Tuwe makini na wanawake tunaitaka kuwaoa

ISSA SHARAFI

JF-Expert Member
Apr 25, 2012
407
0
Ilikuwa hivi.......
Jamaa mmoja aliishi mjini kwa muda mrefu toka alipotoka kijijini hakuwahi kurudi hadi ikafikia akaamua kuoa.
Baada ya ndoa aliamua kwenda kijijini kwa wazazi wake kumwaonyesha mkwe wao. Kumbe wazazi wa jamaa walikuwa vikongwe sana. Alipofika walikaribishwa na kuandaliwa chakula ambapo mke alitakiwa ale na mama mkwe. Yule mwanamke alishangaa akasema mbona mnaniweka kula na nyani kwa namna yule mama alivyokuwa kikongwe......jamaa alibaki mdomo wazi na asijue cha kufanya...looh bora kuoa kijijini nilikotoka
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom