africa

  1. mwaswast

    Meanwhile pale South Africa Kenya inatawala

    Samoa na Australia wamepokea kichapo cha mbwa kutoka Kenya
  2. Sky Eclat

    Fahamu kuhusu Scholarships za Postgraduate kwa Sub Sahara Africa

    London School of Hygiene wana Scholarships kwa watu wa Sub Sahara Africa kwa Masters in Public Health, Control in Infectious Diseases etc Sifa: • Uwe na first class or 2:1 in undergraduate. • Kama ulisoma nje ya Uingereza uwe na English certificate mitihani unaufanya British Council Masters...
  3. Mekatilili

    Innovation Hubs & IT Development in Africa

    India is the largest supplier of online freelance workers. Bangladesh, an LDC is 2nd generating $100 million per year. Egypt, Kenya and Nigeria are in the top ten. Africa has potential to do much more. Where is South Africa? Morocco?
  4. Kinoamiguu

    South Africa: Rais amekatisha ziara kwa sababu ya mafuriko na kukatika kwa umeme

    chanzo DW mchana wa leo Pametokea mafuriko huko SA. Hali hiyo imepelekea nchi hiyo kukosa umeme kwa siku tatu mfululizo. Kwa kuona na kwa kujali wananchi wake, raisi wa huko amekatisha ziara yake nje ya nchi kuja kuungana na wananchi wake kukabiliana na hali hiyo. Ametoa siku tatu kuikabili...
  5. Erythrocyte

    Utaratibu wa kushusha daraja timu zilizofirisika haupo Africa ?

    Tumeona timu za Ulaya zikishushwa madaraja kwa kufirisika na hasa timu inaposhindwa kulipa mshahara wachezaji wake , Portsmouth ya England na Parma ya italia ni mifano halisi . Kwanini Yanga Pamoja na ukweli kwamba imefirisika hadi kushindwa kulipa mshahara wa wachezaji wake , huku wengine...
  6. Erythrocyte

    Bavicha yatikisa, Shamsa Ford alipua shangwe, asema wazi kwamba vijana wanaopenda maendeleo wako Chadema

    Habari kamili hii hapa.
  7. Mekatilili

    Likoni: Mombasa Gate Bridge: First Cable Stayed Bridge in Kenya & Longest in Africa

    It looks like all the financial instruments have been finalized & construction over the troubled Likoni channel is about to start. LIKKKONI by Rico Mwash, on Flickr LIK3by Rico Mwash, on Flickr
  8. Nigrastratatract nerve

    Rais Magufuli ni dira ya maendeleo barani Afrika

    YASHUHUDIE MAAJABU YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO INAYOJENGA VIPYA PAMOJA NA KUFUFUA VILIVYOKUFA: Uongozi wa nchi ni sawa na fumbo la imani. Hakuna awezaye kujua kesho atakuwa nani isipokuwa Mwenyezi Mungu pekee ndiye mwenye ufunguo kwa kila mja wake. Unaweza ukawa na wazo, nia pamoja na malengo...
  9. Tz boy 4tino

    Rangi yake Sadio Mane ndiyo iliyomkosesha Ballondoir

    Ballondoir ya mwaka huu imekuwa ya utata sana kama zilivyokuwa nyingine za miaka ya karibuni. Mshindi wa Ballondoir wa mwaka 2019( Lionel Messi) naye ameshindwa kukaa kimya na kukiri kuwa Mchezaji Sadio Mane alistahili tunzo hiyo. Messi alizungumza hayo alipohojiwa na gazeti la Marca baada ya...
  10. The Assassin

    Marekani imeshika nafasi ya kwanza kwa nchi yenye roho nzuri Dunani. Kwa Afrika, Kenya, Zambia na Sierra Leone zaongoza kuwa na roho nzuri

    Taasisi ya Charities Aid Foundation ya Uingereza imeitaja Marekani kama nchi yenye roho nzuri (most generous country) Duniani, ikifuatiaa na Myanmar na New Zeeland huku nchi zenye watu wachoyo zaidi ikiwa ni China, Yemen na Ugiriki. Kwa Afrika nchi kama Kenya, Zambia na Sierra Leoni zikishika...
  11. Suley2019

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Balozi Augustine Mahiga akana Tanzania kujitoa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Augustine Mahiga amekanusha taarifa za Serikali kujitoa katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR) Akifafanua zaidi kuhusu dai hilo, Dkt. Mahiga anasema serikali haijajitoa katika Mahakama hiyo isipokuwa imeiandikia barua Mahakama hiyo kuondoa...
  12. S

    Shirika la ndege la South Africa (SAA) liko hoi lakaribia kuwa mufilisi - Tanzania tuna jambo la kujifunza?

