Msaada wa SMS kujirudia Mara kwa Mara kwenye Smartphone

Kuchasoni Kuchawangu

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
603
340
Wakuu salam
Naomba mwenye ujuzi na utalaam was kufunga/kuzuia sms husasani za Huduma kwa wateja kujirudiarudia hata zaidi ya mara 100 kwenye simu yangu ya smartphone anisaidie. Maana nimeshaenda Tigo customers care waka swap line yangu lakini tatizo linaendelea hata kama ukitoa line ya Tigo na kuweka line ya mtandao mwingine sms hizo zinaendelea kuingia tu kwa Fuji. Naomba msaada tafadhali
 
hilo tatizo sana ni kwa watumiaji wengi wa android ndio maana kila siku tunawaambia kuwa android Os ni majanga hasa kwenye software infection

hilo tatizo kwenye window phone hamna kabisa,kwa kukusaidia download avg ant-virus alafu scan hiyo simu yako hilo tatizo litapotea kwa muda fulani na baadae litarudi pia futa baadhi ya apps,video na picha
 
Huniingizi kwenye chaka la kutumia window phone ni majanga matupu.

Utakuwa akili yako si nzuri Tanzania nzima imejaa Japanese car halafu wewe unataka uwe na gari ya Kimarekani.
 
Huyu kajibu baada ya kuona neno wataalamu
Hapo ukimuuliza ulisomea nini atakuambia commerce, accountancy,....waachie wenyewe fani zao
 
hilo tatizo sana ni kwa watumiaji wengi wa android ndio maana kila siku tunawaambia kuwa android Os ni majanga hasa kwenye software infection

hilo tatizo kwenye window phone hamna kabisa,kwa kukusaidia download avg ant-virus alafu scan hiyo simu yako hilo tatizo litapotea kwa muda fulani na baadae litarudi pia futa baadhi ya apps,video na picha
Mkuu inawezekana video na Picha pia zinasababisha tatizo la SMS kujirudiarudia?
 
Huniingizi kwenye chaka la kutumia window phone ni majanga matupu.

Utakuwa akili yako si nzuri Tanzania nzima imejaa Japanese car halafu wewe unataka uwe na gari ya Kimarekani.
mkuu kama hujui kitu bora ukae kimya huo mfano wako wa magari mbona sio hai,jaribu kuuliza basi kuhusu windowphone ndipo uje kukosoa
 
Sihitaji window phone that's it.
Mmi nikiweka game la Asphalt 8 Airbone kwenye Android smartphone linaleta matangazo mpaka naamua kulifuta, lakini kwenye Lumia 650 hakuna upuuzi huo japo haikai sana charge kama hii Note 3
 
Mimi huwa hata sielewi mtu mzima na upenzi wa game sijui unatoka wapi!!
 
Naenda sehemu natakiwa nikae foleni hivyo inabidi nicheze game kupoteza muda, pia mimi hv karibuni nimekuwa mtu wa kusafiri nipo kwenye basi naamua kucheza Game ili kupunguza machungu ya safari maana kukaa kuangalia tv huwa hainivutii
 
Wakuu salam
Naomba mwenye ujuzi na utalaam was kufunga/kuzuia sms husasani za Huduma kwa wateja kujirudiarudia hata zaidi ya mara 100 kwenye simu yangu ya smartphone anisaidie. Maana nimeshaenda Tigo customers care waka swap line yangu lakini tatizo linaendelea hata kama ukitoa line ya Tigo na kuweka line ya mtandao mwingine sms hizo zinaendelea kuingia tu kwa Fuji. Naomba msaada tafadhali
Hapo dawa hakuna zaid ya kumuvulia tu tigo ndiyo zao na cyo smartphone tu bali hata simu za botton ziko hivyo
 
Wakuu salam
Naomba mwenye ujuzi na utalaam was kufunga/kuzuia sms husasani za Huduma kwa wateja kujirudiarudia hata zaidi ya mara 100 kwenye simu yangu ya smartphone anisaidie. Maana nimeshaenda Tigo customers care waka swap line yangu lakini tatizo linaendelea hata kama ukitoa line ya Tigo na kuweka line ya mtandao mwingine sms hizo zinaendelea kuingia tu kwa Fuji. Naomba msaada tafadhali
huu upuuzi unatokea zaid kwenye tecno tupa hy chukua i4n o samsung
 
Hilo tatizo lilikuwa kwenye simu yangu ila baada ya kufanya utafiti nikagundua inasababishwa na kuzima simu kabla sijasoma meseji husika. Nilichofanya ni restore simu tatizo limeacha
 
Back
Top Bottom