Unalipa ada za watoto zaidi ya mamilioni, eti bia mbili tu kosa

Unamchamba nani?

Ushauri tu kulipa ada ya mamilion sio ujanja kama hao unawaolipia ada uwaandalii pia assets za urithi wao. Elimu peke yake haitoshi zama hizi. Ada kubwa bila mali binafsi za familia ni ujinga

Kina mo wamelipiwa ada milioni 50 shule ya IST na asset pia wakawa wanaandaliwa. Mohamed enterprises waliandaliwa pia

Sio umlipie mtu mamilioni halafu aje zungusha bahasha huku hata nyumba ya urithi hana
 
Ukweli mchungu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Unamchamba nani?

Ushauri tu kulipa ada ya mamilion sio ujanja kama hao unawaolipia ada uwaandalii pia assets za urithi wao. Elimu peke yake haitoshi zama hizi. Ada kubwa bila mali binafsi za familia ni ujinga

Kina mo wamelipiwa ada milioni 50 shule ya IST na asset pia wakawa wanaandaliwa. Mohamed enterprises waliandaliwa pia

Sio umlipie mtu mamilioni halafu aje zungusha bahasha huku hata nyumba ya urithi hana

Unawaza urithi, ni hasara kwa wazazi wako.
 
Unajuaje ikiwa wanao watawaza kuachiwa au laah!

Mimi ni mkristo. Kanisani na hata Kitabu changu kitakatifu biblia kimeniambia hivi

Mit 13:22
Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi.

Yaani sio wanangu tu. Mpaka wajukuu zangu natakiwa niwaachie urithi
 
Back
Top Bottom