Tunaangalia elimu na sio pesa sawaa!

Tunaangalia elimu na sio pesa sawaa!

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2012
Posts
407
Reaction score
75
Hii ilikuwa nipo mitaa fulani nmetulia na pembeni yangu kulikuwa madenti wawili. Mara akafika jamaa na kuanza kuomba mgegedu kwa denti mmoja. Yule jamaa alijitangazia sifa za kuwa na pesa....denti alimjibu hivi...sasa hivi kwenye mapenzi tunaangalia elimu na sio pesa....
Je wadau hivi kuna ukweli juice ya kauli ya huyo denti ambaye pia alisapotiwa na mwenzake...
 
Eti Elimu, hiyo elimu itakuwa yakulisha? Kulipa kodi ya nyumba? Kulisha watoto
 
umpate wa phd afu teamhazisimami utAjuta miaka
 
Watu stndrd seven,, form 4 wana hela chafu wanahonga semi kama hawana akili nzuri leo nikae nakagua vyeti sijui gpa vitanilisha mie,,, au vitaongeza mtaji wangu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Naangalia franga mahela tu hapa.
 
Hela muhimu bana hizo elimu wengi wamesoma maisha yao magumu.
Ila nahisi huyo mdada atakuwa Mhaya
 
Watu stndrd seven,, form 4 wana hela chafu wanahonga semi kama hawana akili nzuri leo nikae nakagua vyeti sijui gpa vitanilisha mie,,, au vitaongeza mtaji wangu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Naangalia franga mahela tu hapa.

hela mbaya
 
hela ni shetaniiiiiiiiiii
 
Nani kawaloga watu, hela ushetani wake uko wapi?
Hela ndo inakufanya upate huduma muhimu
 
kawaambie wanitafute me nipo ni professor ..
 
pesa..... wape pesa nasema tna PESAAAAA

usisahau pesa ni sabauni ya roho
 
Back
Top Bottom