africa

  1. CIA mgumu

    JamiiForums Tanzania Afrika kila Rais akiingia madarakani anasema amekuta hali ya uchumi ni mbaya. Je, ni lini uchumi wetu utaimarika?

    Naibu Rais, Rigathi Gachagua amesema Serikali ya Awamu ya 5 imerithi Uchumi mbaya kutoka awamu iliyopita na wanatafuta suluhu ya kudumu. Amewataka Wananchi kuwa na subira maana Ndani ya Siku 90 hadi 100 Uchumi utaimarika.
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Clip Mzungu asemavyo kuhusu Afrika na Kodi. Mwigulu njoo uone

    Habari ndiyo hiyo Mwenye masikio na asikie. Jamaa wanatujua hadi wanatuonea huruma
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Amin usiamini Africa Mara zote Raisi na Makamu wake huwa haziivi

    Hawa wakubwa bwana wanapenda Sana maigizo. Wakiwa madarakani utadhani ni wa moja la hasha. Fuatilia historia nyingi za Raisi na Makamu wake mara zote siyo nzuri. Kwa Tanzania Makamu wa Raisi huchaguliwa Kwa mkakati maalumu na huwa siyo chaguo la Raisi aliyeko madarakani. Tanzania makamu wa...
  4. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Rekodi ya Yanga ya Kibabe Africa

    YANGA imeendelea kuboresha rekodi yake ya kucheza mechi mfululizo za Ligi Kuu Bara bila kupoteza, ikifikisha 41, baada ya Jumanne wiki hii kuifumua Mtibwa Sugar kwa mabao 3-0 katika pambano lililopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam. Mara ya mwisho kwa Yanga kupoteza...
  5. Light Saber Imetosha Sasa

    JamiiForums Tanzania Video: We need Africa impoverished because we need those raw material

    What's your take on this?
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ikiwa bara la Afrika na Tanzania hatutaki kuongozwa na watu kama Magufuli, hatutaendelea kamwe!

    Itakuwa Niko kaburini ambako hakuna fahamu za kuelewa chochote kinachoendelea duniani, na ndio itakuwa mwisho wangu wa kushindwa kuelewa mwelekeo wa kimapinduzi makubwa ya kiuchumi ambayo hayati JPM alikuwa akiyaona huko tukiendako kama Taifa. Ni mjinga pekee ambaye anaweza kupinga mwelekeo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sijaona Channel yoyote ya Uingereza ikiomboleza kifo cha Malkia kwa kupiga nyimbo za kwaya kama Afrika

    Wenzetu naona hawapo kama sisi...Huku kwetu Mkuu wa nchi akidondoka tv zote na redio hukesha zikipiga kwaya za maombolezo..huku wasanii wakikesha studio kutunga nyimbo maalum za msiba..lakin Kwa wenzetu hii kitu haipo..Sio BBC Wala Manchester tv walioweza kupiga kwaya hata Kwa dk 2... Ni live...
  8. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Jamani hivi kuna rapper wa kike kama huyu hapa barani Afrika, amewashinda hadi wanaume?!

    Huyu mwanamke ni Mzambia, lakini moto wake ni wa kuotea mbali. Anaimba kama katokea Marekani aisee, ni mtoto wa miaka 29 tu, lakini uwezo wake siyo wa dunia hii, hadi wanaume amewashinda. Hii ngoma yake inanifanya niwaze sana..... Huu hapa yuko na Mama Angelique Kidjo.....
  9. Shark

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Simba Queens Klabu Bingwa Africa hawa hapa

  10. N

    JamiiForums Tanzania Somo laanza kumuingia CEO wa Simba, ataka clubs za Afrika kutumia makocha wa kiafrika

    Opportunities ilitokea wazi kwa yule kocha toka Ghana, yule kocha toka Guinea wa Horoya, kama kawaida mkakimbilia wazungu Zoran kalilia nafasi mbili kuingiza beki na foward kila mtu kaona aina ya usajili wake ni bora mara 100 angekuja Harvey ngomo wa cameroon kama beki leo team iko stuck na...
  11. Shy land

    JamiiForums Tanzania Misimamo yetu wanaume halisi wa Africa

    Mimi kama mwanaume halisi ninayejua majukumu yangu ni marufuku mke. 1. Uvaaji wa soksi na sedosi unaleta taafasiri mbaya sana. 2. Kujichubua na kutumia aina yoyote ya dawa za kubandilisha rangi. 3. Kunikumbatia au kuleta viashilia vya mahamba mbele ya watu, pamoja na kunishikashika ovyo...
  12. Light Saber Imetosha Sasa

    JamiiForums Tanzania Zanzibar The Next UAE /Dubai On Africa?

