Kwasababu linaitwa Lake Malawi.mbona nyasa sio maarufu sana tofauti na mengine
Mwenzio kaongelea ujazo.yaan volume.km3....heb rud shule kidogo mkuu..Mmmh !!!! Takwimu zako hapo za kubumba
Ziwa Victoria ni kubwa sana nakumbuka lina squares of kilometres zaidi ya elfu hamsini na sivyo ulivyoandika
Kwan km pia si ni kipimo..sasa ukipima hapo kwa m si namba zitafika chatoUjazo unapimwa kwa kilomita?? Sio M³?
Au ulimaanisha kina kwenda chini??
Au sijaelewa
Kwa eneo ni kubwa lakini ukija kuangalia ukubwa wa jumla. Halifikii ukubwa wa Tanganyika na Nyasa.Mmmh !!!! Takwimu zako hapo za kubumba
Ziwa Victoria ni kubwa sana nakumbuka lina squares of kilometres zaidi ya elfu hamsini na sivyo ulivyoandika