    Shirika la ndege la ndege la South Africa, lenye jumla ya ndege karibu 50 kubwa, za kati na ndogo, liko katika hali mbaya kiuchumi kiasi linakaribia kuwa mufilisi. Shirika hili kwa miaka mingi limekuwa likijiendesha kwa kutegemea ruzuku za serikali bila kuwa na uwezo wa kusimama kwa miguu yake...
  13. beth

    Letter from Africa: Is Kenya building bridges to nowhere?

    Violence broke out when the results of the October 2017 election were announced In our series of letters from African writers, journalist Waihiga Mwaura asks whether Kenya's divides can ever be bridged. Twenty-one months ago, Kenya's opposition leader Raila Odinga and his bitter rival...
  14. The Assassin

    Tanzania inaongoza Duniani kwa miundombinu mibovu

    Tanzania ni moja ya nchi 10 masikini zaidi Duniani, hii ni rekodi ambayo Tanzania tumeishikilia kwa miaka mingi na wala hatuna mpango wa kuachia nafasi yetu hii adhimu kwa sababu kwa miaka yote tumekua tukifabya kila jitihada ili tuendelee kubakia pale pale au angalau kwenye 10 bora. Kwenye...
  15. Gunther1

    Kenya Ranks 12th in Sub-Saharan Africa in 2019 Prosperity Index

    by Mwakaneno Gakweli November 26, 2019 Kenya has ranked 12th in Sub-saharan Africa and 113th in the world in the recent Legatum 2019 Prosperity index. The country’s 2019 performance dropped from 2018’s 112th position. Nevertheless, Kenya showed improvement in market access and...
  16. K

    CNN: Diamond ni moja kati ya Wasanii wa Africa wanaofanya vizuri

    Kwa mujibu wa utafiti wa CNN, Diamond ni moja kati ya Wasanii wa Africa wanaofanya vizuri Wasanii wengine ni 1. Burna Boy: Nigeria 2. Angelique Kidjo: Benin 3. Diamond Platnumz: Tanzania 4. Yemi Alade: Nigeria 5. Tiwa Savage: Nigeria 6. Wizkid: Nigeria 7. Mr.Eazi: Nigeria 8. Sho...
  17. Mtoto wa Mkulima

    Hotuba ya Pieter Willem Botha aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini ya Makaburu

    Read this very carefully guys and take a close look at yourself and the environment that you live in today Botha speech 1985 THE FOLLOWING is a speech made by former South African President P.W. Botha to his Cabinet. This reprint was written by David G. Mailu for the Sunday Times, a South...
  18. assadsyria3

    Prof. Kabudi: Ndege ya Tanzania, Bombardier Q400 imekamatwa Canada na kesi ipo Mahakamani

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi Kabudi amesema ndege ya Tanzania Bombardier Q400 iliyokuwa iwasili nchini hivi karibuni imekamatwa nchini Canada na kesi ipo Mahakamani NDEGE NYINGINE YA TANZANIA YAKAMATWA CANADA - Waziri wa Mambo ya Nje na...
  19. Flechaa

    List yangu ya Stand-Up Comedians ninaowakubali zaidi

    Habari za muda huu wakuu. Natumai mu wazima. Mimi ni mfuatiliaji mzuri wa Stand up comedy hasa Tanzania,Kenya na baadhi ya mataifa kama Nigeria na pia marekani. Hawa ndio 5 bora kwangu 1: Trevor Noah- South Africa/USA 2: Patrick salavdo - Uganda 3: Sleepy David - Kenya 4: Profesor Hammo - Kenya...
  20. Mekatilili

    Updated 2024 GDP Projections. Major Economies in the Eastern Africa

    1: Kenya $159 Billion 2: Ethiopia $146 Billion 3: Tanzania $92 Billion 4: Uganda $50.93 Billion 5: Rwanda $15.81 Billion Kenya and Ethiopia will continue to expand and compete for supremacy in the region. Kenya appears to hold its own in-spite of the population advantage that Ethiopia holds...
Back
Top Bottom