    Kwa uchache KWA kutizama megaprojects za Zanzibar... Kama Ujenzi wa uwanja wa cricket wenye Thamani zaidi ya dola mil 30 . Ukodishwaji wa Visiwa vyake KWA wawekezaji.(Uchumi wa buluu KWA ujumla) Real estates projects. Nk.
  13. BONGO 3D

    JamiiForums Tanzania Nimechati na mwandishi wa Afrika Kusini: wazungu wanaisema vibaya Simba. Zoran anafanya makusudi avunjiwe mkataba na kijana wake walipwe mamilioni

    Lorenz kohler ni mwandishi mkubwa sana south africa, matter of fact is, ni best sports journalist wa huko award hiyo kashinda mwaka huu Kuna siku nilibishana naye facebook kuhusu lile sakata la simba na kocha wa pirates, aliandika yake nikayapuuza lakini kuna trend nimejaribu leo kuuunganisha...
  14. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ndio msanii namba mbili Afrika kwa kumiliki magari ya kifahari. Mtandao mkubwa duniani watoa orodha

    Kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na mtandao maarufu duniani. Msanii namba moja Afrika Diamond Platnumz ameshikilia namba mbili kwenye bara ili lenye nchi zaidi ya 50 na wasanii zaidi ya million 70.....yaaani katika wasanii wote Africa Diamond Platnumz ndio namba mbili. Asante sana Mwenye enzi...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Forbes Africa yataja wasanii 20 bora Afrika

    Jarida la Forbes limetoa orodha ya wasanii 20 bora kutoka bara la Afrika. Kwa mujibu wa jarida hilo, wasanii wa Afrika Magharibi na Kusini mwa Afrika wanaongoza katika orodha ya wasanii wakubwa barani humo huku Jarida hilo likitumia wasikilizaji wa kila mwezi wa Spotify na jumla ya kutazamwa...
  16. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Signature Program Technical Lead - East Africa at Heifer International

    Description Heifer International is an equal opportunity employer. All qualified applicants will receive consideration for employment without regard to race, religion, color, national origin, gender, gender identify, sexual orientation, age, status as a protected veteran, among other things, or...
  17. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Afrika ni ngumu mtoto wa maskini kuendeleza kipaji chake kwa support kutoka kwa baba yake

    Kipaji ni zawadi iliyopo ndani yako ambayo mungu mwenyewe kakupa kujua una kipaji gani hilo ni jukumu lako wewe mwenyewe tena. Lakini kiafrika afrika ni ngumu sana kipaji cha mtoto kuendelezwa na kupata support kutoka kwenye familia sio kwa sababu hawataki kipaji chako kiwe kikubwa ila tu "...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Wakati Nigeria ikitengeneza $3.7bn, South Africa $ 1.7 bn kwa mwaka kwa kilimo halali cha bangi, Mwigulu na Samia wanazidi kuwakamua ' Damu' Wa- Tz.

    Wakuu, nadhani kila mmoja wetu humu anaumia au amesikia kilio cha kila Mtanzania hasa baada ya kuanzisha tozo kila tunapotoa pesa kwenye account zetu aidha kwenye counter au ATM. Viongozi wetu Sasa hivi hawafikilii nje ya box au tuseme wamefikia mwisho wa kufikiria. Sasa hivi watanzania tulio...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Simba SC isihofie mabadiliko ikiwa inataka kufika mbali kisoka katika bara la Africa na duniani kwa ujumla

    Ahlan Ahlan bik Habari zenu wana Jf, wadau wa soka na wapenzi wa wana lunyasi, giants of Africa, Simba Sc. Jana nilipata safari kidogo kutoka Bergamo kwenda katika jiji la bandari, Piraeus nchini ugiriki .Jiioni nikiwa naitazama bahari ya meditterenian katika kitongoji cha Freattyda nikawa...
  20. Msanii

    JamiiForums Tanzania Nimepokea taarifa ya baadhi ya raia wa Afrika Kusini kuwataka wageni kuondoka nchini mwao

    Nimepokea hivi karibuni voice note kutoka kwa Mtanzania anayeishi Afrika Kusini. Sauti hiyo ya Dudula Master ambaye ni mhamasishaju mkubwa wa Xhenophobia ametoa onyo dhidi ya wageni wote kuondoka Afrika ya Kusini kuanzia tarehe 02 Septemba 2022 hadi March 2023. Nchi zetu hususan Tanzania...
Back
Top Bottom