Hawa watoto wetu wangejua tunayopitia ili upate ada ya shule na mkate mezani, wangesoma kwa bidii

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,270
1629123838121.png
 
Kuna baadhi ya tamaduni, mwanaume hupiga magoti endapo anaongea na mkubwa wake...

Usikute huko Zambia wanafanya hivyo
 
Kuna baadhi ya tamaduni, mwanaume hupiga magoti endapo anaongea na mkubwa wake...

Usikute huko Zambia wanafanya hivyo
Zambia ni moja ya nchi za Jumia ya Madola ambazo ki ofisi zinafuata protokali ya Uingereza. Magoti mpigie baba mkwe wako nyumbani
 
Wadhungu wanakwambia kiherehere chako cha kumleta duniani usimpangie jinsi ya kuishi, na kumhudumia ni lazima maana ni matokeo ya maamuzi yako, kwa hiyo jipange kivyako. 😬
 
Let him kneel ...
Wakina Mwigulu wangekuwa Wana kneel hivi
Labda hamu ya power ingewapungua..
 
Waafrika ndio maana tunaonekana hatuna akili,mtu mzima mwenye akili timamu unawezaje kujidharirisha kiasi hicho kwa mwanadamu mwenzako lakini pia huyo anayepigiwa magoti anaona fahari gani kumdharirisha mwanadamu mwenzake kiasi hicho!
 
Tamaduni hii ni kawaida sana kwa wazambia!
Anaonesha respect....hata mwanawasa alikuwa
Anapigiwa goti mbona

Ova
 
Back
Top Bottom