ISSA SHARAFI
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 407
- 75
Naweza kusema hvi kwa sababu dunia ya sasa imekumbwa na mabadiliko mengi ktk siasa, uchumi na jamii ambayo mengine ni chanya na mengine ni hasi.
Ktk mada: ktk mapenzi ya usione ajabu mwanaume anakuwa na wanawake zaidi ya wawili ambao sio rasmi na kwa upande wa pili pia. Hii ni kwa wanawake ambao wameonekana kubadilisha mfumo wa mapenzi j5wa kuwa na mwanaume wa kufanya nae sex, kumwoma vocha, kununua nguo na kutoka out. Hali hii ndio habari ya mujini kwa sasa na inaonekana kuwanufaisha ktk kuendesha maisha yao. Wanasema kuwa na 1 ni sawa mtu aliyekufa ambaye hawezi kuzikwa kwenye makaburi 2........
Hii ni hatari xana kwahyo ukiona unaombwa vocha na ukamtumia halafu akakubeep basi ujue naye yumo kwenye life style hii.