Search results

  1. Kuchasoni Kuchawangu

    #COVID19 Baada ya kumaliza Maombolezo ya kumuaga mpendwa wetu Magufuli, tujiandae na maambukizi mapya ya COVID-19

    Kwa kile nilichokishuhudia uwanja wa uhuru jana na leo, na kile kinachokwenda kufanyika Dodoma, Zanzibar, Mwanza na Chato cha watu kutokuchukua tahadhali ya ugonjwa wa Corona. Tutarajie nchi yetu kukumbwa na maambukizi mapya ya COVID-19. Ninasihi sana viongozi wetu tuchukue tahadhali kabla...
  2. Kuchasoni Kuchawangu

    Rice combine harvester inahitajika

    Habari zenu wakuu, Nina shamba la mpunga Nzega vijijini, nategemea kuanza kuvuna mwezi wa tano. Kama kuna mtu ana combine harvester ipo mikoa ya karibu na Tabora naomba tuwasiliane tufanye kazi maana nina ekari nyingi. Gharama ya kuisafirisha kutoka ilipo mpaka shambani kwangu ni juu yangu.
  3. Kuchasoni Kuchawangu

    Toyota Carina inauzwa

    Make: Toyota Model: Carina Colour: Red Engine: 7AFE Engine capacity: 1800 Fuel used: Petrol Body type: Saloon Year: 1996 Manual Bei 6.5 ml mawasiliano 0787360301. Gari ni Mpya, full documents
  4. Kuchasoni Kuchawangu

    Special Load Permit ya Tanroad ilivyotengeneza mazingira ya rushwa kwa watumishi wa mizani

    Wakuu, Salaam Mimi ni mdau wa usafirishaji wa Mifugo East Africa. Kutokana na sheria mpya ya usafirishaji wa mizigo iliyoanza kutumika kuanzia mwezi wa tatu mwaka huu, kumekuwa na changamoto nyingi sana husususani kwenye ukataji wa vibali vya mizigo inayohamahama. Mwanzoni kulikuwa na kipengele...
  5. Kuchasoni Kuchawangu

    Smart Flat TV inahitajika

    Smart Flat TV inch 32 inahitajika used bajeti yangu ni 200,000/= Kama unayo ni PM tufanye biashara.
  6. Kuchasoni Kuchawangu

    Car4Sale Nataka Noah townace,

    Nataka Noah townace, ya mwaka 1999-2001., 3s engine toleo la super extra LIMO. Bajeti yangu 8 ml WhatsApp no 0767360301
  7. Kuchasoni Kuchawangu

    Binti amepata Div 2 point 12 mchepuo wa HGK anaweza kusomea kozi gani Chuo kikuu?

    Wakuu salaam Binti kapata Div 2 point 12 mchepuo wa HGK katika matokeo yake ya kidato cha sita 2018. Masomo aliyofaulu ni Geography D Kiswahili C, Kidato cha nne masomo yote mawili alipata C. Ndoto zake Chuo kikuu ni kusomea Education. Nini ushauri wako kwake kwa matokeo haya na Chuo gani aende?
  8. Kuchasoni Kuchawangu

    Ndege ya Gwajima na ndege za ATCL ipi yenye ubora zaidi?

    Wakuu salaam. Naomba wajuzi wa vyombo vya anga watujuze ubora wa ndege za ATCL zilizotua hivi karibuni na ndege ya Askofu Gwajima wa Ufufuo na Uzima.
  9. Kuchasoni Kuchawangu

    Ni Taasisi gani zinakopesha vikundi vya Wakulima

    Tofauti na TADB inayohitaji vikundi vya muda mrefu kuanzia miaka mitatu kuvikopesha. Ni taasisi gani nyingine za kifedha zinazokopesha vikundi vya wakulima Tanzania? Mwenye kujua atufahamishe.
  10. Kuchasoni Kuchawangu

    Msaada wa SMS kujirudia Mara kwa Mara kwenye Smartphone

    Wakuu salam Naomba mwenye ujuzi na utalaam was kufunga/kuzuia sms husasani za Huduma kwa wateja kujirudiarudia hata zaidi ya mara 100 kwenye simu yangu ya smartphone anisaidie. Maana nimeshaenda Tigo customers care waka swap line yangu lakini tatizo linaendelea hata kama ukitoa line ya Tigo na...
  11. Kuchasoni Kuchawangu

