africa

  1. JamiiForums Tanzania Sofiane Boufal: Ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya wananchi wa Morocco, Waarabu na Waislamu

    Morocco Egypt na Libya zilishakataa kuwa wao siyo Waafrika na chochote wafanyacho hakihusiani na Afrika! Na ni Morocco ndiyo waliopinga kwa nguvu zote kuwa Afrika ya Kusini wasiwe wenyeji wa Kombe la Dunia la FIFA 2010 kwa madai kuwa hakuna hata nchi moja ya Afrika yenye uwezo wa kuandaa Kombe...
  2. JamiiForums Tanzania Accountant at Poltan Africa Limited

    Accountant Location: Dar es Salaam, Tanzania Company Description: Poltan Africa Limited is a leading provider of rental services for heavy construction equipment duly registered and incorporated under the laws of Tanzania. The company was formed solely to provide Rental Equipment in the Mining...
  3. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mtoto wa Museveni Kainerugaba atema cheche kuhusu Rwanda na DR Congo. Afrika Mashariki wanyamaza

    Kipindi flani hawa Rwanda na Uganda wasingetamba hivi. Mimi nawaonea huruma sana DR Congo. Hawa miaka mingi wanachezewa. Toka miaka ile na wakoloni na sasa Waafrika wenyewe kwa wenyewe. Tena wa hapahapa East Africa. Hapana kwa kweli. Ningekuwa na uwezo ningewasaidia Congo. Hawa wapuuzi...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini bara la Afrika lipo nyuma kwa kila kitu kuliko mabara mengine?

    Habari gani ndugu wananchi? Kuna jambo limeliwaza sana hasa nilipokuwa nikitazama kombe la dunia hii leo kule Qatar. Shida hivi ipo wapi kwa nchi za kiafrica? Kwann kila kitu kibaya ni Africa? Uongozi, tunalalamikiana Africa, Sayansi na teknolojia tupo nyuma zaidi ya sana nahisi ndo wa Mwisho...
  5. JamiiForums Tanzania Mara nyingine tena timu zetu za Afrika zinaenda kutuangusha Kombe la Dunia

    Sisi waafrika ndivyo tulivyo, Mwafrika anayechezea mchi ya Afrika ni tofauti na Mwafrika anayechezea timu nchi za nje. Waafrika wa huku hatuna uzalendo kabisa, ila akibadili uraia au ikiwa alizaliwa kule utamuona jinsi anavyojituma. Halafu tunakaa hapa kusema Mabeberu hivi Mabeberu vile!
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa FIFA awapa makavu wazungu dhidi ya Afrika

    RAIS WA FIFA GIAN INFANTINO. Rais wa FIFA Gian Infantino ameibuka leo na kutoa kauli yenye utata ikiwa imebaki siku moja kuelekea ufunguzi wa mashindano ya Fainali za Kombe la Dunia yanayotarajiwa kufanyika nchini Qatar. Infantino ambaye ni raia wa Switzerland mwenye asili ya Italia amesema...
  7. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa kazaliwa South Africa matendo yake yanafanana na tabia za Kiafrika

    Mmiliki huyo mpya wa Twitter amewatumia Barua Pepe Wafanyakazi wake ikiwa na masharti mapya ya utendaji huku akiwataka wanaokubaliana nayo kujaza fomu maalum hadi kufikia Nov. 17, 2022 jioni Musk amesema "Ili kwenda mbele, kujenga mafanikio ya Twitter 2.0 na kufanikiwa katika Ulimwengu unaozidi...
  8. JamiiForums Tanzania Hizi ndio timu kubwa Afrika kwa sasa

    Makolo hawapo povu ruksa
  9. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi: Nafuu ya kodi unapoagiza/kununua gari za Afrika Kusini

    Habari wakuu. Naomba kutoa angalizo ama ufafanuzi kidogo kuhusu nafuu ya kodi pale utakapoagiza gari zilizotengwa South Afrika. Nimeona mijadala mingi humu watu wakisema kuna unafuu mkubwa wa kodi ukiagiza gari South Afrika kuliko Japan. Hilo jambo linaweza kua sahihi ama linaweza kua na...
  10. JamiiForums Tanzania Nabi na Yanga wamefanya wameleta mtazamo tofauti na uliozeleka africa

    Moja ni kitu kinachoboa katika timu za africa ni kukomaa na ushindi wa nyumbani pekee. Africa imekuwa na utamaduni huu kwa muda mrefu sana, silaha ya timu za Africa ni ushindi wa nyumbani tofauti na timu za ulaya. Kanuni ya africa ni ugenini paki basi, komaa nyumbani. Kitendo cha Yanga...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga yaipeleka ligi kuu Tanzania Top Ten Africa

