Search results

  1. Peter Dafi

    Dkt. Emmanuel Nchimbi: Mkiwaona CHADEMA wanaandamana mjue wameamua kutumia miguu kufikiri

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Nchimbi akizungumza na Wanachama na Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaan Leo amesema. Mkiwaona CHADEMA wana Andamana Mjue wameamua kutumia Miguu Kufikiri Badala ya Akili/Ubongo. https://www.instagram.com/reel/C2UvdMwtYtD/?igsh=ZWNpZmN3OW8wdHJq
  2. Peter Dafi

    Mufti Watanzania Dkt. Abubakari Zuberi Ally amfanyia dua maalum Paul Makonda

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Paul Makonda leo tarehe 1 December 2023 amemtembelea na kumshukuru Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakary Zuberi bin Ally kwa kumuombea na kuanae katika nyakati zote alizo zipitia Ndg Makonda na kuendelea kupata Baraka...
  3. Peter Dafi

    Mbarali: Kampeni ya kuifuta CCM yafika vijiji visivyofikika , Liberatus Mwang'ombe aongoza kikosi cha ufutaji

    Naona mnajitekenya na kucheka wenyewe! CCM NI DUDE KUBWA SANA HAMLIWEZI HILI TAASISI, MSIPOKUWA MAKINI MTAFIKA MKIWA MMECHOKA SANA.
  4. Peter Dafi

    Makonda apiga Goti kwa Mwadhama Kardinali Pengo

    Katibu Mwenezi Ndugu Paul Makonda amtembelea Mwadhama Kardinali Pengo Nyumbani kwake. Lengo ni kumjulia hali na zaidi kuchota Hekima na Busara mbali na hayo! Kubwa zaidi ni Kujikabidhi Mbele za Viongozi wa Dini ili nao wamuombee na Kumtakia Mema zaidi katika utendaji kazi wake kwa nafasi hi ya...
  5. Peter Dafi

    Mapokezi ya Mwenezi Makonda ni Alhamisi 26/10/2023 saa 3 asubuhi, Lumumba

    Katibu Mwenezi wa CCM ana Majukumu ya Kujenga Chama Tanzania na Kuimarisha Matawi yote ya Nje ya Nchi. Nakukumbusha tu kuwa Katazo la hao Mabeberu halina Maana yoyote kwa CCM wala kwake Paul. Anaichapa kazi na Maisha yake yanakwenda vyema sana bila hilo Taifa la Marekani. Wewe angalia Siasa ya...
  6. Peter Dafi

    Mapokezi ya Mwenezi Makonda ni Alhamisi 26/10/2023 saa 3 asubuhi, Lumumba

    Muda bado Ndugu yangu! Muda ukifika Jambo litakuwa tu mambo haya Mungu anapanga pia hivyo tuendelee kumtumainia yeye.
  7. Peter Dafi

    Mapokezi ya Mwenezi Makonda ni Alhamisi 26/10/2023 saa 3 asubuhi, Lumumba

    MAPOKEZI YA PAUL C. MAKONDA KULISIMAMISHA JIJI LA DAR ES SALAAM SIKU YA ALHAMISI. Siku ya Alhamisi 26/10/2023 Saa 03:00 Asubuhi, Katibu mwenezi wa Taifa Ndugu Paul C. Makonda anatarajiwa kupokelewa Rasmi Ofisi Ndogo ya Makao Makuu Lumumba, Mkoani Dar es Salaam. Viongozi, Wanachama wa CCM...
  8. Peter Dafi

    PhD za ukweli zinatetemeshwa mchana kweupe, Msukuma(PhD) na Babu Tale(PhD) jitokezeni mumtetee msomi mwenzenu

    Prof Maluma hapaswi Kulaumiwa kabisa, Binafsi namuelewa sana shida ni Mkataba ambao unamlazimu autetee kwa Vifungu kinzani ambavyo vinazidi Nguvu ya Mkataba wake hata ungekuwa wewe ungefanyaje apo. Tunapaswa Kumpongeza kwa Ujasiri na Uimara wake kuendelea Kutetea na Kusimamia Misimamo ya...
  9. Peter Dafi

    Hivi CHADEMA walitaka wajisifie kuwa na jengo zuri au Siasa na Demokrasia nzuri za kuikomboa Tanzania?

