africa

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi ranked as the city with the largest fintech ecosystem in Africa.....

    Tukiwaambia muache kulinganisha Nairobi na miji uchwara mnaona kama mnatukanwa... Nairobi has been ranked as the only African city in the top 50 category of cities around the globe according to the 2021 Global Fintech Rankings. The city was ranked in position 37 ahead of Lagos which dropped to...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi mkubwa wa Serikali za Afrika

    Kuna ubinafsi mkubwa ambao unashangaza wengi sana kwenye nchi zetu za Afrika na zinazoendelea. Mfano kwenye magari ya Serikali mimi naishi state ya Texas magari mengi ya Serikali ya hili jimbo ni Ford, Toyota, Nissan, Jeep . Cha ajabu ukienda kuulizia Toyota wenyewe wanakwambia Gari za hapa USA...
  3. A

    JamiiForums Tanzania South Africa has many historic memories

    Once they had a President who was a Prisoner and now the have a Prisoner who was a President.
  4. JamiiForums Tanzania Kwa hili la Obama Afrika inaweza kuwa sawa na kosa linalojumuisha Madawa ya Kulevya, Uhujumi Uchumi, Uhamiaji Haramu

    Obama alikuwa anatoa hotuba kuhusu Uhamiaji huko California 2013,vijana 2 wakaingilia hotuba yake na kuanza kupiga kelele kwa kukosoa.Watu wa usalama wakata kwenda kuwatoa lakini Obama akawazuia.Akawajibu kwa busara vijana hao na akawaalika kujadili naye zaidi.That’s Presidential
  5. JamiiForums Tanzania Hakuna bara lenye uhuru kama Afrika

    Africa kiukweli kuna Uhuru sana wa kufanya shughuli nyingi za kujipatia rizki ,ukilinganisha na mabara ya ulaya na Asia ,mfano hapa bongo ukitaka kufanya biashara yoyote unafanya hakuna vipingamizi vingi ,yaan ,hakuna ufuatiliaji sana. Mfano kuna jamaa yangu ni gold prospectus hana leseni...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wimbi la Wamerekani weusi wanahamia Afrika

    Kuna wimbi kubwa sana la Wamerekani weusi wanahamia Africa na Tanzania lakini uhamiaji wanakuwa na wasiwasi. Mawazo yangu badala ya kuwanyima viza tufaute utaratibu mzuri wa win win situation. Wengine ni walimu, wajasiriamali tunaweza kuweka utaratibu wa wenyewe kuishi na bado kunufaisha...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Africa kuwa koloni la Wachina, nani alaumiwe?

    Ongezeko la wachina katika Afrika linatokana na kwamba wanatupenda sana, na wanataka kutuendeleza? Bila shaka kila mtu anajua wachina wanawachukia sana Waafrika. Kwa nini wanavamia kwa bidii sana bara la Africa? Magufuli aliona wanachokiona wachina ambacho watu wa kawaida hawakioni...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Top 25 Banks in Africa 2021. Kenya is the only country from East Africa

    The list of top 25 Banks in Africa have just been released and East Africa is only represented by Kenya. Without Kenya, East African region would not appear in most rankings in Africa. The first bank from East Africa to appear was KCB at number 20 with a market cap of $1,317M, the second bank is...
  9. JamiiForums Tanzania Busta Rhymes: Diamond ni Michael Jackson wa Africa

    Rapa namba moja duniani kwenye kucheza na ulimi "tongue twist" aitwae Busta Rhymes ameiambia dunia kupitia ukurasa wake wa Instagram kwamba Michael Jackson wa Africa ni Diamond Platnumz. Busta amefikia kumuita Diamond ndio Michael Jackson wa Africa baada ya kuona uwezo wake mkubwa kiasi cha...
  10. JamiiForums Tanzania Watanzania kabla ya kuanza mradi wa Bandari ya Bagamoyo tafuteni Articles za 'Lesson from Sri Lanka Hambantota Port'

    Watanzania kabla ya kuanza huo mradi wa Bandari ya Bagamoyo naomba tafuteni Articles za LESSON FROM SRI LANKA Hambantota port. Kama hizo article umezipata please tunaomba uzishare ndani ya huu uzi. Wabongo mnataka mjidai mnawazidi akili wa Sri Lanka ninyi. Tunataka siku mkianza kulia tulie...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania “the best country foreign investment in East Africa .

