenye orodha ya GDC

    Simba SC, wameweka rekodi kwa kuwa klabu pekee kutoka Afrika Mashariki kuwemo kwenye orodha ya vilabu vya kihistoria ya Global Database Club (GDC). Simba SC sasa inajiunga na vigogo wa soka barani Afrika kama Al Ahly (Misri), Wydad AC (Morocco), Raja CA (Morocco), TP Mazembe (DR Congo)...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kenya yaongoza Afrika Mashariki kwa kuwa na furaha. Congo DR na Tanzania hazina furaha kabisa.

    https://worldpopulationreview.com/country-rankings/happiest-countries-in-the-world
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mashariki ya kongo au upande wa uliopo wanaongea kiswahili ni kama umekosa kuungwa mkono na kuchekewa na watu wanaosema ni afrika mashariki

    Uwezi kusema kiswahili kipo uganda,rwanda,burundi wala sudani kwa upande wa mashariki ya kongo ila hawa wana kiswahili ambacho utajua kipo tanzania ni kwamba hapa kwenye nchi hizi ndio tatizo. Ili ni taifa ambalo limekosa kujua wa kuwashika mkono sababu ndio wabantu wenyewe. Kwa nini wasomi...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa nini nchi za waarabu na waislamu hawataki kuwapokea wapalestina mpaka wanaomba afrika mashariki tuwapokee.Inamaana wanajua vizuri

    Kuna tetesi ambazo USA wanataka kuwaondoa wapalestina kutoka gaza lakini kwa jicho la mbali kama nchi ambazo zilikuwa bega kwa bega zijaonesha nia ya kuwa nao mfano iran. Hapa kwetu tumejaa na watawala wenye kupenda pesa na mali wanaweza kukubali na kwa nini wakasema afrika mashariki au...
  11. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Paul Kagame: Nashangaa Afrika mashariki tunalima pamba na kuuza Nje ila tunaagiza nguo za mitumba kutoka nje

    Baada ya Kifo cha John Magufuli Africa ya mashariki kiongozi imara na mwenye maono aliyebaki ni Paul Kagame Rais wa Rwanda. Akihojiwa na mwandishi wa habari Mario Nawfal hivi karibuni kagame amesikitishwa na kitendo cha Afrika mashariki kuendelea kuingiza nguo zilizotumika maarufu kama mitumba...
  12. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Marekani na Israel wameziomba Nchi za Afrika Mashariki zikubali kuwapokea Wapalestina wa Gaza

    Kulingana na gazeti la Financial Times, inasemekana Marekani na Israel wamewasiliana na viongozi wa Afrika Mashariki kuomba kuwahamishia Afrika Mashariki Wapalestina wote waishio Gaza.
  13. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Uzi Mahsusi kwa Wadau wa Siasa (Chadema/CCM): Malezi na Madaraka, Kwa Nini Familia Yako Inaweza Kutabiri Mwelekeo wa Taifa

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya mataifa yanafuata demokrasia, mengine yanapendelea udikteta, na mengine yana mfumo wa kijamaa? Kwa mtazamo wa haraka, tunaweza kudhani kuwa sababu kuu ni historia, uchumi, au hata ukoloni. Lakini, tafiti zinaonesha kuwa mizizi ya mifumo ya kisiasa...
  14. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania MAONI: Jumuiya ya Afrika Mashariki kuiwekea Rwanda vikwazo vya kidiplomasia na uchumi

    Baada ya baadhi ya nchi za Ulaya na Marekani kuiwekea Rwanda vikwazo pia kuwekea viongozi wa Rwanda vikwazo kwa kujihusisha na migogoro ndani ya DRC. Sasa ni dhahiri na muda muafaka kwa jumuiya za Kiafrika na kanda zake kukaa na kupiga kura hatimae kuiwekea Rwanda vikwazo kama ilivyofanya...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kujiunga kwa DRC na Jumuiya ya Afrika Mashariki: Je, Kumechangia Unyang’anyi wa M23?

    Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ilijiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) mwaka 2022 kwa matumaini ya kukuza uchumi, kuimarisha ushirikiano wa kikanda, na kupata msaada wa kijeshi dhidi ya waasi. Hata hivyo, tangu kujiunga kwake, hali ya usalama mashariki mwa DRC imezidi kuzorota...
  16. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ni nchi gani Afrika ya Mashariki inayoongozwa kwa kufuata Sheria na Katiba?

    Afrika ya mashariki inaundwa na nchi zifuatazo:; Kenya Tanzania Uganda Burundi Sudan Kusini Somalia Kati ya nchi hizi za Afrika ya mashariki ipi unadhani inaongozwa kwa kufuata Sheria na Katiba ya nchi yao?
  17. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Ifikie hatua Yanga iheshimiwe kama ndio klabu bora ya soka afrika mashariki na kati

    Ukiiona yanga inacheza hata kama wewe sio mpenzi wa yanga na pengine labda bado unasumbulia na ule ushabiki maandazi lakini hata kimoyomoyo utakubali kua yanga ndio timu inayocheza kandanda la kuvutia..pira la kitabuni...pira la kideoni...yani zike pattern za soka unaziona na hata zile B tatu ya...
  18. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Kwa mujibu wa Moody's na FITCH Tanzania inaongoza kwa afya bora ya Uchumi Ukanda mzima wa Africa Mashariki

    David Kafulila kupitia kituo cha Runinga Cha ITV ametoa taarifa hii muhimu sana kwa Taifa ya kwamba Tanzania ya Samia ndio nchi inayoongoza kwa ukuaji wa Uchumi Ukanda mzima wa Africa nzima ya Mashariki. "Moody's Confirms Tanzania's B1 Credit Rating: Top in East Africa - TanzaniaInvest"...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Masuala ya Afrika Mashariki wa Rwanda awekewa vikwazo na Marekani. Mungu wabariki wazungu, Mungu mbariki Trump!

    Wakati nchi za Afrika Mashariki zikiendelea kumpet pet Kagame, masaa machache yaliyopita Wizara ya Fedha ya Marekani imetangaza rasmi kuwawekea vikwazo Waziri wa Mambo ya Afrika Mashariki wa Rwanda Generali James Kabarebe na Msemaji wa M23 Lawrence Kanyuka Kingston kutokana na vita...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ntuli Kaporogwe Kuwania Uongozi wa Jumuiya ya Afya ya Afrika Mashariki, Kati, na Kusini

    Mkurugenzi wa Huduma za Kinga kutoka Wizara ya Afya Tanzania Dkt. Ntuli Kaporogwe anatarajiwa kuipeperusha bendera ya Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki, Kati, na Kusini (ECSA – HC). Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika leo Februari 11, 2025 kwenye...
Back
Top Bottom