Kusema hivi tunakosea waungwana

ISSA SHARAFI

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Messages
407
Likes
2
Points
0
ISSA SHARAFI

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2012
407 2 0
"Chama tawala (CCM) hakijafanya chochote"....hii ni kauli ambayo watu mbalimbali wakiwemo wasomi na wanasiasa huwa hupenda kutamka pindi wanapotaka kutoa mapungufu ya chama tawala.....kwa upande wangu naipinga kauli hii kwan kuna mambo mengi ambayo yamefanyika tokea uhuru hadi sasa ktk nyanja tofauti kma vile elimu, barabara,mawasiliano na afya na mengine mengi ambayo tukianza kutaja hatuwez kumaliza.
Hoja yangu naitoa kwa kujaribu hali ya hvyo baadhi nilivyojaribu kuvitaja.
Cha msingi: Je wametufikisha pale tulipostahili kufika kama taifa lililoazmisha miaka 52 tokea uhuru? Jibu, kwangu hapana wameshindwa kutufikisha ktk mafanikio ya kuwa ktk maendeleo jambo ambalo hata nchi zilizopata uhuru nyuma yetu kma Afrika kusini nchi ambayo imetoka ktk orodha ya nchi za dunia ya tatu, Angola n.k.

Yapo mazuri wameyafanya ila hatukustahili hadi leo kuwa ktk hali hii........ni mawazo yangu tu Tuache hyo kauli.
 
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
55,554
Likes
48,259
Points
280
Erythrocyte

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
55,554 48,259 280
HUU UONGO KWAMBA WAMEJENGA BARABARA NYINGI , huku ikifahamika kwamba hakuna barabara hata moja waliyojenga , BALI WAMEFANYA UKARABATI WA BARABARA NYINGI unauonaje ? JE NI KWELI KWAMBA KUJENGA NA KUKARABATI VINAFANANA ?
 
JE ni MANGAPI TUMEDHULUMIWA ? Hakuna kung'atang'ata maneno ccm imeshindwa na ni lazima ing'oke ! unajiumauma kwa manufaa ya nani ? hivi umewahi kuwa na mgonjwa MUHIMBILI WEWE? hebu jaribu kutembelea shule ya kata uliyo karibu nayo au njoo kwetu mwembeyanga uone hali halisi , hoja yako ni nzuri lakini unataka kuiharibu kwa kuogopa ogopa , au kwenu mnapata maji safi ya kunywa , ama mgao wa umeme hamna ?
 
ISSA SHARAFI

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Messages
407
Likes
2
Points
0
ISSA SHARAFI

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2012
407 2 0
HUU UONGO KWAMBA WAMEJENGA BARABARA NYINGI , huku ikifahamika kwamba hakuna barabara hata moja waliyojenga , BALI WAMEFANYA UKARABATI WA BARABARA NYINGI unauonaje ? JE NI KWELI KWAMBA KUJENGA NA KUKARABATI VINAFANANA ?
Si kweli kusema wamekarabati 7bu kuna barabara hazikuwa na rami zimewekwa hyo rami, kuna daraja la mkapa ambalo ni la kwanza Afrika mashariki na daraja linalounganisha nchi yetu na msumbiji je bado unasema hakuna walichofanya.
 
ISSA SHARAFI

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Messages
407
Likes
2
Points
0
ISSA SHARAFI

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2012
407 2 0
JE ni MANGAPI TUMEDHULUMIWA ? Hakuna kung'atang'ata maneno ccm imeshindwa na ni lazima ing'oke ! unajiumauma kwa manufaa ya nani ? hivi umewahi kuwa na mgonjwa MUHIMBILI WEWE? hebu jaribu kutembelea shule ya kata uliyo karibu nayo au njoo kwetu mwembeyanga uone hali halisi , hoja yako ni nzuri lakini unataka kuiharibu kwa kuogopa ogopa , au kwenu mnapata maji safi ya kunywa , ama mgao wa umeme hamna ?
Ni kweli yapo ambayo c mazuri ktk utawala wao na ndo maana ukisoma vizuri kuna mahali nmesema hawatufikisha point ambayo tunaweza kujivuna kma taifa lililoazimisha miaka 52 tokea uhuru
 
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Messages
30,043
Likes
5,227
Points
280
Amavubi

Amavubi

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2010
30,043 5,227 280
kachukue chako
 
Forum statistics

Threads 1,251,559
Members 481,767
Posts 29,775,966