    Sheria za Nchi ndio zilimkuta na Hatia kiasi cha kuwa Jela kwa Muda wote huo! Hakuonewa ilikuwa ni Haki yake ile
  10. Peter Dafi

    Sakata la Makonda na Utapeli wa Gari: Kamwelwe(Mwenye gari) anadaiwa ni mkimbizi, tapeli na katimuliwa Burundi

    SAKATA LA MAKONDA! WAKO WAPI WAANDISHI WA HABARI ZA KIUCHUNGUZI? Jamaa anaedai Kumdai Alokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu, Paul Makonda kumbe ni Tapeli na Kashatapeli wengi tu Hapa Nchini Tanzania. Cha Ajabu ni Waandishi wetu kuandika Habari Nyepesi nyepesi na Kuacha Mambo ya Msingi...
  11. Peter Dafi

    Naibu Waziri Abdallah Sagini: Mto Mara hauna sumu, endeleeni kutumia maji

    Ni Mambo ya Aibu sana haya! Lakini kama wewe hautumii wala hauishi kando mwa Mto ama hautegemei Kipato chochote kutokana na Mto Huu Busara ni kuthamini wenzio wanaotumia Mto huo. Wananchi wanalalamika kwa kuumia na Maji hayo alafu Mbunge unasimama na kutetea kwa kuwahamasisha waendelee...
  12. Peter Dafi

    Vijana wa Chamwino Ikulu wazindua Jogging Club

    UZINDUZI WA UVCCM JOGGING CLUB CHAMWINO WAFANA SANA. Mapema leo UVCCM Wilaya ya Chamwino wamezindua UVCCM JOGGING CLUB kisha wakafanya BONANZA la Michezo mbalimbali ikiwemo cricket, Kula Matikiti, Kunywa Soda, woodball nk.. zaidi zoezi la Uchangiaji Damu Salama Salama pia lilifanyika. Michezo...
  13. Peter Dafi

    Najuta kuipigania CHADEMA na upinzani Tanzania

    Kila siku huwa tunawaambia Vijana wenzetu kuwa CHADEMA na Vyama Vingine sio Vyama Makini vinavyojenga Taasisi ambayo ina Malengo Chanya na Mlengo wakufanya siasa Bora naza kujipanga kiuongozi. Viongozi wa CDM wamekaa Kimaslahi na Kila wanachokifanya kina mlengo waupigaji tu, Ndio Maana utagundua...
  14. Peter Dafi

    Uchaguzi 2020 Wenye nguvu tuandike tusije laumu baadae hatukutimiza wajibu wetu

    Na. Egla Mamoto Wakati Serikali Ya Awamu ya Tano Ya Rais Dr.John Pombe Joseph Magufuli ikilaumiwa na Baadhi ya wapotoshaji eti imejikita katika ujenzi wa Uchumi wa Vitu Badala ya Uchumi wa watu, napenda kuifahamisha Jamii kuwa "Serikali inapojenga UCHUMI WA VITU ni wakati huo huo ndipo inajenga...
  15. Peter Dafi

    Wana Chadema wamekichoka chama chao!

    NAONGEZA SAUTI, PART 3 Nawashangaa sana wale ambao mnafuata mkumbo bila kujua mnachokifuata Chadema ni mradi Chadema ni biashara kama biashara nyingine Mimi naijua chadema vyema kuliko wewe unaetukana na kubeza juhudi anazofanya JPM kulijenga Taifa letu. Mimi nikiwa Mwenyekiti wa Chadema UK...
  16. Peter Dafi

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu, ilani yako na CHADEMA itahitaji msaada zaidi ya asilimia 90, tutarudi utumwani

    Mgombea wa Urais wa Tiketi ya CHADEMA amekuwa hana Sera anazozinadi mbele ya wananchi wanaojitokeza kwenye Mikutano yake zaidi ana agenda za Matusi, Kejeli, Dhihaka nk... dhidi ya Mgombea wa CCM ndg Magufuli. Anaiponda Serikali ya CCM kuleta Maendeleo ya Vitu hapo hapo anasema nayeye ataleta...
  17. Peter Dafi

    Uchaguzi 2020 Kutoka Lindi: Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo

    Hili ndio Nyomi la Uzinduzi wa Mampezi za Kitaifa za Urais za Chama cha ACT Wazalendo. Na naambiwa kuna Changamoto za Malipo ya Jukwaa mpaka sasa kwamba Jukwaa halijalipiwa sasa sijui Kweli [emoji2305] aaah[emoji23] Vipi wazee! wataweza Mziki wa CCM hawa ACT?
Back
Top Bottom