Nani bingwa wa UEFA 2013/2014

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Apr 25, 2012
407
75
Ikiwa draw ya clab bingwa ulaya imepangwa leo....iko hv Buyern v Real Madrid na Chelsea v Atletico Madrid......Je unafikiri timu gani itaibuka kuwa bingwa kati ya hizo.
 
Kamuulize tb joshua
Musikasirike ila kama ningekuwa mtabiri ningewambia watu atletico madrid mwaka wao

kwa nini?
bayan munich na atletico they both have fighting skills but a.madrid got something more...wana njaa na kombe hili,hii itawafanya wapigane kufa na kupona
 
Fainali ni
chelsea vs buyern m

na bingwa atakuwa chelsea na hii haitaji kwenda kwa TB JOSHUA.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom