Nani wa kumlaumu kati ya hawa

ISSA SHARAFI

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Messages
407
Likes
2
Points
0
ISSA SHARAFI

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2012
407 2 0
Wanajamvi kwa cku nyingine mungu katujalia pumzi kwa wale alowapenda....
Naomba ushauri juu ya hli
Kuna rafiki yangu nasoma naye ktk chuo fulan hapa Dsm. Cku za hv karibun katutambulisha msichana mmoja kuwa ni mchumba wake na anataraji kufunga nae ndoa na huyo msichana pia ni collegue mwenzetu.
Ila kibaya ni kwamba huyo binti alikuwa anaishi na mvulana mwingine naye ni mwanafunzi mwenzetu ktk darasa moja. Na huyu rafiki yangu anajua mahusiano hayo na ameambiwa wameachana.
Sasa nkajaribu kuulizia kwa watu wengine nkaambiwa bado wapo kwenye mahusiano.
Je kipi kifanyike kumuepusha rafiki yangu na mateso na mambo yeyote ambayo yanaweza kumkumba kwa huyu mchumba wa kumchangia?
 
MASELE

MASELE

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Messages
751
Likes
126
Points
60
MASELE

MASELE

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2011
751 126 60
sijui niseme je, mke wangu mwenyewe sijamkuta bikra it means alikuwa na mwenzake hata wewe hapo demu uliyenaye sidhani kama ulimkuta bikra, waache waliopendana waendelee kupendana
 
DEMBA

DEMBA

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Messages
8,122
Likes
4,492
Points
280
DEMBA

DEMBA

JF-Expert Member
Joined May 10, 2012
8,122 4,492 280
hebu jaribu kumface huyo shemeji yako kwanza na umuonye kuhusu hiyo tabia. na umwambie kama hataacha utamweleza jamaa.
ila na wewe inabidi ujiridhishe pasi na shaka kama kweli anawachanganya. ukute alishaachana nae huyo wa mwanzo.
 
Daud omar

Daud omar

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Messages
2,464
Likes
34
Points
145
Daud omar

Daud omar

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2011
2,464 34 145
Mjini hapa no one belongs to any buddy
 
byb sac

byb sac

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
903
Likes
114
Points
60
Age
26
byb sac

byb sac

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
903 114 60
unauwakika na hayo uliyoyachunguza???kama jibu ni ndio basi mshauri rafiki yako wakapime afya na mwezake .pili kaa na shemejio umwelimishe athali za kuwa na mpz zaid ya mmoja.wakikataa ushauli waache kwan walivyokutana wewe ujui wala malengo yao uyajui.kaa tu pembeni..
 
ISSA SHARAFI

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Messages
407
Likes
2
Points
0
ISSA SHARAFI

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2012
407 2 0
sijui niseme je, mke wangu mwenyewe sijamkuta bikra it means alikuwa na mwenzake hata wewe hapo demu uliyenaye sidhani kama ulimkuta bikra, waache waliopendana waendelee kupendana
Wcwc wangu jamaa asijechukua maamuz mabovu maana amedanganywa
 
ISSA SHARAFI

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Messages
407
Likes
2
Points
0
ISSA SHARAFI

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2012
407 2 0
hebu jaribu kumface huyo shemeji yako kwanza na umuonye kuhusu hiyo tabia. na umwambie kama hataacha utamweleza jamaa.
ila na wewe inabidi ujiridhishe pasi na shaka kama kweli anawachanganya. ukute alishaachana nae huyo wa mwanzo.
Baadhi ya wenzangu wanasema wanamuona akiwa pamoja na huyo jamaa wa mwanzo
 
ISSA SHARAFI

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Messages
407
Likes
2
Points
0
ISSA SHARAFI

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2012
407 2 0
unauwakika na hayo uliyoyachunguza???kama jibu ni ndio basi mshauri rafiki yako wakapime afya na mwezake .pili kaa na shemejio umwelimishe athali za kuwa na mpz zaid ya mmoja.wakikataa ushauli waache kwan walivyokutana wewe ujui wala malengo yao uyajui.kaa tu pembeni..
Kukaa pemben na kumuacha rafiki yangu ni vigumu na suala la kupima jamaa nmemwambia na amenambia wataenda muda ukifika
 
