NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 11,727
- 11,826
Hizi ni dalili za kupata laana katika nchi yenu ya Kenya. Haya yote unayoyaandika ni dalili ya laana hizo.
Nadhani household moja ambayo huwa na watu 5 hadi zidi ya 10 huw inahesabaika kama mtu mmojaMbona hayo mahesabu hayajakaa yakatulia, yaani wateja milioni 2.7 nchi yote ndio wamesababisha asilimia 84% access rate.
Hata ukizidisha useme kila mteja ana familia ya watu kumi, hiyo bado itakua hamjafikia hata 40%
Iyo hesabu ya household hata Mimi sijaielewa vizuri But Waziri anahaja gani kudanyanya kwa sababu idadi ya vijiji vyenye umeme vimeonekana hapo.Mbona hayo mahesabu hayajakaa yakatulia, yaani wateja milioni 2.7 nchi yote ndio wamesababisha asilimia 84% access rate.
Hata ukizidisha useme kila mteja ana familia ya watu kumi, hiyo bado itakua hamjafikia hata 40%
Achana Nao Wamezoea Data zamakaratasi Uhalisia 0Iyo hesabu ya household hata Mimi sijaielewa vizuri But Waziri anahaja gani kudanyanya kwa sababu idadi ya vijiji vyenye umeme vimeonekana hapo
Tuna vijiji 12k na kitu mpaka sasa vilivyofikiwa na huduma ni 9k na kitu
MK254 wewe ni mchawi unawanga, Tz tupo juuMbona hayo mahesabu hayajakaa yakatulia, yaani wateja milioni 2.7 nchi yote ndio wamesababisha asilimia 84% access rate.
Hata ukizidisha useme kila mteja ana familia ya watu kumi, hiyo bado itakua hamjafikia hata 40%
Cloudsjuu ya mti au juu ya dari?
Waziri ni mwanasiasa na wanasiasa wote ni waongo. Usimwamini mwanasiasa yeyote. Wewe amini report from a reputable source.Iyo hesabu ya household hata Mimi sijaielewa vizuri But Waziri anahaja gani kudanyanya kwa sababu idadi ya vijiji vyenye umeme vimeonekana hapo
Tuna vijiji 12k na kitu mpaka sasa vilivyofikiwa na huduma ni 9k na kitu
Iyo hesabu ya household hata Mimi sijaielewa vizuri But Waziri anahaja gani kudanyanya kwa sababu idadi ya vijiji vyenye umeme vimeonekana hapo
Tuna vijiji 12k na kitu mpaka sasa vilivyofikiwa na huduma ni 9k na kitu
Halafu tuchukue mfano wa kijiji kimoja kilichofikiwa na umeme. Tukiite kijiji A. Hiki kijiji kina nyumba hamsini. Just because kijiji A kimefikiwa na umeme haimaanishi kwamba nyumba zote 50 zina umeme. Ni jukumu la kila nyumba kulipa ada kidogo ili waungwe na umeme.Iyo hesabu ya household hata Mimi sijaielewa vizuri But Waziri anahaja gani kudanyanya kwa sababu idadi ya vijiji vyenye umeme vimeonekana hapo
Tuna vijiji 12k na kitu mpaka sasa vilivyofikiwa na huduma ni 9k na kitu
Hivi Kenya na Tanzania zina ukubwa wa eneo unaolingana? Kati ya Kenya na Tanzania ipi ina vijiji vingi?
CHANZO CHA TAARIFA YAKO NI NINI?
Hivi wewe jamaa wa CPA hewa huwa unafanya utafiti kweli kabla hujazungumza? Huku tz umeme wa rea unaosambazwa vijijini raia huchangia 27000tzs kuunganishiwa majumbani ambayo ni sawasawa na ks 1030 , sasa kati ya tz na kenya nani anahujumu raia.Halafu tuchukue mfano wa kijiji kimoja kilichofikiwa na umeme. Tukiite kijiji A. Hiki kijiji kina nyumba hamsini. Just because kijiji A kimefikiwa na umeme haimaanishi kwamba nyumba zote 50 zina umeme. Ni jukumu la kila nyumba kulipa ada kidogo ili waungwe na umeme. Hapa Kenya unalipa ksh 15,000 ili uungwe na umeme. Huko Tanzania sio bure kuungwa na umeme lazima utoe pesa ili uungwe na umeme na sio kila nyumba itaweza kumudu kutoa pesa hio. Kwa hivyo just because a village is connected to electricity does not mean that every house is connected to electricity.