africa

  1. JamiiForums Tanzania Mashirika Mengi ya ndege Afrika yanapata hasara - ushauri wako ni upi?

    Binafsi najua kwamba kuna chnagamoto ya Korona ila hata kabla ya hapo bado changamoto zilikuwepo. Tuyashauri mashirika ya ndege likiwemo la kwetu hapa nyumbani Ushauri wangu; 1. Natamani mashirika ya ndege kwanza yajenge imani Nyumbani. Namaanishe Yafanye kazi kwenye route zenye uhakika na...
  2. JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa haujui Abdulhazak Gunah ni mwafrika wa tano kushinda Nobel Prize ya Literature.Na hii ndio list ya waafrika waliowahi shinda Nobel Prize

    Habari wadau..! Kama ulikuwa haujui Abdulhazak Gunah ni mwafrika wa tano kushinda Nobel Prize ya Literature.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chuo gani bora kwa uandishi wa Habari ukanda wa Africa mashariki

    Habari zenu wakuu, Niko na mdogo wangu anamaliza diploma yake mwakani ya uandishi wa habari SAUT. Lengo langu akimaliza mwakani nimpeleke akasome degree yake nje ya Tanzania ukanda huu wa mashariki ya Africa Hivyo ningependa kufahamu kwa anayejua, chuo gani ni bora kwa hiyo fani kwa nchi za...
  4. JamiiForums Tanzania China’s relationship with Africa in a cartoon description

  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya is the fourth African country with the wealthiest individuals after Nigeria, South Africa, and Egypt - Report

    The Swiss Investment Bank's Research Institute has released a new report that ranked Kenya as the 4th African country with the highest concentration of wealthy individuals after Nigeria, South Africa, and Egypt. According to the report, Credit Suisse's 12th edition of the Global Wealth Report...
  6. JamiiForums Tanzania Rasmi: Kibu Dennis ni Mtanzania

    Tutegemee kumuona Kibu akivaa tena jezi ya Taifa baada ya sakata lake kuisha. === Chibu Denis (kushoto) akiwa katika kikosi cha Taifa Stars. Kulia ni John Bocco WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene, amehitimisha sakata la uraia wa Kibu Denis Prosper kwa kutangaza kumpa...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Wacheza watatu(3) pekee kutoka Africa ndio waliofanikiwa kufunga zaidi ya magoli 30 kwenye UCL

    Je wajua? Wacheza watatu(3) pekee kutoka Africa ndio waliofanikiwa kufunga zaidi ya magoli 30 kwenye champions league barani ulaya,,, chakufurahisha zaidi wote hawa wamecheza katika club ya Chelsea kwa vipindi tofauti tofauti Didier Drogba Samuel Etoo Mohamed Salah The Blues updates🔵
  8. M

    JamiiForums Tanzania 15 Lies told about Africa by people Outside Africa

    Many people still believe that visiting Africa will expose them to tribes, wild animals wandering the streets, dirt roads, and temporary dwellings. The following post will provide you a more accurate persopective on this really unique and gorgeous continent, busting all of the generally held...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Africa from space at night.

  10. JamiiForums Tanzania East Africa DJs & Mcs current events special thread✅

    a thread for all DJs and Mcs around East Africa to show their performance content and cross share ideas among us during this hard times.welcome all🙏🙏🙏
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya umeme wa bei chee zaidi EAC

    Tanzania yatajwa kuwa ndio nchi yenye umeme wa bei chee zaidi Africa mashariki || Rwanda yatajwa kuuza umeme bei ya ghali zaidi nchi za maziwa makuu, " Hakuna kama Samaia " Tanzania baada kutajwa kama nchi yenye gharama ndogo ya mafuta ya taa, Petroli na dizeli ukiilinganisha na nchi zingine...
  12. M

    JamiiForums Tanzania This man is said to be a strongest Military soldier in Africa

