instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,303
- 1,663
🤣🤣Ila nyie jamaa mna bit sana, nimekuja kivingine kivipiUmekuja kivingine siyo?
Hiyo siyo account yangu mkuu, mbona unachanganya mamboDaah umetumia gear kubwa sana kutaka account yako ifunguliwe shida ilikua nini...
wanasema kwamba umejoin march 17 2026 yani juzi , ila unalalamikia akaunti ya mtu mwingine ambaye umesema amepotea muda mrefu sana🤣🤣Ila nyie jamaa mna bit sana, nimekuja kivingine kivipi
NIlikuwa sina account before ila nilikuwa ni mufatiliaji mzuri wa post za kimbesawanasema kwamba umejoin march 17 2026 yani juzi , ila unalalamikia akaunti ya mtu mwingine ambaye umesema amepotea muda mrefu sana
Ni mdau tu nlikuwa naelewa sana post zakeNi nani yako huyo faza
Mdau wako umemkubali kiasi kwamba amefungiwa unahisi kuna kitu umepungukiwa sio..?Ni mdau tu nlikuwa naelewa sana post zake
SawaMimi ndiye Kimbesa niliwaambia waifungie kwa muda. Kuna MTU alihack account yangu
YahMdau wako umemkubali kiasi kwamba amefungiwa unahisi kuna kitu umepungukiwa sio..?
Huyu kimbesa amepotea muda mrefu sana it seems account yake mmeiblock moderators. Mara ya mwisho niliona Mshana Jr anampa onyo la kumfungia account yake. Punde si punde account ikasizi.
Uccm wake usimkoseshe uhuru wa kutoa maoni yakr
Please adhere with principles of freedom of expression
Sawa
Sawa
mjumbe hauwawi mkuuNIlikuwa sina account before ila nilikuwa ni mufatiliaji mzuri wa post za kimbesa
Unaskia bwana Poor BrainUNA ACCOUNTS NYINGI. ZINAKUSAIDIA NINI? TUMIA HII YA SASA. KIMBESA.
Nasikia Kimbesa hiyo account yako haitafunguliwa.Unaskia bwana Poor Brain