UTANGULIZI
Ukarimu ni mfano mmojawapo wa kete wanayotumia wanasiasa na viongozi wa serikali kusisitiza Watanzania kuuenzi utamaduni wa Mtanzania. Kimsingi ni malengo yetu sote tuufikie ustaarabu wa kijamii ambao binafsi siuoni ukikidhi kikamilifu vipengele vya utamaduni huo. Isitoshe una kasoro...
Ningemwelewa kama angebainisha eneo ambalo hiyo transformation imekwamia. Hapo ni katupa jiwe gizani na huenda linaweza kumrudia hata yeye mwenyewe.
Poor tweet!
Umelishwa tango pori na mindset za royal blood versus gentiles.
Soma historia za uwepo wa ancient kingdom zilizokuwepo Africa kabla ya colonialism. Hao "half-mad mindset and self-esteems" waliwezaje kujitawala kabla ya uvamizi wa hao weupe wako?!
ni majanga kwa kweli. Hiyo kausha damu utasema ni mmomonyoka wa maadili?! Umasikini wa raia imekua fursa kwa wanyang'anyi wa kalamu, serikali nyuti kimya.
Ukatili na matendo ya unyang'anyi kama vile panyaroad, tatu mzuka na uhalifu wa aina nyingine nchini tayari ni tishio kwa usalama wa raia na mali zao.
Hatua za kuudhibiti naona ni kama zinaenda kwa zimamoto huku vijana wengi wakizidi kujiingiza kwenye u-panya road, tatu mzuka, na matendo...
Inaweza kuwa fiction au non-fiction. Ukizingatia solid evidence hakuna, tukutane kwy roundtable kugonga cheers ku enjoy siku ya leo, ya nini kujichosha na siasa za kusadikika?!
Tutafute hela za kuhudumia familia zetu, kelele tumeshapaza, kama hawajasikia tufanyaje?!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.