Ndege ya Gwajima na ndege za ATCL ipi yenye ubora zaidi?

Kuchasoni Kuchawangu

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
603
340
Wakuu salaam.
Naomba wajuzi wa vyombo vya anga watujuze ubora wa ndege za ATCL zilizotua hivi karibuni na ndege ya Askofu Gwajima wa Ufufuo na Uzima.
 
Attachments

  • FB_IMG_1523776415200.jpg
    FB_IMG_1523776415200.jpg
    21.9 KB · Views: 119
Mkuu, uko serious au unatania??
Kama uko serious, hii nchi bado ina kiasi kikubwa cha wajinga.
Tanzania watu wengi ufahamu wao kuhusu ndege ni finyu mno. Wao ndege ni kama bajaji au hizi pikipiki za boada boda na huwa wanatumia vigezo na uelewa wao kuhusu hivyo vyombo ku-asses ndege!
 
Tanzania watu wengi ufahamu wao kuhusu ndege ni finyu mno. Wao ndege ni kama bajaji au hizi pikipiki za boada boda na huwa wanatumia vigezo na uelewa wao kuhusu hivyo vyombo ku-asses ndege!
Nimeita watalaam wa Mambo haya watusaidie sisi tunaoonekana mazezeta juu ya vyombo hivi vya anga ili tuuondoe huo ujinga. Maana kitu usichokijua ni mjinga kwa kitu husika.
 
Back
Top Bottom