Seriously...seriously...seriou sly

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Apr 25, 2012
407
75
Ktk maisha mapenzi hayaepukiki (jua hlo)
Hivyo basi kuna msichana nmetokea kumpenda sana kimapenzi, nilimwambia kwa jinsi ninavyompenda alikubali kupokea upendo wangu ila tatizo sasa huwa anabadilika cku ananipenda cku ananichukia.
Na cjawahi kusex naye na nikimwambia ananikasirikia tu bla kujibu chochote. Sasa je nifanyeje ili niweze kuishi naye kwa aman naye kunipenda kma ninavyompenda?

Cwezi kumuacha nammpenda sanaa!!!!!!
 
Muonge hela kaka angu!mbele ya hela utaitwa majina mazuri kama baby...hun..swr..c unajua maneno matupu hayavunj mfupaaa
 
do the needful. nenda kwao ujitambulishe kisha umchukue kihalali, nadhan mnuno unatokana na wewe kutotangaza nia
 
wa A wanasoma sa hivi...zipo kuanzia mkondo B,C na D
inategemea ni shule gani...
shuleni kwetu ilikuwa baada ya matokeo ya mtihani wa form two mnapangwa upya.... vipanga wote D wanaofwata C.... vilaza A (sijui ilikuwa psychology ili kuwafanya wajisikie vizuri wapo A?)
mwl snowhite tuambie hii makitu
 
Last edited by a moderator:
Ktk maisha mapenzi hayaepukiki (jua hlo)
Hivyo basi kuna msichana nmetokea kumpenda sana kimapenzi, nilimwambia kwa jinsi ninavyompenda alikubali kupokea upendo wangu ila tatizo sasa huwa anabadilika cku ananipenda cku ananichukia.
Na cjawahi kusex naye na nikimwambia ananikasirikia tu bla kujibu chochote. Sasa je nifanyeje ili niweze kuishi naye kwa aman naye kunipenda kma ninavyompenda?

Cwezi kumuacha nammpenda sanaa!!!!!!
Punguza story nyingi mwanga mkwanja tuone kama hajakuachia mbunye, chezea pesa wewe! mshiko ndo habari ya mjini.
 
Ktk maisha mapenzi hayaepukiki (jua hlo)
Hivyo basi kuna msichana nmetokea kumpenda sana kimapenzi, nilimwambia kwa jinsi ninavyompenda alikubali kupokea upendo wangu ila tatizo sasa huwa anabadilika cku ananipenda cku ananichukia.
Na cjawahi kusex naye na nikimwambia ananikasirikia tu bla kujibu chochote. Sasa je nifanyeje ili niweze kuishi naye kwa aman naye kunipenda kma ninavyompenda?

Cwezi kumuacha nammpenda sanaa!!!!!!

ukiona anakuzingua sana temana nae ili uwe shujaa wa moyo wako kuliko kupenda usipopendwa asabuh njema (tz time)
 
nawatafakari hawa vijana wa BRN nakosa majibu....

Vijana wa kiume wanalialia na kukosa kujiamini....

Hawajui kutongoza... Thread ya 3 hii same content...
Hii dunia ya ma smart phone inadumaza sana vijana....

I remember my teens,umahiri wako wa kufukuzia,kumsimamisha binti street na kuanza kumpa vocals.. Hadi anakaa..

Sijui ??
 
Kijana tia muhuri kwanza upate heshima, hawa mabinti wa mjini ukipiga story tupu unaishia kudharauliwa. Tia signature then confirm subscription yako. Halafu njoo hapa utupe feedback
 
do the needful. nenda kwao ujitambulishe kisha umchukue kihalali, nadhan mnuno unatokana na wewe kutotangaza nia

Kwa uandishi huu best nina wasiwasi hiyo ndoa ikifungwa maharusi watakuwa wanamuamkia mpaka msichana wa kazi!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom