Kuchasoni Kuchawangu
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 623
- 378
Nimeona tangazo la NACTE la leo tarehe 29 July linalowaomba walioomba vyuo vya ualimu vya serikali wasifute machaguo yao wasubiri utaratibu utakaotolewa hapo baadaye. Wengine tayari wameshafuta na kufanya machaguo mapya na bahati mbaya vyuo vya ualimu vya serikali havionekani tenà.
Hao mnawasaidieje?
Hao mnawasaidieje?