Search results

  1. B

    Naombeni msaada wenu kimawazo, pesa ama kazi ndugu zangu

    Matatizo yako wapi, sema huwez kuzuia watu kukuchallenge ningepata hyo 25k kila siku nisingekuwa na haja ya kulalamikia malipo hayo Ila unapata hyo alaf unakaa muda Tena kuipata hyo au ambacho hukuelewa na kunifanya nionekane nna matatizo Ni nn, weka wazi matatizo hayo pengne ndo MSAADA wangu...
  2. B

    Naombeni msaada wenu kimawazo, pesa ama kazi ndugu zangu

    Ni kweli Nina huo mpango, Tena hasa napenda graphics design Ila Sina Ada Yan Sina kila kitu, nikipata MTU wa kunisaidia Niko tayar kwenda
  3. B

    Naombeni msaada wenu kimawazo, pesa ama kazi ndugu zangu

    Asante sana, hata mm nataman nipate biashara, nashukuru sana kwa maoni ndugu
  4. B

    Naombeni msaada wenu kimawazo, pesa ama kazi ndugu zangu

    Hsikupita jkt baada ya fomu 6 nifanyeje hapo
  5. B

    Naombeni msaada wenu kimawazo, pesa ama kazi ndugu zangu

    Habari za muda huu ndugu zangu. Napenda kuandika ujumbe huu kwenu kuomba MSAADA wa mawazo, pesa ama kazi. Mm Ni kijana wa kiume( msukuma), mhitimu wa chuo, course ya bachelor of science in taxation(TRA tax officer). Nmemaliza mwaka huu Bado Niko hapa dar kuzunguka kujikwamua kiuchumi. HISTORIA...
  6. B

    Naomba kusaidiwa kuhusu biashara ya usafi majumbani na maofisini

    Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana(25) wa kiume niko Dar es Salaam, katika kutafta kazi baada ya kumaliza chuo( miezi 4 mtaani) mwaka huu mambo yamekuwa magumu nilipga kazi mbalimbali kama ujenzi, kulima, kubeba mizigo Kariakoo ila pesa ni kidogo kiasi kwamba kodi ikifika ya nyumba huna cha...
  7. B

    Naomba ushauri kuhusu mpenzi wangu

    Kivip niambie nataka kusaidiwa mkuu
  8. B

    Naomba ushauri kuhusu mpenzi wangu

    Concentrate na mada tafadhari
  9. B

    Naomba ushauri kuhusu mpenzi wangu

    Habari ndugu zangu, mm Ni wa kiume (25). Nilipokuwa chuo nikipata na mdada ambaye mazingira ya chuo yalikuwa magumu kiasi kwamba ilibaki kidogo kudisco, ila nikapata huruma kunisaidia ktk kusaidiana mwaka wa mwisho ikabid tuishi pamoja km wapenzi. Maisha yalikuwa matamu sana sikuwahi kuona...
Back
Top Bottom