Ilikuwa hivi.......
Jamaa mmoja aliishi mjini kwa muda mrefu toka alipotoka kijijini hakuwahi kurudi hadi ikafikia akaamua kuoa.
Baada ya ndoa aliamua kwenda kijijini kwa wazazi wake kumwaonyesha mkwe wao. Kumbe wazazi wa jamaa walikuwa vikongwe sana. Alipofika walikaribishwa na kuandaliwa...
Hii ilikuwa nipo mitaa fulani nmetulia na pembeni yangu kulikuwa madenti wawili. Mara akafika jamaa na kuanza kuomba mgegedu kwa denti mmoja. Yule jamaa alijitangazia sifa za kuwa na pesa....denti alimjibu hivi...sasa hivi kwenye mapenzi tunaangalia elimu na sio pesa....
Je wadau hivi kuna...
Ikiwa draw ya clab bingwa ulaya imepangwa leo....iko hv Buyern v Real Madrid na Chelsea v Atletico Madrid......Je unafikiri timu gani itaibuka kuwa bingwa kati ya hizo.
Wanajamvi...
Nmekuwa nikipatwa na maswali mengi juu hii kitu kinachoendelea kwa wanafunzi wa sekondari hususani kwa wasichana wa shule za mjini. Nashangaa kuwaona wakienda shule wakiwa hawana hata mfuko (begi) wa daftari badala yake huwa wanabeba vipochi ambavyo hata daftari ndogo inayotumiwa na...
Nasumbuliwa na sikio ambalo linanifanya nijisikie vibaya pia linapelekea kuuma kwa kichwa kutokana na kuvutika kwa misuli ya sikio hlo. Isitoshe limeziba kabisa (halisikii chochote).
Je nitumie dawa gani niweze kupona?
Kutokana na kupandishwa kwa umeme na TANESCO imepelekea sasa kuibuka kwa chuki kati ya wamiliki wa nyumba na wapangaji. Naishi katika nyumba ya kupanga na nilikuwa sipo kwa muda wa siku nne na leo nikarudi nyumbani, nilipofika tu nikakabidhiwa karatasi yenye ujumbe juu ya upandishwaji wa bili ya...
Wanajamvi
Ni kama wiki mbili sasa toka tumepandishiwa huduma ya umeme. Ila tatizo nashindwa kuelewa juu ya upandishaji huu kwani naona huduma haiko ya uhakika.
Ni sahihi kupandisha gharama ya umeme hali xa kuwa ni wa kusuasua ktk upatikanaji wake?
Ni mawazo yangu tu....tueleweshane kwa hili.
Naweza kusema hvi kwa sababu dunia ya sasa imekumbwa na mabadiliko mengi ktk siasa, uchumi na jamii ambayo mengine ni chanya na mengine ni hasi.
Ktk mada: ktk mapenzi ya usione ajabu mwanaume anakuwa na wanawake zaidi ya wawili ambao sio rasmi na kwa upande wa pili pia. Hii ni kwa wanawake ambao...
katika mtazamo wa kawaida tu tunategemea kuona maisha ya msomi (awe wa form 4 hadi ngazi ya elimu ya juu) yanakuwa ya kuigwa katika jamii ili kuwasaidia wale wasiobahatika kupata elimu hiyo.
Lakini cha kushangaza msomi huyo ndo kwanza anakuwa na taswira mbovu katika jamii hususani katika mavazi...
Wanajf
Napenda kutangazia kuwa kituo cha Jiangalie Tuition Center kinatangaza kutoa huduma ya kufundisha masomo ya kuanzia ngazi ya cheti, shahada (diploma) na stashahada (degree) kwa gharama nafuu.
Kituo kipo Tandika mabatini
Mawasiliano: 011185000000
Karibu sana.
Mada yangu kuhusu usajili wa aliyekuwa winga wa simba mganda Emmnuel Okwi kwenda Yanga.
Utata wangu: Yanga wamemsajili Okwi kutokea timu gani Etoile, Simba au Sc Villa.
Kama kutokea Etoile ya Tunisia je Simba wamelipwa pesa zao?
Pia kulikuwa na suala kamati moja ya FIFA ilikuwa inasimamia hli...
"Chama tawala (CCM) hakijafanya chochote"....hii ni kauli ambayo watu mbalimbali wakiwemo wasomi na wanasiasa huwa hupenda kutamka pindi wanapotaka kutoa mapungufu ya chama tawala.....kwa upande wangu naipinga kauli hii kwan kuna mambo mengi ambayo yamefanyika tokea uhuru hadi sasa ktk nyanja...
Wanajamvi kwa cku nyingine mungu katujalia pumzi kwa wale alowapenda....
Naomba ushauri juu ya hli
Kuna rafiki yangu nasoma naye ktk chuo fulan hapa Dsm. Cku za hv karibun katutambulisha msichana mmoja kuwa ni mchumba wake na anataraji kufunga nae ndoa na huyo msichana pia ni collegue mwenzetu...
Ni miezi michache tu baada ya serikali kuingiza slogan ya Big result now (matokeo makubwa sasa) ktk ofisi zake za umma.
Na sasa wameamua kuingiza ktk upande wa elimu ili kuondoa tatizo la wanafunzi kutojua stadi tatu za kkk (kusoma, kuandika, na kuhesabu) hadi wanapomaliza darasa la saba.
Je...
Ktk maisha mapenzi hayaepukiki (jua hlo)
Hivyo basi kuna msichana nmetokea kumpenda sana kimapenzi, nilimwambia kwa jinsi ninavyompenda alikubali kupokea upendo wangu ila tatizo sasa huwa anabadilika cku ananipenda cku ananichukia.
Na cjawahi kusex naye na nikimwambia ananikasirikia tu bla...
Habari za saa hizi wanajamvi
Iko hv ktk hali ya kushangaza kwa watanzania ni pale mtu anapoongea lugha ya kiingereza anajihisi kma shujaa aliyemwondoa Gaddaf madarakan kuliko pale anapotumia lugha ya kiswahili.
Inaonekana wazi kwamba kiswahili sasa kmekua ni lugha ya watu wasienda shule. Kwann...
Wanajf habari zenu
Naamini kabisa mambo mengi yamezungumzwa na yanazidi kuzungumzwa juu ya kwann tunashindwa kufikia maendeleo ya taifa kwa ujumla......nilichogundua mm japo wataalamu wengi wameongea mengi ni ukosefu wa usimamizi uliobora kwa ile mipango na sera tulizoziweka ndio kikwazo kikubwa...
Najiuliza: Ni majibu yapi yamefikiwa juu ya ile tume ya uchunguzi wa lile bomu lililolipuliwa kule Arusha may 15 2013.
Pia kutokana na ile pesa iliyoahidiwa na serikali, je nani kajitokeza kumtaja mhusika wa ule mlipuko?
Naomba mniambie kwa maswali yangu hayo mawili.
Waungwana wanaJF nimejaribu kufuatilia baadhi ya viongozi (wanasiasa) wetu nikiwa na lengo kutaka kujua je ni kweli wanaijua siasa au ni wanasiasa tu wenye nia ya kurahisisha kula yao kupitia mgongo wa siasa. Kwa baadhi ya niliyojaribu kuwasikiliza na kusoma kauli zao nikagundua kuwa walio wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.