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,735
Likes
2,006
Points
280
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,735 2,006 280
Wanajamvi kwa cku nyingine mungu katujalia pumzi kwa wale alowapenda....
Naomba ushauri juu ya hli
Kuna rafiki yangu nasoma naye ktk chuo fulan hapa Dsm. Cku za hv karibun katutambulisha msichana mmoja kuwa ni mchumba wake na anataraji kufunga nae ndoa na huyo msichana pia ni collegue mwenzetu.
Ila kibaya ni kwamba huyo binti alikuwa anaishi na mvulana mwingine naye ni mwanafunzi mwenzetu ktk darasa moja. Na huyu rafiki yangu anajua mahusiano hayo na ameambiwa wameachana.
Sasa nkajaribu kuulizia kwa watu wengine nkaambiwa bado wapo kwenye mahusiano.
Je kipi kifanyike kumuepusha rafiki yangu na mateso na mambo yeyote ambayo yanaweza kumkumba kwa huyu mchumba wa kumchangia?
someni kwanza vimapenzi vipo tu..
 
1

19don

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2011
Messages
572
Likes
14
Points
35
1

19don

JF-Expert Member
Joined May 13, 2011
572 14 35
​bado mnasafari ndefu someni kwanza hizo pesa za mkopo zisiwafanye mjione tayari mna mishahara, na kazi za ujasilia mali hamwezi kwa kijifanya wasomi sasa hy mke atakula nn mkimaliza chuo.
 
Mashaxizo

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Messages
6,723
Likes
111
Points
145
Mashaxizo

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2013
6,723 111 145
Wewe mbona issue ndogo sana hiyo!
As if huyo ke amesema ameshaachana na huyo kijana, and still anaendelea naye, hauwezi kumpelekea rafiki yako maneno matupu!
What you ought to do, ni kumtega huyo ke, wakati yupo pamoja na huyo aliesema ameachana nae either getto or bar, then mshtue huyo rafiki yako akafumanie!
Kinyume na hapo utakuja kuonekana siye! Ohooo! Mapenzi ni zaidi ya rafiki!
So take care!
 
ISSA SHARAFI

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Messages
407
Likes
2
Points
0
ISSA SHARAFI

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2012
407 2 0
Wewe mbona issue ndogo sana hiyo!
As if huyo ke amesema ameshaachana na huyo kijana, and still anaendelea naye, hauwezi kumpelekea rafiki yako maneno matupu!
What you ought to do, ni kumtega huyo ke, wakati yupo pamoja na huyo aliesema ameachana nae either getto or bar, then mshtue huyo rafiki yako akafumanie!
Kinyume na hapo utakuja kuonekana siye! Ohooo! Mapenzi ni zaidi ya rafiki!
So take care!
Hilo wazo zuri saana umefungua njia mpya ya kumwaminisha jamaa
 
byb sac

byb sac

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
903
Likes
114
Points
60
Age
26
byb sac

byb sac

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
903 114 60
haya mungu akuongoze katika kutafuta suluhisho ila halahala usije onekana mchonganishi...
 
data

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Messages
19,097
Likes
9,299
Points
280
data

data

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2011
19,097 9,299 280
..... Mentor

samahani kukuita hapa... ila huu utoto sasa umezidi. naweza pata ban bure.

mshauri huyu.
 
Last edited by a moderator:
white girl

white girl

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Messages
1,374
Likes
17
Points
0
Age
25
white girl

white girl

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2013
1,374 17 0
We hayakuhusuu waachie mambo yaoo,kazama kusomaa
 
Mlandege

Mlandege

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2012
Messages
1,073
Likes
287
Points
180
Mlandege

Mlandege

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2012
1,073 287 180
Mkuu kuna mambo mawili nakushauri

1.kazana kusoma shule
2.Jikite sana kwenye mambo yanayohusu au kugusa maisha yako kwa asilimia mia
 
Forum statistics

Threads 1,251,870
Members 481,917
Posts 29,788,309