    Tanzania leads East Africa in FDI . East Africa, Foreign Direct Investment in 2020. Tanzania 1.1 Billion $ Uganda 823 Million $ Kenya 717 Million $ Rwanda 135 Million. $ Source : The United Nations Conference on Trade and Development (UNCTDA).
  12. JamiiForums Tanzania Huenda Tanzania ndiyo nchi yenye aina nyingi ya watu katika Afrika

    Tanzania kuna wabantu ambao ndiyo wengi. Kuna wa Nilotics, wamasai na wajaluo. Kuna wa San kama wabushmen, hawa wasandawe na wahadzabe. Hawa ndiyo wenye nchi yao. Kuna wakush kama wa Iraq (wambulu) nasikia na wanyaturu na wasambaa nao ni wakush. Nchi zingine kama Malawi, DRC, au Zambia ni...
  13. JamiiForums Tanzania Mbowe na Lissu wahudhuria Mkutano wa vyama vya Kidemokrasia ukanda wa Afrika Mashariki Jijini Nairobi

    Pichani ni Mhe. Tundu Lissu akisalimiana na Mhe. Musalia Mudavadi wa Chama cha Amani National Movement cha nchini Kenya , walipokutana kwenye Mkutano huo Picha ya Chini ni Mwamba Mwenyewe Mh Freeman Mbowe akitoa mada kwenye Mkutano huo Muhimu wenye lengo la kukuza Demokrasia kwenye nchi za...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Covid-19 Africa: Takwimu za pamoja za mataifa yote yanavyoendelea kufikia sasa

    Hizi ni Takwimu za bara Africa kufikia jana/leo Source: https://www.worldometers.info/coronavirus/ Nimejaribu ku highlight nchi za Mashariki mwa Africa Hapa ni ranking ya cumulative cases za ujumla, Tangu corona ianze Hapa ni Active cases, Yani ukiondoa wale waliopona, ni wangapi ndo...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia, tufuate utaratibu huu; jiji la Dar es Salaam litakuwa safi kila siku

    Nasema irudiwe na irudiwe tena na tena. Huyu mtalaam lazima atakuwa mwanaCCM kindakindaki maana haya ndo mawazo chanya ya wana CCM. Twende pamoja. CCM CCM CCM nimewaita mara tatu. Mpeni usajili huyu mwamba tena jezi namba 9 striker kabisa tumalize mechi zetu mapemaaaaa. ========= USAFI...
  16. JamiiForums Tanzania Fare thee well Mdaala Kenneth Kaunda, you stood tall and did Africa proud

    Fare thee well Mdaala KK, you stood tall and did Africa proud SATURDAY JUNE 19 2021 Zimbabwe's ex-president Robert Mugabe and Zambia's Kenneth Kaunda in Lusaka on August 16, 2007. PHOTO | FILE | AFP By JENERALI ULIMWENGU More by this Author When a little, pint-sized politician called...
  17. M

    JamiiForums Tanzania The President who died older in Africa

    We Africans are blessed with longevity, you just have to know, which natural herbs to take. We drink, we eat and bath with natural herbs that keep us going. We may not be doctors that treat people in hospitals but we know the right herbs to keep us strong. Nelson Golihlahla Mandela died when he...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Picha ya wachezaji wakubwa huko south africa wanaoomba kujiunga yanga sc

    Kitendo cha yanga sc kuwepo kwenye top 100 ya teams bora afrika ikishika nafasi ya 74 nyuma kidogo ya namungo iliyo namba 60 kimeipa umaarufu mkubwa huko south africa huku wadau wakisema ni kitendo kinachopaswa kujivunia haswa ukifikiria bara hili lina maelfu ya teams Sasa unaambiwa wachezaji...
  19. JamiiForums Tanzania Kampeni dhidi ya Diamond Platnumz: Wanaharakati kuweni serious kidogo

    Habari za wakati huu wakuu. Naomba kuzungumza nanyi mnaojiita wanaharakati pamoja na wafuasi wenu. Hiki kinachoondelea huko mitandaoni sio tamko rasmi la Chama kuwa sasa wameamua kufanya vile, ila ukimya wa viongozi juu ya hili jambo unanambia kuwa chama kimebariki. Mi naomba mnifafanulie...
  20. JamiiForums Tanzania Video : Michael Jackson wa Afrika

    Tukutane sheli
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…