Kuchasoni Kuchawangu
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 623
- 378
Habari zenu wakuu,
Nina shamba la mpunga Nzega vijijini, nategemea kuanza kuvuna mwezi wa tano.
Kama kuna mtu ana combine harvester ipo mikoa ya karibu na Tabora naomba tuwasiliane tufanye kazi maana nina ekari nyingi. Gharama ya kuisafirisha kutoka ilipo mpaka shambani kwangu ni juu yangu.