africa

  1. JamiiForums Tanzania Sababu ya idadi ndogo ya vifo vya COVID-19 Afrika yaelezwa, Tanzania yatajwa

    Idadi ya vifo vinavyotokana na COVID-19 Afrika imeendelea kuwa chini huku idadi kubwa ya waathirika wamerudi kwenye hali ya kawaida pamoja na maangalizo mengi ya awali kutoka kwa wanataaluma wabobezi kwamba virusi hivyo vingeubomoa mfumo dhaifu wa afya barani Afrika na kuua watu kwa mamilioni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Richest kids in Africa, Mugabe Junior and Chatunga

    Majority of the richest children in Africa come from a political background inheriting wealth from their parents and going forward with the legacy while minority come from a business back round families This young and rich kids are well known by living a lavish lifestyle driving expensive...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania wanatafuta Kenya na Wakenya wanatafuta Afrika Kusini

  4. JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika ni bara masikini na lisiloendelea?

    KWANINI AFRICA NI BARA MASIKINI? Heshima yenu wakubwa na wadogo. Bara la Afrika ni bara la pili kwa ukubwa baada ya Asia, ni bara lenye kila aina ya utajiri na rasilimali za kutosha. La kushangaza ni bara masikini kuliko yote na la mwisho katika kila kitu, yaani ni masikini kiasi cha...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

    Kutoka maeneo mbalimbali kwenye viunga vya mji wa Dodoma, Tundu Lissu leo anachukua Fomu ya Urais. === Tundu Lissu leo kwa Mara ya kwanza anarejea katika mji wa Dodoma akienda kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais. Ikumbukwe Tundu Lissu mara ya mwisho kuondoka katika mkoa huu ni baada...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania M-Pesa: Ubunifu wa Kenya wazidi kuongoza Afrika kwa miamala

    Mchango wetu kwa ukuaji wa Africa ni jambo la kufurahisha kwa kweli, tulibuni MPESA na sasa inazidi kuwa tegemeo la Afrika. === Mobile money platform M-Pesa is now processing transactions of Sh1.6 trillion per month in Kenya and other African countries, making it the largest payment platform on...
  7. JamiiForums Tanzania Afrika ikifika hatua ya kuwasaidia Wazungu, Wazungu watakuwa Sayari ya Mars

    Libya ya hayati Gadaffi inanuka damu. Nchi ya Mali neno 'Amani' ni msamiati adimu ambao haupatikani kwenye kitabu chochote kilicho ndani ya taifa lao. Congo DRC mvua ya vita inanyesha through out the year. Sudan kusini kumetulia kidogo kwa sasa. Lakini kama ukisikia kesho vita vimeanza, naomba...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania yahofiwa jinsi inavyoshughulikia Janga la Corona

    Mkurugenzi wa kituo cha kudhibiti magonjwa Barani Afrika ameelezea wasiwasi wake kuhusu namna Tanzania inavyokabiliana na mlipuko wa Virusi vya Corona. Dkt. John Nkengasong aliiambia BBC hakuwa na data za kutosha za kufahamu hali ilivyo nchini Tanzania. Alisema kituo cha kudhibiti magonjwa...
  9. JamiiForums Tanzania Finally: France loosens grip of ‘colonial’ west African currency

    Muswada huo uliosubiriwa sana kudhibitisha mwisho wa faru wa CFA ulipitishwa Jumatano na Baraza la Mawaziri la Ufaransa. Hii ilifunuliwa na msemaji wa serikali ya Ufaransa, Sibeth Ndiaye. "Ilikuwa wakati wa ziara rasmi ya Ivory Coast mnamo Desemba 2019 kwamba (Rais Macron na viongozi wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Check out Top ten (10) Meat consuming countries in Africa

