HONOURABLE PETER
Member
- Jul 8, 2019
- 21
- 30
Hivi kuwa agent au wakala wa kufungulia watu account za bank ni lazima uwe umesomea uhasibu?
Na kutumia Smartphone vizuriHapana sio Lazima awe amesomea uhasibu ..Mtu Yoyote mwenye elimu ya kidato cha nne kwa Tanzania hio kazi anafanya alimradi yupo vizuri kusoma ,kuelewa na kuandika
Umetisha SanaNa kutumia Smartphone vizuri
Hapana sio lazima, unahitaji kua wakala?Hivi kuwa agent au wakala wa kufungulia watu account za bank ni lazima uwe umesomea uhasibu?
Ndio, nahitajiHapana sio lazima, unahitaji kua wakala?