    Sheria inasemaje kwa watumishi wa umma kushindwa kesi mahakamani

    Wakuu salam Naomba ufafanuzi wa sheria hasa kuhusu Kesi ya madai ambayo inamhusisha mtumishi wa umma baada ya kushindwa Kesi na kuamuriwa kulipa gharama na mahakama. Je anaweza akahatarisha ama kupoteza ajira yake pindi akishindwa kulipa gharama za kesi? ama kuna madhara gani anaweza yapata...
  12. Kuchasoni Kuchawangu

    Mnada wa hadhara kufanyika kisha kukimbia mnunuzi bila kukamilisha malipo sheria inasemaje

    Wakuu salaam. Mimi ni mhanga wa mikopo toka taasisi za kifedha ambapo niliposhindwa kurejesha mkopo baadhi ya Mali zangu ziliuzwa kwa mnada na dalali wa benki husika. Taratibu zote za mnada zilifanyika na baada ya mnunuzi kufika being kubwa kuzidi kiasi nilichokuwa nadaiwa na benki na kutangazwa...
  13. Kuchasoni Kuchawangu

    NACTE, tangazo lenu limekuja kwa kuchelewa

    Nimeona tangazo la NACTE la leo tarehe 29 July linalowaomba walioomba vyuo vya ualimu vya serikali wasifute machaguo yao wasubiri utaratibu utakaotolewa hapo baadaye. Wengine tayari wameshafuta na kufanya machaguo mapya na bahati mbaya vyuo vya ualimu vya serikali havionekani tenà. Hao...
  14. Kuchasoni Kuchawangu

    Div III.25, hajapata post form five wala chuo

    Msaada kwa huyu binti ambaye hajapata selection ya form five wala NACTE wakati ana div III.25. Namba take ya mtihani ni S4279/0029 tatizo liko wapi? Je aki apply tena atachajiwa pesa ya kutuma maombi? Mwenye ufahamu juu ya hili anisaidie.
  15. Kuchasoni Kuchawangu

    Nimekusudia kuwapeleka Mahakamani Vodacom Tanzania

    Wakuu salam, Nimekusudia kuwafungulia mashtaka Vodacom Tanzania kwa kushindwa kulipa Mpesa faida yangu ya mwezi uliopita bila maelezo yoyote suala ambalo limeleta usumbufu katika shughuli zangu za kiuchumi Ifike mahali tukatae kudanganywa na Vodacom, ninakamilisha kuongea na wanasheria wangu...
  16. Kuchasoni Kuchawangu

    Msaada was Invalid Imei kwa Techno y2 MTK

    Wakuu, nilii root simu yangu na kui upgrade kutoka 4.4.2 kwenda 4.4.4 tangu nimeibadili imekuwa na tatizo LA kuchagua baadhi ya laini na kuandika invalid imei. Baadhi ya laini siwezi kupiga wala kutuma SMS isipokuwa kuchat internet tu. Nimejaribu kurestore tatizo liko palepale. Mwenye utaalamu...
  17. Kuchasoni Kuchawangu

    Msaada wa haraka wa kisheria.

    Wakuu salamu, Naombeni msaada wa kisheria kuhusu suala hili. Nimekopa benki ikafika kipindi nikashindwa kurejesha vizuri marejesho yangu kwa sababu ya kupata hasara katika biashara yangu. Nikamwomba jamaa yangu aniazime pesa ambayo nitailipa kwa riba nilipe benk ili wanipe mkopo mwingine...
  18. Kuchasoni Kuchawangu

    Matokeo kura za Maoni Igunga

    Matokeo Jimbo la Manonga. Ally Khalfan Nguzo 255 Athanas 27 Tayebwa Barongo 7 Seleli 5 Shiligile 3 Jimbo la Igunga Samson Kube159 Joseph Kashindye 100 Ngasa 15
  19. Kuchasoni Kuchawangu

    Lowasa mbuzi wa kafara kashfa ya Richmond

    Ni wazi kabisa ufisadi wa Lowasa juu ya Richmond haujathibitishwa na mahakama yeyote hapa Tanzania na hata nje ya nchi. Mara nyingi amekuwa akituhumiwa kuhusika na kashfa ya Richmond na yeye kukataa kuwa hakuhusika, na hili halina ubishi kwani hata CCM hawana ushahidi wa moja kwa moja juu ya...
Back
Top Bottom