    Meat, is something you are guaranteed to find in each and every food outlet or eateries , provided they are not strictly vegeterian outlets. Meat is consumed by a large percentage of earth dwellers . Animals ; fishes; birds and humans alike all eat meat (obviously not all of them) There are...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Top (10) Alcohol Consuming Countries in Africa

    This article is about the Top ten alcohol consuming countries in Africa. Drinking alcohol is part of the larger African culture, and we are known to appreciate good food when it is served with some alcoholic beverages. People drink at weddings, traditional ceremonies, funerals, graduation...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Black is Gold ,You can only see this in Africa

    African girls are the most beautiful girls in the world. Their natural body curves, beautiful melanin skin makes them unparalleled. African girls don't need to go for plastic surgery to get curves because they are naturally gifted. Another point about the beauty of African girls is that thier...
  13. JamiiForums Tanzania The KGB, NATO and Post-Independence Africa (1960s-1980s): Vita Mpya vya Maslahi ya Wazungu (USSR-USA-EU) ndani ya bara la Afrika punde baada ya uhuru

    The KGB, NATO and Post-Independence Africa (1960s-1980s): Vita Mpya vya Maslahi ya Wazungu (USSR-USA-EU) ndani ya bara la Afrika punde baada ya uhuru. Ninakushauri uanze kwa kusoma thread hii kwanza: Patrice Lumumba University of Russia: Ngome kuu ya majasusi wa KGB ya kufunza itikadi za...
  14. S

    JamiiForums Tanzania BBC Focus on Africa wafanya mahojiano na Lissu, kupitia mahojiano hayo Lissu aonyesha how talented he is

    Focus on Africa - Tanzania: Tundu Lissu wants to run for president - BBC Sounds Mbali na kuonyesha uwezo mkubwa wa kumudu lugha ya kingereza,lakini pia anajua kujieleza na kujibu vizuri maswali, sifa ambayo mwanasiasa yoyote anapaswa kuwa nayo Machache miongoni mwa aliyosema katika mahojiano...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 5 Kenyans listed as most respected in Africa

    Teacher Peter Tabichi Poses for a photo with President Uhuru Kenyatta. On July 27, The Reputation Poll International, known globally for its annual ranking of the 100 Most Reputable People on Earth and Most Reputable CEOs in various countries, released a new list that included 5 Kenyan leaders...
  16. JamiiForums Tanzania West Africa leaders take tough decisions on Mali, ask 31 MPs to resign

    West Africa leaders take tough decisions on Mali, ask 31 MPs to resign Hollywood A-Listers' biggest box office flops West African leaders on Monday adopted a tough four-point plan in a bid to resolve Mali's crisis. The measures included calling for the resignations...
  17. JamiiForums Tanzania Does Africa have its own (unique) definition of democracy?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; Does Africa have its own (unique) definition of democracy? Je, Afrika ina tafsiri yake binafsi (ya kipekee) ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Iconic Leaders that Africa Should Cherish and Honour

    A nation that does not honour its heroes is not worth dying so goes a popular saying. Africa has had and still continues to have great leaders of people who are visionary, patriotic and competent compared to the crops of current leaders across the continent now. Nelson Mandela and Muammar...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Afrika Isipokaa Pamoja na Kuunda Umoja wenye Jeshi Bora Itabakia Kupiga Maktime

    Uzoefu unaonesha kama africa haitakuwa moja itaendelea kusambaratihswa na wazungu mpaka patakosekana mahali salama pa mwafrica kuishi, mf tunaona/kusoma na news huko Mali,Niger..au nchi za sahel yaa africa ya kati...mfaransa anafadhili magaid wanalipua kambi za jeshi ...aman inakosekana mpaka...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Virusi vya Corona: Watu 572 wapoteza maisha Afrika Kusini kwa saa 24 zilizopita

    It goes without saying that the reason Africa will face the worst of Covid-19 last is because we are very poorly connected to the rest of the world. We do very little business with the rest of the world, which spared us the initial hit. Probably more people move from China to the US in a week...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…