    Baada ya ushindi wa Jumatano kwa kasi sana Yanga imetoka nafasi ya 75 mpaka nafasi ya 46 Afrika na kuifanya Ligi ya Tanzania kutoka nafasi ya 11 mpaka nafasi ya 9. Haya ni mafanikio ya Yanga wachambuzi uchwara hawasemi mpaka Sasa wapo kimya Ila Yanga ikifungwa tu kelele zinaanza. Yanga ndio...
  12. JamiiForums Tanzania Club Africain 0-1 Young Africans | CAFCC Playoff | Yanga yatinga hatua ya makundi

    FULL TIME: Yanga inafanikiwa kufuzu Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika 90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza 89' Bakari Mwamnyeto anaingia anatoka Morrison 88' Wenyeji wanaonekana kama wamkata tamaa, wanapata kona 80' Yanga wameanza kucheza vizuri zaidi, wanamiliki mpira Azizi Ki...
  13. JamiiForums Tanzania South Africa wanavyotunanga kwa zawadi ya shujaa Majaliwa

    Nilikuwa napita Twitter nilichokutana nacho mpaka ninechoka kabisa. Zawadi ya shilingi milioni moja inachukuliwa kuwa ni mzaha wa karne hii. Soma mwenyewe: Source:
  14. T

    JamiiForums Tanzania Oppah Clement angekuwa anatokea Africa ya Magharibi sasa hivi angekuwa anachezea Real Madrid W/Barcelona W au Bayern Munich W, Mawakala mbona mmelala?

    Igweeee igweeee!! Nimekaa nikitafakari jinsi gani tunakosa mawakala wa kuwavusha wachezaji wetu kwenda kucheza soka la kulipwa barani Ulaya na Marekani. Nchi yetu imebarikiwa kuwa na mchezaji mahiri sana katika soka la wanawake naye si mwingine bali ni muwindaji wa magoli, Oppah Clement. Huyu...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi ilikuwaje Pepe Kale akaimba ule wimbo wa "Yanga Africa?".

    Anayejua hebu atujulishe kama je Pepe kale alifuatwa na Wadau akapewa dili?. Viongozi/kiongozi mmoja alimpa dili akamlipa?. au ni mapenzi yake binafsi kwa timu ya Yanga?
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marais wanaoingia madarakani Afrika wana "uchu" wa kujitambulisha Ulaya, Amerika na Asia but not vice versa?

    Why not vice versa? Mimi nadhani tunahitajiana, lakini picha inaonyesha kuwa sisi tuna uhitaji wao kulio wao walivyo. Tunawezaje kurekebisha hili?
  17. JamiiForums Tanzania Yanga ilikuwaje wakaitwa Kandambili na Pan Africa wakaitwa Raizoni?

    Mpaka leo wachora katuni hutumia picha ya Kandambili kuwakilisha timu ya Yanga. Nakumbuka ni utani kati ya Yanga na Pan African, ndiyo ulileta jina la Kandambili Yanga na Raizoni Pan African. Raizoni ndiyo vilikuwa viatu vya maana sana zama hizo, na Kandamimbili zilikuwa zinavaliwa na watu...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Namuona Paul Kagame akiwa kama Putin hapa Afrika Mashariki

    Siku akikiamsha hakuna nchi itatia maguu kumzuia. Atateka sehemu yoyote ya nchi yoyote aitakayo hapa East Afrika. Nchi yake iko vizuri kijeshi na muda mwingi wanajeshi wa Rwanda wameutumia vitani. Na nadhani hata nchi zote za East Africa ziunajua umahiri wa kijeshi wa Rwanda ndiyo maana Paul...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi ukoloni Africa utaisha lini. Tazama Rwanda inavyotumiwa na wakoloni kuiibia drc!

    Kipindi Cha ukoloni waafrica tulikuwa tunapigana sisi kwa sisi halafu mzungu ananyakua Mali kirahisi Sana. Mfano mango Sina dhidi ya mango meli halafu mzungu anapita kirahi. Mangungo akalaghaiwa ka mikataba mibovu pia. Sasa Rwanda inatumuwa na wazungu kuwapiga waafrica wenzake i.e Congo ili...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Simba, Yanga na Azam katika hadhi ya nchi tatu za E. Africa

    Hivi eti klabu za Simba, Yanga na Azam ukizipa hadhi ya nchi tatu za East Africa, yaani Kenya, Uganda na Tanzania, klabu ipi itaipa nchi gani. Mimi naanza hivi: Yanga = Kenya Simba = Tanzania Azam = Uganda Karibuni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…