Ugomvi kati ya walinzi wa Vladimir Putin na walinzi wa mkutano South Africa (BRICS)

mchichapori

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
846
1,000
Purukushani za hapa na pale zilitokea baaada ya walinzi wa Putin kukataa kuweka suitcase zao zisipite kwenye scanner, inasemekana kwamba suitcase hizo zilikuwa zina code za siri za silaha za nuclear za Russia.

Inasemekana kwamba baada ya walinzi hao wa karibu kabisa wa Putin kufika eneo la tukio waliambiwa kuweka suitcase hizo ndogo kwenye mkanda wa X-ray ili vitazamwe, walinzi wa Putin walikataa na hapo ndipo purukushani na kusukumana kulipoanza.

Inasemekana codes za silaha za nuclear za Russia huwa zinatembea na raisi muda wote, na popote aendapo walinzi wanakuwa nazo nyuma yake.


Hata hivyo baadae baada ya mkubwa wa majeshi South Africa kuitwa waliruhusiwa kuingia na suitcase zao na walinzi wengine wakilazmishwa kutumia mlango wa nyuma.

Maoni yangu. Walinzi wa Putin walipaswa wawe karibu na Putin muda wote, Putin anaonekana kutangulia na baadae walinzi kufuatia, hii ilipelekea walinzi wa kwenye huo mkutano kufikiri vingine pia ikizingatiwa walikataa suicase zisimulikwe na X-ray.

ilikuwa ni mwaka 2013 BRICS summit ilipofanyika South Africa ambapo Putin alihudhuria.
 

T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
3,691
2,000
Hata kwa POTUS aides wake wanakuwa na atomic football karibu nae. Si sahihi walinzi kubaki nalo nyuma sana kisha yeye akatangulia mbele. Na hao walinzi wa SA hawakuwa briefed mapema kuwa kuna mzigo haukaguliwi ukute walipewa order ya kukagua kila kitu sasa walilazimika hivo.

images%20(18).jpg
 

mchichapori

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
846
1,000
Hata kwa POTUS aides wake wanakuwa na atomic football karibu nae. Si sahihi walinzi kubaki nalo nyuma sana kisha yeye akatangulia mbele. Na hao walinzi wa SA hawakuwa briefed mapema kuwa kuna mzigo haukaguliwi ukute walipewa order ya kukagua kila kitu sasa walilazimika hivo. View attachment 1694147
Kwenye hizi kazi na ikizingatiwa walikuwepo wakubwa kama China president kunakuwa hakuna kuaminiana na hupaswi kuamini yeyote.
Askari wa SA walikuwa sawa upande mmoja kuonesha msimamo, lakini walikuwa si sahihi kwa namna walivyowafukuza.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom