Mnada wa hadhara kufanyika kisha kukimbia mnunuzi bila kukamilisha malipo sheria inasemaje

Kuchasoni Kuchawangu

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
603
340
Wakuu salaam.
Mimi ni mhanga wa mikopo toka taasisi za kifedha ambapo niliposhindwa kurejesha mkopo baadhi ya Mali zangu ziliuzwa kwa mnada na dalali wa benki husika. Taratibu zote za mnada zilifanyika na baada ya mnunuzi kufika being kubwa kuzidi kiasi nilichokuwa nadaiwa na benki na kutangazwa hadharani kuwa sidaiwi tena na kuanzia Sikh hiyo Mali hiyo siyo yangu tena.
Nikashukuru kwa kuwa nimemaliza deni sidaiwi tena baada ya kupita miezi mitatu kufanyika mnada nikaenda Benji kuangalia Salio nikakuta pesa iliyozidi kwenye mnada haijaingizwa. Nilipouliza nikaambiwa bado deni language lipo palepale kwani mnunuzi aliyetaka kununua Siku ile ya mnada alishawakimbia.
Kuanzia Siku walipofanya mnada Mali hiyo waliikabidhi kwa MTU mwingine na wala hawakunijulisha kuwa yule mnunuzi aliwakimbia mpaka nilipokwenda kudai albaki yangu. Nifanye mini kisheria juu ya hili?
 
Nenda Pale BOT kuna kitengo cha kuhudumia wateja wenye matatizo na Bank.
Na ukitaka kwenda mbali zaidi,ni kwamba Nenda TRA uwataarifu kwamba Broker wao anaonekana sio mlipaji kodi.
Brokers wengi hutumia hii trick kukwepa kodi za serikali,mchezo upo sana huu
 
Asante mkuu kwa ushauri wako, nitafanya hivyo..
 
Back
Top Bottom