    Meet the Ghanaian official who is supposed to be the most grounded warrior in the entire of West Africa, in his straightforward yet enthusiastic moves as he was spotted wearing his uniform. One will move back in the wake of watching the video of this Ghanaian most grounded warrior who is all...
  13. JamiiForums Tanzania UDSM ndiyo chuo pekee Tanzania kati ya vyuo vikuu 50 vinavyoongoza kwa ubora Afrika

    Wavuti inayofanya tafiti na kutoa orodha ya vyuo vinavyoongoza kwa ubora duniani 'webometrics' imekitaja chuo kikuu cha dar es salaam 'udsm' kuwa ndio chuo pekee kutokea Tanzania kuwepo kwenye orodha ya vyuo vikuu 50 vinavyoongoza kwa ubora barani Afrika. Kwa mujibu wa rank za vyuo vikuu...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa Afrika hawatumii KQ kwenda UN

    Nahangaika kuangalia safari za Marais wa Afrika wanaokwenda kwenye kikao cha UN sioni wakitumia usafiri wa Kenya Airways wakati ndio usafiri pekee wakutoka Afrika yadi Marekani moja kwa moja. Kuna shida gani kuwaunga mkono QK na kuonyesha mshikamano wa kiuchumi wa waafrika
  15. JamiiForums Tanzania Hivi Simba wamechukua ubingwa wa Africa mara ngapi?

    Majamaa wa Simba wamenikosesha raha sana jana, wananiambia eti jana vigogo wa soka afrika wamekutana, mabingwa wanapimana nguvu, nafahamu kuwa TP Mazembe ni bingwa wa africa mara tano. Pia nnafahamu kwamba kombe kuuuubwa ambalo Yanga kachukua ni Klabu bingwa africa mashariki na kati (Kagame)...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Why are coups making a comeback in Africa

    In just over a year, Africa has experienced three successful coups (two in Mali and one more recently in Guinea), one unsuccessful coup attempt in Niger, and an arbitrary military transfer of power in Chad following the assassination of its president. Hawa jamaa sijui majeshi yao yana...
  17. M

    JamiiForums Tanzania CCM wazipongeza na kuzitakia heri KMKM, Mafunzo, Azam, Biashara & Yanga kwenye mashindano yao ya Shirikisho & Club Bingwa Afrika

    Kazi iendelee | Soka liendelee, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka kwa niaba ya CCM na kwaniaba ya Mkt wa CCM Taifa ambae pia Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan. Wamezitakia heri na baraka timu nne zitakazopeperusha bendera ya Tanzania kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna timu ilipigwa 4-0 South Africa ikiwa imevaa jezi inayosomeka “Visit Tanzania”

    Kaizer Chief 4 - simba sc 0 tuwe makini kuna wakati tunafukuza watalii bila kujijua
  19. F

    JamiiForums Tanzania BBC waendeleza ubeberu: Eti Tanzania nchi ya 23 kijeshi Afrika, Uganda ya 14 na Kenya ya 12

    BBC wa ajabu Sana hawa. Eti Tanzania ni nchi ya 23 kwa nguvu za kijeshi. Eti Congo DRC ni ya 10. Uganda 14 na Kenya 12. 1. Egypt, 2. Algeria 3. Nigeria 4 south Africa 5. Ethiopia 6. Angola 7. Sudan 8. Morocco 9.Libya na 10 ni Congo DRC. Maajabu hayaishi duniani. Mbona Libya, Ethiopia, Congo...
  20. JamiiForums Tanzania Katika harakati za kusaidia jamii ya Afrika

    Habari za majukumu wanaJF Leo ningependa kutambulisha tovuti zangu Katika harakati za kusaidia jamii ya kiafrica kujiajiri au kutumia mitandao kujipatia kipato, niliamua kuanzisha tovuti mbali mbali ili kusaidia jamii ya africa kujiari, lengo langu kubwa ni watu kutumia mitandaon kujipatia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…